Karibuni Wikiendii!

kuona mwaliko amejaza sicksheet
Kuna watu wataalamu wa ku-cheat!
Juzi tulivoenda Babati kwa ile party yetu alimwambia mwajiri wake kuwa nyumba ya binamu yake imeingiliwa na mafuriko ya mto Kiroroma, kumbe wapi!
Leo kasingizia msiba wa Mr Ebbo!
Sasa kwa ile maneno yetu ya kesho pale nanihiino sijui atasemaje!
Namshauri ajue kuwa ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu!
 
watumiaji wa mbege msiwe na hofu mie nitafika na mtungi umejaa ..kama daladala halitavunja kamtungi kangu naoana tumebanana kama mishikaki,,,,:poa
Mkwe hebu ongea na Lizzy nasikia huwa anamaliza lita 20 za mbege
 
Kuna watu wataalamu wa ku-cheat!
Juzi tulivoenda Babati kwa ile party yetu alimwambia mwajiri wake kuwa nyumba ya binamu yake imeingiliwa na mafuriko ya mto Kiroroma, kumbe wapi!
Leo kasingizia msiba wa Mr Ebbo!
Sasa kwa ile maneno yetu ya kesho pale nanihiino sijui atasemaje!
Namshauri ajue kuwa ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu!

na vile anatumia white sijui kama atakuwa na kumbukumbu daaah itabidi shemegi wa kericho ajitole kumkumbusha
 
na vile anatumia white sijui kama atakuwa na kumbukumbu daaah itabidi shemegi wa kericho ajitole kumkumbusha
We Blaki,
Usimkumbushe huyu mambo ya Kericho bana, tumefanya kazi kubwa sana kumsahaulisha, na tumempa Kitengo maalum cha kum'keep-busy hukuhuku, utaacha aanze kumdipu mtu sasa hivi!...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom