Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Hahaha album kubwa iyoria mbeee! hahahahhah kitu kiko kwenye kitochi au alibam
Huku Mwanza ipo lakini ni CHURURU sio nzito kama ya MoshiHahaha album kubwa iyo
Huku Mwanza ipo lakini ni CHURURU sio nzito kama ya Moshi
hio ndo disemba time
Nagonga tu LUSEKELO basi gagagagagagaAah ao hawajui kutengeneza, ww kula zako tu samaki
Nagonga tu LUSEKELO basi gagagagagaga
Hehehe kunywaa tu mkuuDah! Mate yananitoka hapa jamani
yeeeeee bhagosha mbona
Yunatamanishana mchana huu
Hicho ni nini? kama choo cha mgonjwa wa kipindupindu?. Alipona kweli huyu au ndo keshahifadhiwa?
Hahaha karibukitu cha mbege
Alikufa so naombeni rambirambiHicho ni nini? kama choo cha mgonjwa wa kipindupindu?. Alipona kweli huyu au ndo keshahifadhiwa?
ndo nini hiyo..?
Ni nini hiko!!?