Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,314
- 33,108
AKITOKEA NYOKA HAPO KATIKATI SIJUWI ITAKUWAJE HAPO WEWE UNAFIKIRI ITAKUWAJE?
AKITOKEA NYOKA HAPO KATIKATI SIJUWI ITAKUWAJE HAPO WEWE UNAFIKIRI ITAKUWAJE?
Nakuuliza Swali na wewe unaniuliza mimi swali hilo hilo kasheshe kweli sisi Wadanganyika.We unafikiri itakuwaje?
Hapo katikati akitokea atakuwa mnyoo na sio nyoka, manake nyoka atatokea ardhini? Labda uulize akidondoka nyoka (assuming kuna mti hapo juu yao)
AKITOKEA NYOKA HAPO KATIKATI SIJUWI ITAKUWAJE HAPO WEWE UNAFIKIRI ITAKUWAJE?
Wanatambika ili Mvua inyeshe inaonyesha Mvua haijanyesha siku nyingi kijijini kwao ule wao ikija Kunyesha hiyo mvua isije kunyesha Mvua kama ya Mjini Dares-Salama, itakuwa kasheshe kweli.Mbona kama wanafanya dua fulani?
Ama wanasubiria Ngariba?
ORIJINO KOMEDI(RIP) "Muzina litata Zube zube Mpunyenye Muzina litata"
wanafanya nini hawa ?
akitokea nyoka halafu wakamuona au wasimuone?