Karibuni tule urojo.

lakn measkron have said nimependa username yake co nimempenda yeye. mf. m2 anakwambia nimependa cm yako/nguo yako co kwamba kakupenda weye! hahaa
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa huko Dec kweli hii kitu ni tamu kuna mtaa mmoja tulikuwa tunakula chini ya mtu ,mtaa maarufu hapo Zenj
Kuna watu huwa wanafaidi lol
 
Wala sio visiwani.
Chimbo liko hapahapa jijini, Msasani mkabala na kanisa la KKKT. Kama vipi liunge...

weeeee umepataja nyumbani kabisaaaa.... kwa upande gani hapo huo mtaa wa nyuma mkirikiti/ matunda au hapo kwa mama shobo....ehehehe...
 
vanmedy unaweza kuwa alumni wangu Msasani, chimbo liko hapa kwa huyu mpemba just opposite na kanisa, jirani na hii phamarcy ya kighorofa.
Mkirikiti ilikuwa enzi zile kuna singenge,? miksa kwa Mbela, unakumbuka?
 
Last edited by a moderator:
vanmedy unaweza kuwa alumni wangu Msasani, chimbo liko hapa kwa huyu mpemba just opposite na kanisa, jirani na hii phamarcy ya kighorofa.
Mkirikiti ilikuwa enzi zile kuna singenge,? miksa kwa Mbela, unakumbuka?

yani we wahome100% jamaa angu...hadi kwa mbela na singenge zake unazijua...ukisogea mbele castle...ruva...makamba jeki unarudi magunia...ogopa mbwa mwitu akina juma kijo,amiri kise,godi chababa,,tadeo... mwanangu marehemu ndumusa n.k..
mi niko mkoa but next week ill be in dar/home kobil/msikitini hapo...
vipi twende pm au tutomboke humuhumu??
 
Godi chababa msela wangu kitambo kabla hajaacha shule then akatupwa segerea, kina Sheby na Rama Mabruki je? Camp Familia bora...
 
rama nimesoma nae darasa moja kabla hajaacha shule..msasani primary school.. sasa hivi anashinda beach kama samaki vile...halafu babake anauwezo fresh tu...daaah maisha haya... we uko pande za wapi kwa huko...familia bora matozi akina abass kuka..blanc ignass...deo...msafiri.. hehehe hapo unaitafuta shoppers..daaah long tiiiiime..
 
We acha tu kaka, karibu clas langu lote aidha mateja au malaya wa kutupwa, kina Mtejangi, Pendo Kanyala, Asha na Hawa, Zainab, Neema na Upendo...
 
asante sana ila kututamanisha tu jamani sie ambao kuupata huo ni ndoto
 
We acha tu kaka, karibu clas langu lote aidha mateja au malaya wa kutupwa, kina Mtejangi, Pendo Kanyala, Asha na Hawa, Zainab, Neema na Upendo...

zainab mbwana au???? mwaka gani ulimaliza jembe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom