Karume akabidhiwa nishani ya shujaa wa Zanzibar

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
karume2-564x272.jpg


Mzee Hassan Nassor Moyo akimkabidhi Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume nishani ya Shujaa wa Zanzibar iliyotolewa na Swahili Performing Arts Centre (SPAC) ambapo nishani kama hiyo tayari ameshakabidhiwa Maalim Seif Sharif Hamad kutokana na mchango wa viongozi hao walisimamia maridhiano ya Zanzibar, walioshuhudia makabidhiano hayo Mwenyekiti wa SPAC, Kheri Abdallah Yussuf na Mjumbe wa Bodi, Ismail Jussa
 

Attachments

  • NISHANI-SEIF-430x320.jpg
    NISHANI-SEIF-430x320.jpg
    19.7 KB · Views: 35
Yes anastahili, aliipiga vizuri sana ile kazi ya ushenga. Sasa CCM na CUF zimeoana yeye amekaa pembeni anakula pensheni huku ndoa aliyoifanikisha ikiwa na furaha kubwa. Ni vizuri wamtumie kama mshauri kama kuna ugomvi wa wanandoa, kwa sisi huku bara hatuna cha zaidi kusema kwani mume na mke wakigombana chukua jembe ukalime. Hongera Mzee Karume, tulia, kula Konyagi zako na ufaidi pensheni yako.
 
goooooooooooooooooooood,inatia moyo alijtahdi sana chini ya utawala wake
 
machafuko kwa sasa bas, wengi walipotea kila wakati wa uchaguzi, kilchobaki ni kujenga nchi
 
Back
Top Bottom