~*~*KARIBUNI WOTE~*~*.a

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
IMETIMIA MIAKA 22 TOKA ALIPOFARIKI BABA YETU MPENDWA MAREHEM JOSEPH JAMES MSOFFE, TULIMPENDA SANA BABA YETU LKN MUNGU ALIMPENDA ZAID. DAIMA TUTAMKUMBUKA KWA UPENDO WAKE KWA FAMILIA YK NA JAMII NZIMA. Kwa niamba ya familia napenda kuwakaribisha wana jf wenzetu kwenye misa ya marehemu baba itakayofanyika tar.25/11/ 2011 kijijini LEMBENI wilaya ya MWANGA mkoa wa KILIMANJARO. KARIBUNI WOOOTE.
 
Tuko pamoja mkuu. Mwenyezi Mungu amrehemu na amlaze mahali pema peponi. Amina.
 
je makande yatakuwepo...?na kama ni mwanga sehemu gani?kisangara au wapi hapo..tuje ..
ndio yatakuwepo kiasi kwani ndo msosi wa asili yetu, kn wengine beche halipandi kabisa. ni mbele kidogo ya Kisangara PANAITWA LEMBENI pale reli inapopita juu ya barabara
 
huduma za malazi zitapatikana nyumbani pia kuna hoteli nzuri sn hp kisangara na mwanga.
 
Tupo pamoja ndg. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali panapostahili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom