Karimjee vipi wadau??

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
Jamani ndugu wanajamvi,mbona hakuna mtu anayetuletea habari toka Karimjee Hall??
 
Kama mpaka sasa hivi hiyo habari haijapatikana mjue ni yale yale NO NEWS
 
mimi niko pemba mnazi kwenye ufukwe napunga upepo! Mnijuze kilicho jiri tafadhali yasije kuwa kama ya Tunisia wakati wengne tuko mchangani.
teh
 
Tamko la waislam Dar litapatikana kwenye vyombo vya habari vyote ilikuondoa upotoshaji habari za waislam.Kongamano ilikua kujibu hoja nyingi za maaskofu kwa serikali zinazolenga waislam nchini. Tumevumilia sana sasa muda wa amani Tanzania unahesabika.Tamko lilikua live imanifm.
 
Samahani sijaelewa hapo penye red. Kwani serikali niya waislam?
 
Tamko la waislam Dar litapatikana kwenye vyombo vya habari vyote ilikuondoa upotoshaji habari za waislam.Kongamano ilikua kujibu hoja nyingi za maaskofu kwa serikali zinazolenga waislam nchini. Tumevumilia sana sasa muda wa amani Tanzania unahesabika.Tamko lilikua live imanifm.

kwahiyo wewe unawawakilisha kina nani....waislam au mashehe au imani fm ..... au unawakilisha kundi la magaidi.....
 
wanataka jihad au???? hawataweza maaskofu uzuri wakristo wanapenda kupuuza mambo yasiyokuwa na tija ktk maendeleo ndo maana wanasonga mbele kielimu na kiuchumi.hawataweza kushinana na wakristo hata iweje.walisahchelewa iliyopo waombe ushauri wa wao kuinuka si kuweka majungu.
 
Back
Top Bottom