Karibuni tule urojo.

Thibitisha kuwa ni dada zako, wakaka Wa siku hizi mmmmh!! Anaitwa dada kumbe mke mwenza

Uzuri mwanao anawafahamu mawifi zake kinaga ubaga, afu akielewa yeye si ndo na wewe umeelewa. Au sio mama mkwe wangu...
 
Kuna mwenzio hapo juu anaalikwa kwenda kula urojo mwanangu, ye kasema Yule ni dadake! Kazi ni kwako! Isije ikawa ni Zantel, twanga kotekote!!

Ma mkwe vipi tena, mbona kisebusebu? Mwanao hana shaka, nishamtambulisha kwa mawifize...
 
Kama anawafahamu, ruksa Mkwe!! Sitaki aje analia, wajua tena uchungu Wa mwana aujuae mzazi

I know, I know!
Najua nikimuumiza bintiyo ndo nimekuumiza wewe mkwe. Katu mwanao hatajuta kuwa na mimi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom