Kasheshe jijini Nairobi...Continuing Updates on Investigations

Wakuu,

ile ishu ya 'Hate Speech' na wabunge fulani Kenya, sasa imebidi vyombo vya dola vichukue mkondo.
Inasemekana jamaa wamezuiwa na polisi kujibu maswali.Habari zaidi mtapata tukishazipokea.

Kenya sasa sijui inaelekea wapi this time around but I hope justice prevails against such people who
incite peaceful wananchi to go after each others throats.

DEVELOPING - Kenya MPs held over hate speech claims

kapo.jpg

Police arrested Mt Elgon MP Fred Kapondi for questioning over hate speech claims

By NATION Reporter
Posted Tuesday, June 15 2010 at 09:51

Two Kenyan Members of Parliament, one of them an assistant minister, have been arrested over remarks they made last week that authorities say border on incitement.

Police arrested Mt Elgon MP Fred Kapondi at his Continental House office in Nairobi Tuesday and he was taken to the Criminal Investigation Department (CID) headquarters for questioning.

Assistant roads minister Wilfred Machage and Kuria MP was arrested when he presented himself to the CID.

Police Commissioner Mathew Iteere said Dr Machage, Mr Kapondi and Cheregany MP Joshua Kutuny were recording statements with the police and were expected to be charged Wednesday.

Higher education minister William Ruto is also being sought over hate speech claims.

The two MPs were accused of making inflammatory statements during the launch of the No secretariat in Nairobi on Wednesday last week.

They said certain communities must be prepared to leave their constituencies if the proposed Constitution is ratified by Kenyans on August 4.

MPs Joshua Kutuny and Charles Keter are also at Mazingira House - the CID headquarters - but it was not immediately clear whether they were answering summons for questioning.

Daily Nation:
 
msishangae haya, tutasikia mengi toka nairobery pengine makubwa kuliko haya.
Si mnakumbuka lile lundo la siraha lililo kamatwa........ Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Hawa wakenya wanataka kujenga utamaduni wa kuchinjana. Matamshi ya wabunge wao yanatisha sana: ya ubaguzi, chuki na ubabe. Kwa kweli hilo shirikisho tunalotaka kulijenga sijui kama litafaulu. Naona ni kudanganyana tu! Watasambaza mavita yao mpaka kwenye "nyumba ya amani." Tukae chonjo, yanakuja.
 
DNCID1606P.jpg

William Ruto arrives at the CID headquarters in Nairobi, June 15, 2010. Several MPs were interrogated for hours on hate speech

DNCID1606F.jpg

DNCID1606J.jpg

Bishop Margaret Wanjiru arrives at the CID headquarters

DNCID1606L.jpg

Christine Nyagitha arrives at the CID headquarters in Nairobi

DNCID1606B.jpg

Cyrus Jirongo arrives at the CID headquarters
 
Poleni sana wenzetu !!
But I am of the opinion that the events in Kenya are a result of years of dangerous seeds being grown in that unequal society.
If one can do that to fellow country men, then think of what one might do to the rest!!
Open up the borders so that these seeds may roam the East African country side-talk of a wild cat on the loose.
 
Hawa jamaa wana chuki sana hata EAC haitasaidia. Sana sana hiyo chuki na ubaguzi wao utakua wakenya dhidi ya members wengine wa EAC.

This not about chuki wala ubaguzi...this is politics. Politics is a dirty game, you might just find out that the explosions were set of by supporters of the NO camp. to make it look like the YES camp was against them. NI SIASA Kenyan style, wala sio chuki ama ubaguzi.

Come 2012 you will see chuki na ubaguzi na ukabila, kwa sasa ni Siasa tu. Each side is playing to win and they are not taking any prisoners. The dead and the injured are just collateral damage. That is how expendable raia wa Kenya is to the politicians. Use and abuse is their motto.
I think Kenyan politics deserves it's own description don't you think, I can't find any fitting description any where, it is not democracy, its just parading like it... and then again sio udictactor wala facsim Or socialism. It has morpehd into a demon with no name.
So Mchili usiwe na hofu.
 
Nyaralego,

I believe Mchili has a point na labda hukumuelewa. Si eti anasema mnachukia watu per se but rather there are leaders in Kenya who like preaching hate and somehow it trickles down to the general population. Just look at the video clip when Hon Machage is talking...The man said it blatantly with no shame eti "wajaluo waende kwao" ....That is HATE with capital letters my sister.That is not siasa. The man hates Raila's guts and has transfered all that vile to the Luo community. Hapo hakuna siasa bali ni chuki za wazi.

Then Kapondi is saying eti Bungoma ni ya wa-Sabaot.Gaaadem this fool!!...So you wanna tell me the Bukusus will just move aside and let these Mt Elgon fellas take over after all these years?...That is hate and stupidity all bundled in one. Nakumbuka this guy had been locked prior to the elections and I had sympathy for him co he was an ODM member...signifying change for your blessed Jamhuri. But since I saw that video akisema "wafunge firaka waende kwao" , I have every reason to believe he was arrested for the right reasons.

Kenya needs to rid itself of such leaders.Period.There is no room for negotiations.Since the Moi days and the land clashes which I was caught up in, (in Eldoret coming towards Mombasa and then in Kwale as I was trying to cross into Tanzania), I have never taken such statements lightly. Moi alisema 'multi party italeta fujo' then he went ahead and trained, funded and armed his own Kalenjin warriors to start the chaos. His lieutanants are still in the corridors of power, nobody disarmed those so called kalenjin warriors and thus far everybody knows he is against the new constitution mainly coz of the vast tracts of land he owns.So I have a gut feeling he is pulling the strings on this one as a preamble to something sinister.

Lets tread carefully with these rattle snakes coz i believe even under EAC (if it works) they will bring these same hate speeches coz they have not learnt a lesson neither do they see anything wrong talking like that. Surely not in this day and time.

Tuko pamoja.

Ubarikiwe.
 
Jamani hapa Nairobi hakutoshi tena manake ni hivi punde kuna bomu moja limegunduliwa Mombasa road si mbali sana kutoka njia panda ya Nyayo stadium kabla ya kulipuka. Ni mbele tu ya Garage ya Sea motors na limepatikana chini ya daraja. So kwa sasa barabara hii kuu imefungwa na wanausalama wanaendelea na uchunguzi. Mwenzenu huku ndani hakukaliki natamani nimalize chuo nirudi nyumbani bongo. Lile la jumapili lilinikosakosa ingawa sikuwa kwenye mkutano huo wa kisiasa na hili la leo nilipita hapo darajani kama saa nne hivi. Najiuliza ni ahadi za Al Shabab zinatimia au ni haya mambo ya YES and No? Kazi tunayo!
 
Ndugu yetu pole sana. Chunga maisha yako. Huko sasa hivi kwa kweli hakukaliki, hakuna amani tena. Maliza masomo urudi kwenye "bandari/nyumba ya amani". Karibu sana mkuu.
 
Jamani hapa Nairobi hakutoshi tena manake ni hivi punde kuna bomu moja limegunduliwa Mombasa road si mbali sana kutoka njia panda ya Nyayo stadium kabla ya kulipuka. Ni mbele tu ya Garage ya Sea motors na limepatikana chini ya daraja. So kwa sasa barabara hii kuu imefungwa na wanausalama wanaendelea na uchunguzi. Mwenzenu huku ndani hakukaliki natamani nimalize chuo nirudi nyumbani bongo. Lile la jumapili lilinikosakosa ingawa sikuwa kwenye mkutano huo wa kisiasa na hili la leo nilipita hapo darajani kama saa nne hivi. Najiuliza ni ahadi za Al Shabab zinatimia au ni haya mambo ya YES and No? Kazi tunayo!

Pole sana, jitahidi urudi nyumbani hao watu wameshaamua kumalizana wenyewe kwa wenyewe. Tukiwaambia kuwa bado ni primitive huwa hawakubali.....
 
Jamani hapa Nairobi hakutoshi tena manake ni hivi punde kuna bomu moja limegunduliwa Mombasa road si mbali sana kutoka njia panda ya Nyayo stadium kabla ya kulipuka. Ni mbele tu ya Garage ya Sea motors na limepatikana chini ya daraja. So kwa sasa barabara hii kuu imefungwa na wanausalama wanaendelea na uchunguzi. Mwenzenu huku ndani hakukaliki natamani nimalize chuo nirudi nyumbani bongo. Lile la jumapili lilinikosakosa ingawa sikuwa kwenye mkutano huo wa kisiasa na hili la leo nilipita hapo darajani kama saa nne hivi. Najiuliza ni ahadi za Al Shabab zinatimia au ni haya mambo ya YES and No? Kazi tunayo!

Pole sana mdogo wangu, ukiona hali si njema sana, bora urudi nyumbani usije ukafa bure, wakati hata bongo vyuo vipo tena vizuri tu. Sisi huku tuliko Kenya tunashindwa kuitofautisha na Somalia.
Kuwa Muangalifu.
Soma hapa Daily Nation: - News |Bomb scare in Nairobi
 
It was a bomb scare not a bomb. Read the Daily Nation below. Ati hakutoshi tena (whatever that means) what a cry baby.

Police have allayed fears that an explosive device had been planted under a bridge near General Motors on Mombasa Road.

Investigations revealed that it was only a scare after police dug up the area only to discover power cables.

Employees of the Postal Corporation of Kenya were installing underground cables, when a watchman reported them to police on what he thought was suspicious activity.

Police called in the bomb squad, who unearthed the cables.

Alternative text.
 
Jamani hapa Nairobi hakutoshi tena manake ni hivi punde kuna bomu moja limegunduliwa Mombasa road si mbali sana kutoka njia panda ya Nyayo stadium kabla ya kulipuka. Ni mbele tu ya Garage ya Sea motors na limepatikana chini ya daraja. So kwa sasa barabara hii kuu imefungwa na wanausalama wanaendelea na uchunguzi. Mwenzenu huku ndani hakukaliki natamani nimalize chuo nirudi nyumbani bongo. Lile la jumapili lilinikosakosa ingawa sikuwa kwenye mkutano huo wa kisiasa na hili la leo nilipita hapo darajani kama saa nne hivi. Najiuliza ni ahadi za Al Shabab zinatimia au ni haya mambo ya YES and No? Kazi tunayo!

Pole sana mdogo wangu, ukiona hali si njema sana, bora urudi nyumbani usije ukafa bure, wakati hata bongo vyuo vipo tena vizuri tu. Sisi huku tuliko tunashindwa kuitofautisha Kenya na Somalia. Wote ni wale wale.
Kuwa Muangalifu.
Soma hapa Daily Nation:*- News*|Bomb scare in Nairobi
 
Pole sana mdogo wangu, ukiona hali si njema sana, bora urudi nyumbani usije ukafa bure, wakati hata bongo vyuo vipo tena vizuri tu.
ni scholarship yangu mkubwa ndo ilinibana nije huku wala sikupenda, nafurahi kwakuwa niko kwenye trimester system so mambo yakienda safi wala sitachukua muda mrefu kuua chuo!/kumaliza
 
It was a bomb scare not a bomb. Read the Daily Nation below. Ati hakutoshi tena (whatever that means) what a cry baby.

Police have allayed fears that an explosive device had been planted under a bridge near General Motors on Mombasa Road.

Investigations revealed that it was only a scare after police dug up the area only to discover power cables.

Employees of the Postal Corporation of Kenya were installing underground cables, when a watchman reported them to police on what he thought was suspicious activity.

Police called in the bomb squad, who unearthed the cables.

Alternative text.

Ignore the dude, he's an alarmist, doing what he does best.. Thought you have good uni's in Dar, why you wasting your time and risking your life in dangerous Nrb. people don't poop where they eat son. Tell people the truth on whats cutting, not raising the red flag while the truth is that there is no tension in Nairobi. How do you benefit from all this- Ati Nrb hakutoshi tena tehehehehe.. kwani sisi tuko wapi, mbinguni? NKT.
 
Back
Top Bottom