Karume na Seif waanza pandisha jeki

Hakika WZNZ tumeshachoka na wabara kwanza wanasifa kuu tatu ni wahemkwaji,wabaguzi na wadini,mimi niko bara nafanya kazi bosi wangu ata hajifichi ananibaguwa wazi wazi .halafu nimesahau moja wabara hawafanyi kazi mpaka wasukumwe(pushed0 dah!!!!!!!!!!!!!!!,ninampango wakuacha kazi ukifanya kazi vizuri wanaona kama unajipendekeza au unataka kuchukua vyeo vyao,halafu sifa yao ya tano ni washirikina kila muda wanaamini kurogwa.dah.POLENIN WATANGANYIKA SIWAPENDIIII
 
Na nyie sifa yenu ni nini? MDEBWEDO??
 
[/SIZE]

Dhambi ya ubaguzi itaitafuna Zanzibar kama unachosema kitatokea kwa staili unayofikiria. Hii si kanuni ya Mwalimu Nyerere bali ni kanuli ya historia (Mwalimu Nyerere, 1995)

Wacha we! Nani kakwambia kudai nchi ni ubaguzi? Kama ni hivyo basi alianza Nyerere kuwabaguwa wakoloni.
 
Kila mtu na sukani yake sawa.lakini ukiacha jazba na kutuliza kichwa ukawaza na kuwazua ni upande upi ulotegemezi kwa mwenzie? Angalia temeke tu wapemba walivyojazana na frem zao nini namanga kkoo masaki hadi ubungo. Nie ni wafadhilaka mmezoea KUUTIA KASI BORAYEISHE ALAAAA tugawane fito uchuguzi ukifika wake zenu wabara mwawatimua Mpaka mmalize chaguzi zenu ndo ubinadam gani huooo ati ammy.MBONA KULALA AAG .........endeleeni kuramba sijui mwaramba nini

Pengine huo utegemezi ndio unaokimbiwa na Zanzibar sasa kwani umeshaiponza sana. AMA HILI LA KUFURIKA TAFADHALI NJOO ZANZIBAR UANGALIE JINSI WABONGO WALIVYOJAZANA HUKU PENGINE UNGEKUWA NA LUGHA NYENGINE KWA HILO.
 
Mkuu yale si maneno yangu, nakumbukia tu aliyosema Mwalimu. Thibitisha hapa kuwa Wazanzibari hawafaidiki na Muungano. Pia kumbuka kwetu sisi Wabara kuvunjika kwa pakacha ni nafuu ya mchukuzi.

Nini maana ya faida? ni kuendelea mbele au kurudi nyuma? Pengine ulikuwa huna haja ya kutaka uthibitisho iwapo kama ulijuwa kiwango cha maendeleo iliyoluwa nayo pale palipokuwa na Muungano wa Karume wa kila mtu na chake na huu wa sasa hivi wa kufikiri kuwa cha Zanzibar ni maamlaka y ya Tanzania iliyo chini ya mamlaka ya upande mmoja tu.
 
Hamna lolote lile.. tumeshayasema haya hapa lakini Zanzibar haitoki kwenye Muungano na hakuna kiongozi wa Zanzibar mwenye akili timamu anayeweza kuja na proposal hiyo. Msishangae kundi hilo zima likajikuta linaishia Maweni..

Pengine hii procation itawafanya nyie mchukue hatuwa inayohitajika. Safari ina njia nyingi.
Tatizo hapa si jina la Muungano lakini ni mfumo wa Muungano. Hatukulalamika wakati ule kabla ya kuundwa kwa CCM na kufa kwa ASP kwani ulikuwa Muungano wa kila mtu na chake na ndio wazamzibari wanataka. La kuvunja Muungano nafikiri mlioanza ndio mtakaomaliza.
 
Akiingia Maalim Seif Ikulu kitu cha kwanza ataomba aimarishiwe ulinzi kutoka bara. Kitu cha pili ataomba na kufanya kila awezalo Kuimarisha muungano. Je can anyone guess kwa nn Maalim au CUF watahuitaji Muunangano zaidi wakiingia Ikulu ?

Itakuwa hatari iwapo kutahitajika kutawaliwa zaidi.
 
Nafurahi sana jinsi Mwiba unavyopenda kujifurahisha kwa kujipa matumaini ambayo, kamwe na asilan hayawezi tokea, ila sio vio vibaya kuishi kwa furaha ya matumaini ya vifaranga vya kuku kuwa mtaruka kesho, na matumaini hayo kwa kuku huendelea mpaka siku ya kuchinjwa na kufanywa kitoweo.

Kwa mujibu wa katiba, ile kufikiria tuu kuvunja Muungano ni uhaini, Alhaj Aboud Jumbe alipo panafahamika na yaliyomkuta yanaeleweka. Sijadhi kama bado kuna viongozi wengine, wanaotaka kufuata nyayo za simba.

Mzarau Mwiba mguu huota tende! Waliliona hilo Waarabu 1964.
Lakini kila mtu kivyake si ndio Katiba inavyosema? Iwapo Bunge la Muungano ni la Bara peke yake na Rais wa Zanzibar ni wa Zanzibar peke yake , ina maana gani?
 
[/SIZE]

Dhambi ya ubaguzi itaitafuna Zanzibar kama unachosema kitatokea kwa staili unayofikiria. Hii si kanuni ya Mwalimu Nyerere bali ni kanuli ya historia (Mwalimu Nyerere, 1995)

dhambi ya dhuluma itawapata watanganyika kwa kuitawala zanzibar kimabavu...
asilimia 99% ya wazanzibari hawataki muungano . kwanini tanganyika ilazimishe huu muungano...kuhusu hawa wapemba, sio temeke wala ilala au tandale . wapemba wako karibuni kila nchi duniani. kuwepo kwa wapemba temeke haina maana kama wanaukubali muungano...kuna wapemba mombasa, kampala ,maputo,,durban na hizi sio sehemu za tanzania. madai ya wanzanzibari kuwa serikali ya smz iongozwe na wazanzibari wenyewe na sio kuchukua amri ya ccm dodoma au amri ya Pinda au ya watanganyika...maendeleo ya zanzibar yanazuiliwa na muungano, hili halina shaka. na muungano ukivunjika zanzibar itakuwa kama zamani...wakati ina sarafu yake na hakiba ya fedha za kigeni za kutosha... hawa watanganyika wanoa lazimisha huu muungano wanafaidika nini?
kwanini hamufungui macho au bado mnaamini nyerere yuko hai?
 
Kila mtu na sukani yake sawa.lakini ukiacha jazba na kutuliza kichwa ukawaza na kuwazua ni upande upi ulotegemezi kwa mwenzie? Angalia temeke tu wapemba walivyojazana na frem zao nini namanga kkoo masaki hadi ubungo. Nie ni wafadhilaka mmezoea KUUTIA KASI BORAYEISHE ALAAAA tugawane fito uchuguzi ukifika wake zenu wabara mwawatimua Mpaka mmalize chaguzi zenu ndo ubinadam gani huooo ati ammy.MBONA KULALA AAG .........endeleeni kuramba sijui mwaramba nini

umesahau mahouse girls kule zanzibar wote ni watanganyika na gate men wote ni watanganyika...sijaona house girl mzazibari hapa na wala gate man hapa tanganyika. lakini hii sio hoja. kama mtanganyika ataishi zanzibar ataishi kwa kanuni za uhamiaji kama ilivyokua zamani...na kama mzazibari ataishi tanganyika ataishi kwa kanuni za uhamiaji. vile vile kuna wazanzibari hata marekani na ulaya na wanaishi kwa kufuta kanuni za uhamiaji wa ile sehemu waliyopo. kabla ya muungano zanzibar ndio iliyokuwa inaisaidia tanganyika na kuwakopesha pesa za kulipa wafanyakazi mishahara hili pia msilisahau.
 
Mkuu yale si maneno yangu, nakumbukia tu aliyosema Mwalimu. Thibitisha hapa kuwa Wazanzibari hawafaidiki na Muungano. Pia kumbuka kwetu sisi Wabara kuvunjika kwa pakacha ni nafuu ya mchukuzi.

kama kweli hamuutaki muungano kama wazanzibari kwa nini muko kwimya ...wazanzanzibari wakilalamika mnasema wapemba wakorofi...mimi na kubali lakini watanganyika walelala usingizi mzito...
 
Akiingia Maalim Seif Ikulu kitu cha kwanza ataomba aimarishiwe ulinzi kutoka bara. Kitu cha pili ataomba na kufanya kila awezalo Kuimarisha muungano. Je can anyone guess kwa nn Maalim au CUF watahuitaji Muunangano zaidi wakiingia Ikulu ?

nonsense...
 
DSC_2122.JPG

Wazanzibari waache kulaumu bara kwa kila kitu, tatizo Zanzibar sio bara bali uvivu wao.

Hebu angalia hilo kaburi linaombewa na viongozi huku magugu yakiwa yamejaa na, mbaya

zaidi, hao viongozi wanaona sawa tuu . Tatizo la Zanzibar ni UVIVU, muungano mnautumia

kama scapegoat tuu.

Unajua, hili kaburi liko hivi kwa ajili ya Muungano. Ni Watanganyika wamefanya hadi jamaa washindwe kuondoa vipande vya bati na kusafisha nyasi sehemu ambapo Vigogo wa Zenji wanakuja kusali. Sijui ni kaburi la nani. Ila anaonekana alikuwa mtu maarufu na walishindwa kabisa kulisafisha kabla ya MISA. Hii ilifanyika ili kuonyesha uonevu wa Wabara kwa Wazenji, Saafi sana.
 
Sidhani kama kutakua na mshtuko tena kama wewe mwenyewe umeshavujisha siri hii hadharanai,nwei sijui ata umeitoa wapi!lol
 
Mwiba, huo mshtuko uliousema unahusiana na kuugua ghafla kwa Maalim Seif Juzi, au kuna jingine tulitarajie?
 
Hakika WZNZ tumeshachoka na wabara kwanza wanasifa kuu tatu ni wahemkwaji,wabaguzi na wadini,mimi niko bara nafanya kazi bosi wangu ata hajifichi ananibaguwa wazi wazi .halafu nimesahau moja wabara hawafanyi kazi mpaka wasukumwe(pushed0 dah!!!!!!!!!!!!!!!,ninampango wakuacha kazi ukifanya kazi vizuri wanaona kama unajipendekeza au unataka kuchukua vyeo vyao,halafu sifa yao ya tano ni washirikina kila muda wanaamini kurogwa.dah.POLENIN WATANGANYIKA SIWAPENDIIII

1. Sasa ndugu, udini utakuwepo vipi Zenj wakati nyote ni Waislamu?
2. Ubaguzi wa kati ya mzanzibar na Mtanganyika utatoka wapi wakati wafanyakazi wote wa Zenj ni Wazenj?

Wewe huoni jinsi mnavyo nyonya bila kulisha? Nyie ni wazanzibar na pia ni watanganyika! Watanganyika ni watanganyika na sio wazenj. Unaweza kuishi kokote na kufanya kazi kokote wakati mtanganyika hawezi hivyo, HUO UBAGUZI huuoni? Serikali ya muungano ni yetu sote ila ya Zenj ni yenu peke yenu. Tanzania ni yetu sote ila Zenj ni yenu peke yenu! Ebo, wabaguzi ni kina nani?
 
Back
Top Bottom