Kashfa - Naibu Waziri Janeti Mbene ameanza kutumia madaraka yake vibaya

Mkuu EMT, I'm just speechless!.
Nilifanya TV interview na Mama Prof. Tibaijuka kuhusu "restoration" ya maeneo ya wazi, nakumbuka specifikally nilimuuliza kama kweli ana guts, kuarejesha maeneo yote ya wazi, wakati defaulter mkuu ni CCM?. Alisisitiza kufuata sheria, taratibu na kanuni!, hata kama ni ikulu, kitarejeshwa!, she claimed to be fearless!. By now she is nothing more!, nothing less!. Kabla kipindi hakijarushwa hewani, kilisimamishwa na kuwa "withdrown!".
CCM ni chama dola, kiko over and above the law!. Tibaijuka by now has learned her lessons a hard way!, hamtamsikia tena kwenye hili!.

Mkuu Pasco namkumbuka huyu waziri aliamrisha uvunjwaji wa jengo binafsi katika sehemu nyeti ya ardhi pembezoni mwa fukwe ya barabara (ocean road beach area) na mkabala wa kiwanja cha gofu cha Gymkana. Aliwapa wamiliki binafsi wote notisi ya kuwataka kuhama na mkono wa sheria ungelifika na hakuna cha kuusimamisha. Lakini tangu kipindi hicho, inaonekana ule mchakamchaka na kuendelezwa kwa umakini sambamba na maneno ya Rais umerudisha nyuma juhudi za waziri kushughulikia uvamizi wa maeneo na upangiwaji pia uvamizi umeendelea kama tabia.

Vitendo vya uporaji wa ardhi kupitia rushwa vimekuwa vikiongezeka kwa kasi na kuwa tatizo tete kwa Dar es Salaam na nchi nzima kwa ujumla. Kiuhalisia kwa wananchi wa kawaida hakuna mabadiliko. Waziri yupo kimya. Mambo yanaenda kama kawaida. Hakika kuna watu wananufaika sana kutokana na hali hii ya kuachiliwa mambo kwenda mrama. Ila tujiandae na majibu ya kuwajibu wajukuu wetu kwa nini Dar Es Salaam hakuna sehemu ya wazi ya watoto kucheza. Sidhani kama wataridhika na jibu kuwa tumejenga ofisi za serikali za mitaa!
 
Mtoa mada hapo amejichanganya sioni wapi Naibu Waziri Mbene anahusika ukisoma barua ya manispaa ya Kinondoni ya 04/05/2010 kwenda Kwa Shomari. Tuache kufanya mambo kisiasa na upotoshaji usio wa lazima. Wewe unachuki binafsi huyu mama wizara yake haihusiki kabisa na suala hili. Yeye wala hilo sio jimbo lake. Acheni hizo za kulete wachafu nyie
 
mie nina mashaka na mleta uzi, kajiunga 30 septermber 2012, ina maana lengo lake lilikuwa ni kuweka post hii au?? au umetumwa kumchafua naibu waziri wa fedha?? jipange mkuu, usilete uzi za uzushi hapa, waziri awaamuru manispaa kumbomolea mtu au kumwamisha mtu?? kwani hiyo manispaa hain master plani ya eneo husika?? haijui ianalopaswa kufanya mpaka waziri wa fedha awaingilie?? isitoshe kunawezekana kubadili matumizi ya ardhi husika sheria ya ardhi ya mwaka 1999, no.4 imeainisha hilo
 
igwana123 acha uongo mleta mada hakuweka barua ya tarehe 04/05/2010. Ameweka barua ya tarehe 17/06/2010 kutoka manispaa ya kinondoni ikijibu barua ya Shomari ya tarehe 04/05/2010 ambapo alikuwa ameomba kupimiwa eneo lililopo Masaki. Hata hiyo, Mh. Mbene anahusika tuu kama M/Kiti wa mtaa Masaki.

Ukisoma barua ya tarehe 30/12/2010 inatoka ofisi ya serikali ya mtaa wa Masaki na imesainiwa na Mh. Mbene mwenyewe ikimtaarifu Shomari kuondoka kwenye eneo la wazi. Maajabu ni kwamba katika eneo hilo hilo la wazi, Manispaa ya Kinondoni ilimwandikia Shomari kuwa ni sehemu ya barabara kwa mujibu wa mchoro wa Mipangomji namba 1/499/169. Kwa hiyo Mh. Mbene na ofisi yake ya mtaa anadhani ni eneo la wazi wakati manispaa inasema ni eneo la barabara.

Lakini pia kuna barua muhimu ya tarehe 15/09/2011 kutoka kwa Kaimu Katibu wa Waziri, Wizara ya Ardhi kwenda kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni kuhusiana na mgogoro kati ya Shomari na Jaspreet Kaur ambayo inataka maelezo ya kina kuhusiana na huu mgogoro. Barua inasema hata Waziri mwenyewe alistaajabu juu ya huyu Jaspreet Kaur na ana interests gani kwenye hili eneo wakati manispaa ya Kinondoni tayari imeshasema kuwa ni eneo la barabara?

Huyu Mkurugenzi wa manispaa alipeleka ufafanuzi aliotakiwa na waziri?
Na huyu Jaspreet Kaur ni nani?
 
Last edited by a moderator:
mie nina mashaka na mleta uzi, kajiunga 30 septermber 2012, ina maana lengo lake lilikuwa ni kuweka post hii au?? au umetumwa kumchafua naibu waziri wa fedha?? jipange mkuu, usilete uzi za uzushi hapa, waziri awaamuru manispaa kumbomolea mtu au kumwamisha mtu?? kwani hiyo manispaa hain master plani ya eneo husika?? haijui ianalopaswa kufanya mpaka waziri wa fedha awaingilie?? isitoshe kunawezekana kubadili matumizi ya ardhi husika sheria ya ardhi ya mwaka 1999, no.4 imeainisha hilo
Ciello badala ya kujadili hoja unaanza kujadili mleta hoja kajiunga lini. Kwani kuna ubaya gani kujiunga na JF kwa ajili ya kuweka post tuu? Sheria za JF zinakataza? Mbona wewe umejiunga juzi tarehe 7 September 2012 na hatusemi? Tena ulivyojiunga ulianzisha thread na kusema kuwa umeamua "kujitosa kuwa miongoni mwa magreat thinkers". Kuwa great thinker then.

Hata kama matumizi ya eneo husika yalibadilishwa na sheria ya ardhi ya mwaka 1999, how come then Jaspreet Kaur alimilikishwa hilo eneo tokea mwaka 1995? Unataka kuniambia kuwa hiyo sheria ili-apply retrospectively?
 
Last edited by a moderator:
mkuu EMT halikuwa dhumuni langu kumjadili mleta uzi, ila nilitaka kuweka angalizo kusijekuwa ni illmotive behind the accussations, migogoro ya arhdi na ishu nyingi za ardhi ni very sensitive na watu hawatakiwi kujudge basing on one side claims and evidence, ardhi ni miongoni mwa maswala tete katika nchi yetu, nasema haya si kwakufikiri bali niko uwandani nayashuhudia haya even sometimes binafsi nakutana na ishu kama hizi katika utendaji wangu wa kazi
 
Soma attachments za barua kwenye post namba 75 hapo. Halafu Mzee wa Masaki tuelezee step by step nini kiliendelea baada ya waziri wa ardhi kumtaka mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni kutoa maelezo. Ulipokea majibu yoyote kutoka kwa waziri au mkurugenzi wa manispaa? Ni kweli ulifungua kesi mahakamani? Unaweza kuwepo nakala za hukumu yenyewe hapa?
 
Last edited by a moderator:
mungu atamlipa huyu kijana. Sisi akina mama tukipata madaraka tu8jaribu kutulizana nayo kwanza maana kuna siku tutajaumbuka. Bibi Janeth hukuanza wewe kulikuwa na wenzio akina Monica Mbega ambao nao walikuwa hapohapo wakatumia madaraka yao vibaya leo unajua waliko. Be careful kilio cha wanyonge husikika zaidi na Mungu. Basi mlipeni haki yake akatafute kiwanja kinginw kule kwenye msitu wa mabwe pande.

Ndambonyiliva, inaonyesha umeandika kwa masikitiko makubwa kuhusu tukio hili. Lakini ni lazima Watanzania tufike mahali tubadilike kimitazamo na fikra, enzi ya kumaliza matatizo kwa kusema Mungu atawalipa ndilo lililotufikisha hapa tulipo sasa, Watanzania wengi tunazidi kupoteza mali zetu halali kuwa kuendelea kusema hili namwachia Mungu na wale wenye tamaa kuendelea kujichukulia mali na haki za wengine. Ni wakati sasa kuacha kufikiria hivyo na kupambania haki zetu.

Namshauri Bw. Shomari aende ngazi nyingine ikibidi kuomba ushauri wa kisheria kutoka kwa wanasheria ili aweze kupatiwa haki yake. Waziri hayuko juu ya sheria tatizo ni hilo tu kuwa watu wanawatishia wengine kwa kuchukua udhaifu wa mfumo wetu wa sheria.

Namshauri aende vituo vya haki za binadamu wanaweza kumsaidia wanasheria watakaosimamia haki yake, huyo Naibu waziri pia anatishia kuona kama jamaa atakimbia na kuacha akiona amekomaa atakimbia mwenyewe. Kwanza angeweza kumshtaki tu hata sasa kwa kumdhalilisha yeye na familia yake.

Hata humu JF nadhani kuna wanasheria wazuri tu, ni muhimu kusadia vitu kama hivi kama kweli tunauchungu na maisha ya Watanzania wenzetu, tukianza na huyu mmoja ndiyo mwazo wa kubadili mifumo yetu ya kibabe kwa wenye dhamana ya vyeo.

Please nawaombeni watanzania enzi ya kumwachia Mungu mambo ya yaende Tanzania imepita watu hawajali hilo hata kama wanakesha makanisani kumwomba Mungu. Sasa wimbo uwe haki yangu haipotei bure nitaipigania hadi kufa na siyo kumwachia Mungu akulipe. Shituka ewe Mtanzania.
 
Ama kweli hujafa hujaumbika...
Huwa naamini hakuna viumbe wenye roho mbaya kama wanawake...
Sipati picha ndo awe mama wa kambo flani lazima madogo wafe njaa

Futa kauli au kuwa specific kwa Janeth Mbene! Your mom is a woman, your wife/gf is a woman, your sista is a woman too!!

Labda una bad experience ya wanawake, ila me benafsi sina thats why I love them most!!! Nawaheshimu sana
 
Nadhani DR Mwanjelwa atafurahi akisikia habari hii. Pamoja ni nje ya uzi lakini hawa wawili wanamgombea JK Mwanjelwa analalamika ati yeye ndo alistahili kuwa waziri kwa vile kazaa na Mkulu. Sasa ona, na kama habari hii ni kweli basi JK kazi anayo kwani inji hii itaendeshwa kimafiamafia

Mambo mazito haya kama ni ya kweli!!! Siamini macho yangu. Time will tell!!!
 
Mzee wa Masaki kwa mujibu wa barua ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni iliyoandikwa na Timoth T. Ndibohoye ya tarehe 19 Juni 2010 kwenda kwa Zuberi Shomari Mbogorume ikijibu barua yake ya tarehe 4 May 2010 inasema kuwa katika eneo la Masaki hakuna sehemu yoyote ambayo haijapimwa tokea upimaji ufanyike enzi za ukoloni (1948).

Barua inasema pia kwamba sehemu ambayo inaombwa kupimwa ni barabara kwa mujibu wa mchoro wa Mipangomji namba 1/499/169 Msasani Peninsula. fedha anadai kuwa hili eneo la wazi patajengwa ofisi ya mtaa wa Masaki. Ina maana hiyo ofisi itajengwa kwenye eneo la barabara? Kwa maana hiyo basi hilo eneo sio eneo la wazi kwa mujibu wa Public Recreation Grounds Cap. 320 bali ni sehemu ya barabara?

Hata mimi nakubaliana na wewe lakini tukumbuke pia kuwa ardhi kwa Tanzania ni mali ya Umma na Raisi ndiyo kapewa mamlaka ya kuisimamia kama mdhamini mkuu, yawabasi kama ilipopimwa na kutengwa kuwa ya barabara na je yule kwa wakati huo alikuwa akiishi pale alifidiwa? Kumbuka pia kuna hoja imesemwa humu Shomari alikaribishwa na akawa analima bustani, je Serikali ya Mtaa ilipoona inahitaji eneo lake imemfidia na kumtafutia mahali pengine? Maswali ni mengi majibu hakuna, hii inadhihirisha Wakubwa wana manufaa na jambo hili.
 
NDUGU WA JF NAOMBA KULITOLEA UFAFANUZI SWALA HILI LINALOONEKANA KUPOTOSHA UKWELI HALISI WA KIJANA SHOMARI KUTAPELI ENEO LA WAZI LA SERIKALI YA MTAA YA MASAKI(PENUSULA ROAD0 KARIBU NA DOUBLE TREE HOTEL.)

Ndugu shomari anayetajwa kupokonywa kiwanja na naibu waziri wa Fedha JanetI Mbene historia yake ipo hivi
SAKATA LA KUTOSWA BAHARINI
Ni kweli kijana shomari kwa mujibu wa maelezo yake alitoswa baharini akiwa anazamia kwenda nchi za nje,Kwa bahati nzuri aliokolewa na wavuvi wanaofanya kazi zao bandari ya salama(Feri)
Alipookolewa na wavuvi hao alianza kutafuta maisha hapa Dar es salaam kwa kujishughulisha na kazi mbalimbali.Mnamo mwaka 2004-2005 kijana Shomari alifika ofisi za serikali ya mtaa Masaki kwa lengo la kuomba eneo la wazi lililopo PENISULA ROAD karibu na Double Tree hotel aanzishe bustani ya maua awe anauza kwaajili ya kujipatia kipato cha kukidhi maisha yake.
Kimsingi Shomari alionekana ni mtu mwenye kuhitaji kusaidiwa kwa wakati huo kutokana na kutokuwa na sehemu kamili ya kujishikiza,mavazi na maisha yake ya kulala na kula yalikuwa ni magumu sana.
SHOMARI ALIVYOPATA ENEO HILO LA WAZI
Serikali ya mtaa wa Masaki wakati huo ikiwa chini ya mtendaji SINGO MDEGELA MWENYE NAMBA ZA SIMU HIZI HAPA 0713 27 61 82 akishirikiana na viongozi wengine wa ngazi ya mtaa walikubaliana kwa pamoja kumsaidia kijana huyo aweanalitumia eneo hilo kwa shughuli zake za bustani.Lakini wakati wowote serikali ikihitaji eneo lake litalichukua.
Kuanzia mwaka 2005 kijana shomari alianza shughuli zake za kupanda maua na kuuza katika eneo hilo lililopo karibu na DOUBLE TREE HOTEL,wakati wote wa maisha yake hapo kwenye eno la wazi la serikali.Kijana SHOMARI alikuwa akilala hapo kila siku
Katika maisha yake ya hapo kwenye bustani Kijana shomari aliweza kujenga kibanda cha kulala,Siku zilivyozidi kwenda na yeye kupata uzoefu na pesa za kujikimu kwenye eneo hilo akajenga Club ndogo ya kuuza vinywaji baridi.

Naomba kuweka wazi ukweli ni kwamba club hiyo ilikuwa kama ni kivuli tu kwa sabubu kuna kesi nyingi zilizolipotiwa kwamba kijana SHOMARI anauza bangi na madawa ya kulevya eneo hilo,Pia kuna vijana wenzake ambao anashinda nao hapo(Beach Boys) vijana wanaoishi pembezoni mwa bahari tayari kwa kuzamia kwenda ulaya.

JANETI MBENE NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA WA MASAKI

Mwaka 2009 Janeti Mbene ambaye ni naibu waziri wa fedha kwa sasa, alishinda nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Masaki.
Pia wana Jf itambulike wazi kuwa MASAKI wamekuwa na uongozi wa serikali ya mtaa kwa kipindi kirefu lakini hawakuwa na ofisi.Mara zote wamekuwa wakifanyia kazi zao kwenye ofisi za CCM pale masaki.
Tatizo limejitokeza yanapokuja mambo ya kitaifa kama Kujisajili kwa vitambulisho vya Taifa,Kuomba barua mbalimbali za serikali za mitaa..Wananchi wengi wamekuwa hawapo tayari kusogea maaeneo ya OFISI ZA ccm kwa sababu za kisiasa.Hii imepelekea mambo mengi yanayohusu Taifa kuwa magumu kufanyika kwa ukamilifu.

Kwa mantiki hiyo Janet Mbene alipoingia serikali ya mtaa na kuwa mwenyekiti katika moja ya malengo yake llikuwa ni kupata Ofisi ramsi za Serkali ya mtaa wa Masaki.
Janeti Mbene amelipigania hilo kwa muda mrefu sana,Ndipo ofisi ya mtendaji wakishirikina na serikali ya mtaa wakaamua kwenda kwa Kijana SHOMARI kumwambia kuwa wanahitaji eneo lao wajenge ofisi za serikali ya mtaa.

UTATA UKAANZIA HAPA,
Baada ya kijana shomari kuombwa arudishe eno alilokuwa maeazimwa afanyie shughuli zake za Bustani aligoma kwa madai kwamba hilo eneo ni lake amerithi kutoka kwa bibi yake.Hivyo hawezi kuondoka.
Kijana shomari aliamua kwenda kuishitaki Halmashauri ya KINONDONI kwa kutaka kumnyang'anya eneo lake kupitia serkali ya mtaa wa Masaki.
Katikia kesi hiyo Kijana SHOMARI alishindwa mahakani na ushindi ukapewa kwa HALMSHAURI YA KINONDONI..Baada yapo Halmashauri ya kinondoni ambAyo ilipewa jukumu na mahakama la kwenda kuvunja eneo hilo la wazi walifanya kama walivyoagizwa.

IKUMBUKWE WAZI,Kijana SHOMARI alipofungua kesi hiyo mahakamani alipeleka barua nyingine ikulu ya kudai hilo ni eneo lake amerithi kwa bibi yake .Ikulu ilituma watu wake kwenda kuona eneo hilo na walipo fika pale wakajiridhisha kuwa ni eneo la wazi la serikali.Pia katika kumbukumbu za IKULU zinaonesha wazi kuwa JINA SHOMARI linajitokeza kwenye kesi yingine ya kutapeli aliyoifanya KWA muhindi mmoja kwa njia hiyohiyo ya kuomba eneo la Bustani MAENEO YA UPANGA.

Hivyo basi WANA JF naomba kuweka wazi ENEO hilo analodai shomari nilakwake si kweli NI ENEO LA WAZI LA SERIKALI chini ya serikali ya mtaa ya MASAKI.
IKUMBUKWE KWA SASA HALMAHSURI YA KINONDONI IPO kwenye mpango wake wa kubomoa nyumba zilizojengwa viwanja vya wazi na kwenye hifadhi ya Bahari ya hindi.

KIJANA SHOMARI ni tapeli wala asidanganye kuwa eneo hilo ni lake,Asidanganye kuwa kwa sasa kuna mtu anajenga hapo.
Ni kweli eneo hilo kwa sasa baada ya kubomolewa limeshazungushiwa mabati tayari kwa kuanza kujenga ofisi za serikali ya mtaa wa MASAKI.
HIVYO BASI si kweli kwamba Naibu waziri wa Fedha Janeti Mbene anahusika na lolote juu ya kiwanja hicho,Hawezi na hana wazo la kupola kiwanja cha mtu.Pia ingeshangaza umma kuona eneo la wazi ambalo kila mwana masaki anajua wazi kuwa eneo hilo ni la wazi la serikali nasio mtu bianafsi.
Asanteni,Tusiwachafue viongozi wa kwa mambo ya uongo.Kuna sehemu ambazo wanastahili kuhukumiwa katika utendaji wao lakini sio kwa kubambika mambo ya uongo kama anvyofanya Kijana SHOMARI.
Pia ikumbukwe wazi kwamba yeye JANETI MBENE ni mwanasiasa katika mtaa ule hana mamlaka ya kumfukuza wala kumukamata mtu yeyote.
HALMASHAURI NDIYO YENYE JUKUMU HILO..NA IMESHATEKELEZA KUBOMOA ENEO HILO NA SASA OFISI ZA SERIKALI YA MTAA WA MASAKI ZINAJENGWA.

KWA KUONESHA KWAMBA KIJANA SHOMARI NI JEURI NA HATAMBUI HUKUMU YA MAHAKAMA,AMEBOMOA MABATI YALIYOZUNGUSHIWA ENEO HILO NA SERIKALI ...AMEINGIA HAPO NA AMEHAMISHIA FAMILIA YAKE ENEO HILO.

Naomba ielewe hivyo.asanteni
nawe kwa umbea umezidi,..mambo ya chadema unajifanya unayajua,ya serikali za mitaa wewe,ikulu wewe,..nyinyi ndio usalama wa ccm
 
Shomari ana history ya kuvamia maeneo ya wazi,kwa muda mrefu sana.Mbagala walimtimua,akavamia pale salender pia wakamtimua.Pale Masaki pia alipavamia.mimi namjua Shomari toka akiwa mdogo,nnamjua mama ake na ukoo wake,shomari Bibi zake wote upade wa baba au mama akuna aliyewai ishi masaki ata kwa siku moja!Mama ake mzazi mpaka nnaandika haya muda huu anaishi Kigogo na ndugu wengine wa shomari.
 
Very healthy CV. I wonder if what has been written here about her is true, considering the capacity building she has been doing for the less priviledged!!
CV nzuri lakini toka aungane na CCM, naye anekuwa Fisadi

Janet Mbene

jmbene.jpg
Janet Mbene is founder and Director of SIA Limited, a private firm that provides capacity-building support for small and medium enterprises.

Ms. Mbene has a rich history in development economics, banking, and international and regional trade. Her diverse background includes leadership positions in the private sector and in the United Nations before joining the non-profit sector. Prior to leading Mwengo, Ms. Mbene worked with Oxfam International, the UN Development Program, the International Labor Organization, and several international nongovernmental organizations. Her work focused on mobilizing producers and entrepreneurs into associations, building their capacity to improve production and manage their enterprises better, facilitating access to markets, campaigning for better conditions through dialogue with relevant authorities, and promoting fair trade policies. She has also led rights and empowerment programs for women and youth, particularly in advocacy, training in legal concepts and instruments, and microfinance and income-generation.
Ms. Mbene has also interspersed her career with short-term consultancies around entrepreneurship development (e.g. with TechnoServe in 2007); research and analysis around rural microfinance services (e.g. with the Economic and Social Research Foundation in Tanzania); and financial services to small and medial enterprises (e.g. with a project of the Austrian government in Tanzania).
Alongside her work with SIA Limited, Ms. Mbene is also the founder and chairperson of YATIMA Trust on HIV/AIDS in Tanzania, which provides support for children who were orphaned or partially orphaned by HIV/AIDS and advocates for policy changes protecting orphans and orphanages. She is also a founding Trustee of the Association of Women Economists in Tanzania, promoting economic literacy and empowerment of particularly rural women.
Ms. Mbene has a Master's degree in economics from the University of New England in Australia. SIA Limited aims to contribute to poverty eradication and sustainable growth support and promote entrepreneurs leading small and medium enterprises (SMEs) in Tanzania, and to contribute to the policy dialogue on SMEs and rural development in Tanzania. SIA targets start-up entrepreneurs in rural and urban areas, as well as local government bodies working with local communities in need of planning, implementation, and monitoring and evaluation capacities.
Additionally, Ms. Mbene serves as chairperson for Getting Old is to Grow (GOIG), an NGO involved in advocacy around aged-people, which also supports vocational training centers in handicraft work for youth, as well as a project for orphans left in the care of their grandparents. She co-founded an NGO to offer support to home based orphans living with relatives.

Very healthy CV. I wonder if what has been written here about her is true, considering the capacity building she has been doing for the less privileged!!

Asante Tumtemeke. Jamani wana JF hakikisheni mnapoweka mada hapa jamvini mmezifanuia utafiti. Sasa watu wamemtukana mama wa watu matusi makubwa kumbe ni mambo ya uongo!! Hii haipendezi hata kidogo. No research no right to post anything here!!
NDUGU WA JF NAOMBA KULITOLEA UFAFANUZI SWALA HILI LINALOONEKANA KUPOTOSHA UKWELI HALISI WA KIJANA SHOMARI KUTAPELI ENEO LA WAZI LA SERIKALI YA MTAA YA MASAKI(PENUSULA ROAD0 KARIBU NA DOUBLE TREE HOTEL.)

Ndugu shomari anayetajwa kupokonywa kiwanja na naibu waziri wa Fedha JanetI Mbene historia yake ipo hivi
SAKATA LA KUTOSWA BAHARINI
Ni kweli kijana shomari kwa mujibu wa maelezo yake alitoswa baharini akiwa anazamia kwenda nchi za nje,Kwa bahati nzuri aliokolewa na wavuvi wanaofanya kazi zao bandari ya salama(Feri)
Alipookolewa na wavuvi hao alianza kutafuta maisha hapa Dar es salaam kwa kujishughulisha na kazi mbalimbali.Mnamo mwaka 2004-2005 kijana Shomari alifika ofisi za serikali ya mtaa Masaki kwa lengo la kuomba eneo la wazi lililopo PENISULA ROAD karibu na Double Tree hotel aanzishe bustani ya maua awe anauza kwaajili ya kujipatia kipato cha kukidhi maisha yake.
Kimsingi Shomari alionekana ni mtu mwenye kuhitaji kusaidiwa kwa wakati huo kutokana na kutokuwa na sehemu kamili ya kujishikiza,mavazi na maisha yake ya kulala na kula yalikuwa ni magumu sana.
SHOMARI ALIVYOPATA ENEO HILO LA WAZI
Serikali ya mtaa wa Masaki wakati huo ikiwa chini ya mtendaji SINGO MDEGELA MWENYE NAMBA ZA SIMU HIZI HAPA 0713 27 61 82 akishirikiana na viongozi wengine wa ngazi ya mtaa walikubaliana kwa pamoja kumsaidia kijana huyo aweanalitumia eneo hilo kwa shughuli zake za bustani.Lakini wakati wowote serikali ikihitaji eneo lake litalichukua.
Kuanzia mwaka 2005 kijana shomari alianza shughuli zake za kupanda maua na kuuza katika eneo hilo lililopo karibu na DOUBLE TREE HOTEL,wakati wote wa maisha yake hapo kwenye eno la wazi la serikali.Kijana SHOMARI alikuwa akilala hapo kila siku
Katika maisha yake ya hapo kwenye bustani Kijana shomari aliweza kujenga kibanda cha kulala,Siku zilivyozidi kwenda na yeye kupata uzoefu na pesa za kujikimu kwenye eneo hilo akajenga Club ndogo ya kuuza vinywaji baridi.

Naomba kuweka wazi ukweli ni kwamba club hiyo ilikuwa kama ni kivuli tu kwa sabubu kuna kesi nyingi zilizolipotiwa kwamba kijana SHOMARI anauza bangi na madawa ya kulevya eneo hilo,Pia kuna vijana wenzake ambao anashinda nao hapo(Beach Boys) vijana wanaoishi pembezoni mwa bahari tayari kwa kuzamia kwenda ulaya.

JANETI MBENE NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA WA MASAKI

Mwaka 2009 Janeti Mbene ambaye ni naibu waziri wa fedha kwa sasa, alishinda nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Masaki.
Pia wana Jf itambulike wazi kuwa MASAKI wamekuwa na uongozi wa serikali ya mtaa kwa kipindi kirefu lakini hawakuwa na ofisi.Mara zote wamekuwa wakifanyia kazi zao kwenye ofisi za CCM pale masaki.
Tatizo limejitokeza yanapokuja mambo ya kitaifa kama Kujisajili kwa vitambulisho vya Taifa,Kuomba barua mbalimbali za serikali za mitaa..Wananchi wengi wamekuwa hawapo tayari kusogea maaeneo ya OFISI ZA ccm kwa sababu za kisiasa.Hii imepelekea mambo mengi yanayohusu Taifa kuwa magumu kufanyika kwa ukamilifu.

Kwa mantiki hiyo Janet Mbene alipoingia serikali ya mtaa na kuwa mwenyekiti katika moja ya malengo yake llikuwa ni kupata Ofisi ramsi za Serkali ya mtaa wa Masaki.
Janeti Mbene amelipigania hilo kwa muda mrefu sana,Ndipo ofisi ya mtendaji wakishirikina na serikali ya mtaa wakaamua kwenda kwa Kijana SHOMARI kumwambia kuwa wanahitaji eneo lao wajenge ofisi za serikali ya mtaa.

UTATA UKAANZIA HAPA,
Baada ya kijana shomari kuombwa arudishe eno alilokuwa maeazimwa afanyie shughuli zake za Bustani aligoma kwa madai kwamba hilo eneo ni lake amerithi kutoka kwa bibi yake.Hivyo hawezi kuondoka.
Kijana shomari aliamua kwenda kuishitaki Halmashauri ya KINONDONI kwa kutaka kumnyang'anya eneo lake kupitia serkali ya mtaa wa Masaki.
Katikia kesi hiyo Kijana SHOMARI alishindwa mahakani na ushindi ukapewa kwa HALMSHAURI YA KINONDONI..Baada yapo Halmashauri ya kinondoni ambAyo ilipewa jukumu na mahakama la kwenda kuvunja eneo hilo la wazi walifanya kama walivyoagizwa.

IKUMBUKWE WAZI,Kijana SHOMARI alipofungua kesi hiyo mahakamani alipeleka barua nyingine ikulu ya kudai hilo ni eneo lake amerithi kwa bibi yake .Ikulu ilituma watu wake kwenda kuona eneo hilo na walipo fika pale wakajiridhisha kuwa ni eneo la wazi la serikali.Pia katika kumbukumbu za IKULU zinaonesha wazi kuwa JINA SHOMARI linajitokeza kwenye kesi yingine ya kutapeli aliyoifanya KWA muhindi mmoja kwa njia hiyohiyo ya kuomba eneo la Bustani MAENEO YA UPANGA.

Hivyo basi WANA JF naomba kuweka wazi ENEO hilo analodai shomari nilakwake si kweli NI ENEO LA WAZI LA SERIKALI chini ya serikali ya mtaa ya MASAKI.
IKUMBUKWE KWA SASA HALMAHSURI YA KINONDONI IPO kwenye mpango wake wa kubomoa nyumba zilizojengwa viwanja vya wazi na kwenye hifadhi ya Bahari ya hindi.

KIJANA SHOMARI ni tapeli wala asidanganye kuwa eneo hilo ni lake,Asidanganye kuwa kwa sasa kuna mtu anajenga hapo.
Ni kweli eneo hilo kwa sasa baada ya kubomolewa limeshazungushiwa mabati tayari kwa kuanza kujenga ofisi za serikali ya mtaa wa MASAKI.
HIVYO BASI si kweli kwamba Naibu waziri wa Fedha Janeti Mbene anahusika na lolote juu ya kiwanja hicho,Hawezi na hana wazo la kupola kiwanja cha mtu.Pia ingeshangaza umma kuona eneo la wazi ambalo kila mwana masaki anajua wazi kuwa eneo hilo ni la wazi la serikali nasio mtu bianafsi.
Asanteni,Tusiwachafue viongozi wa kwa mambo ya uongo.Kuna sehemu ambazo wanastahili kuhukumiwa katika utendaji wao lakini sio kwa kubambika mambo ya uongo kama anvyofanya Kijana SHOMARI.
Pia ikumbukwe wazi kwamba yeye JANETI MBENE ni mwanasiasa katika mtaa ule hana mamlaka ya kumfukuza wala kumukamata mtu yeyote.
HALMASHAURI NDIYO YENYE JUKUMU HILO..NA IMESHATEKELEZA KUBOMOA ENEO HILO NA SASA OFISI ZA SERIKALI YA MTAA WA MASAKI ZINAJENGWA.

KWA KUONESHA KWAMBA KIJANA SHOMARI NI JEURI NA HATAMBUI HUKUMU YA MAHAKAMA,AMEBOMOA MABATI YALIYOZUNGUSHIWA ENEO HILO NA SERIKALI ...AMEINGIA HAPO NA AMEHAMISHIA FAMILIA YAKE ENEO HILO.

Naomba ielewe hivyo.asanteni
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom