Kasaka Arudi CCM!

Yule mbunge machachari ambaye ilibakia kidogo tuwe na Tanganyika Njeru Kasaka yuko wapi sasa hivi?????

Kuna mchezo mmoja wa karata unaitwa last card. Basi hapo wenzie walikuwa wameshalia "last card" halafu jamaa ndio akawa amelamba "joker".
 
aliwahi kutete tanganyika tuu na alikuwa mstari wa mbele kwenye G55 mbali na hapo hajawai kufanya lolte la maana
 
Mkuu FMES,

Mimi simjui Njelu zaidi ya kusoma juhudi zake za kuunda serikali ya Tanganyika na jinsi walivyozimwa na mwalimu. Najua alikuwa mbunge machachari katika kundi la wabunge wabovu sana.

Ni kutokana na sababu hizo naona sio vizuri kuanza kuwakashifu watu ambao japo wamejaribu. Kwa mazingira ya TZ tuna watu wachache sana ambao angalau siku moja moja wanaweza kusimama imara kutetea mambo ya maana.

Ila kama alikataa nyumba na kutaka kushinda Kilimanjaro hotel, watu kama hao mimi sina muda nao. Kwa nchi maskini kutumbua bila huruma hata kwa watu wanaokufa kwa magonjwa na njaa ni kitendo cha aibu mno.

Mimi nilimshangaa alipohama chama. Ninawaelewa watu wanaohama vyama kabla ya kushindwa, lakini ukishindwa tena baada ya kuwa mbunge, ina maana moja tu, umeshindwa ku deliver, kaa, pembeni, jifunze, na subiri siku nyingine.

Asante kwa somo lako kuhusu Njelu. Ila tu kwa TZ hatuna watu wengi wazuri hivyo hata hao wanaofanya mazuri machache, inabidi tuwaunge mkono ili ku encourage watu wengi zaidi kuelewa umuhimu wa kuwa upande wa wananchi.
Kwa hilo la kutumbua wote wenye madaraka TZ ni balaa, ona bunge la katiba, ona bunge la jamuhuri ya muungano, ona bunge la wawakilishi, ona taasisi za serikali na maposho, ona safari na misafara ya viongozi wetu, ona kodi inakoenda ni kwa watu wasiozidi laki nne kwa nchi nzima halafu maendeleo ni mikopo...tusubiri Naibu Waziri wa Fedha (Sera na Mipango) tuone anavyoweza kugawa keki ya taifa kisawasawa
 



11140281_898930126844661_569991442135980407_n.jpg


11244489_898930166844657_7319756641221879369_n.jpg


11924248_898930076844666_1586771319363140374_n.jpg


11940716_898930206844653_2407456014320017761_n.jpg


Viongozi wetu wote wanamuidhinisha na wanampigia Kura Mh. Magufuli
 
Back
Top Bottom