karibuni tupunge upepo

lol! jamani ungekuja huku mitaa ya kunduchi ungenipa bonge la kampani aisee.
 
Siamini kumbe ndio wewe Eversmilin gal nakaribia hapo lakini nimesha kuona.

Ebwanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Na mimi nipo kwenye mihogo na mishikaki... Huku kwa Tito, muulizie nilipo atakuonesha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom