Karume baba na Wafungwa.

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Karume baba alitembelea gerezani kwa nia ya kutoa msamaha kwa wafungwa ambao makosa yao hayakuwa makubwa. Kila mmoja akaeleza kosa lililomleta pale kama kuiba kuku, kumtukana jirani. Ilipofika zamu ya njemba moja hali ilikuwa hivi:

Karume: Wewe kwa nini ulifungwa?

Mfungwa: Mimi nimeonewa bura mheshimiwa. Nilimtigo ng'ombe tu nimefungwa miaka mi5.

Karume: Eti nini! Unamtigo ng'ombe, hujui ngombe ni kwa kitoweo na sio kutigo? Adhabu yako miaka mi5 zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom