Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
Huna kazi?????????????????????. Wagonjwa wanataabika huku wewe unaleta mzaha.
inaelekea kwenu mtu akiumwa basi ukoo mzima unaumwa.......akuna cha kufanya mambo mengine wala nini........Huna kazi?????????????????????. Wagonjwa wanataabika huku wewe unaleta mzaha.
Aika sana. Shimbonyi shapfo?inaelekea kwenu mtu akiumwa basi ukoo mzima unaumwa.......akuna cha kufanya mambo mengine wala nini........
mie siyo mchaga...........hapo sijaelewa kitu.Aika sana. Shimbonyi shapfo?
a day dream
Wadau karibuni muanze kutafuta viwanja 2050 si mbali.
a day dream
Wadau karibunI
MOSHI - Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo !!
Kweli its a day dream!!!
Nimepita Moshi about 2 weeks ago nikitokea Singida,Arusha then Moshi.
Moshi is definately NOT changing.
It is as if it has stunted, and refused to grow.
Bado ni mji ule ule wa zamani na haibadiliki.
Tofauti sana sana na Arusha ambayo kila kukicha inabadilika.
Sababu?
Utaambiwa wenyeji wa Moshi hawapendi kuuza ardhi kwa wawekezaji wa nje, na hivyo basi kufukuza uwekezaji.
Pole Moshi, but is this true?