Karibuni mjiunge na chama cha kijamii

Ujio wa CCK ni nothing but kuongeza tuu idadi ya utitiri wa vyama!. Nothing more, nothing less!. Ila pia naijui CCK inside out, kimeanzia kwenye deathbed and its in that same deathbed kitaishia na I doubt kama hata hiyo 2015 kitafika!.

There is a principle that says, 'to everything, there is an opposite'. In your view, suppose the conviction among many is that CCM is in its death bed, and the above principle is held, what would be the opposite of Chadema in 2015 and beyond, NCCR? CUF?
 
Nilichogundua watu waliochukia ujio wa CCK ni Chadema, wanahofia kutishia maslahi yao.

Chadema, kimtazamo wao wanao wao ndio wanatakiwa kuwa chama cha upinzani peke yake Tanzania, baada ya nguvu ya CUF na NCCR Mageuzi kuwa dhaifu.

Kuna wasiwasi mkubwa kwa Chadema kupokwa wanachama wake na CCK. Poleni sana Chadema.

CCK, kama chama mnayo haki ya kikatiba kufanya siasa Tanzania.
 
Lengo la CCK "Kwa ufupi malengo ya chama chetu ni kuboresha maisha ya jamii yetu kwa kutumia uwezo wote ambao tumejaliwa na Mwenyezi Mungu. Uwezo wa akili, maliasili, nguvu kazi na hazina mbalimbali tulizojaliwa. Katika kufikia malengo hayo tutashiriki katika siasa za nchi yetu na kusimamisha wagombea wanaotokana na wananchi wenyewe na ambao wataongozwa na misingi hii ya chama hiki kipya".

Hawa hawana lengo la kushika dola hivyo siyo chama cha SIASA.....labda ni chama cha kuvuruga Vyama vya SIASA
 
Kama wanachama wanaitwa tuuu kama hivi kwa kusema njooni jiungeni, basi watu watakaojiunga ni mapungwani kabisa..Chicken without head
 
CCK mmechelewa. Mlivyo anza miaka miwili iliyo pita mlionekana kweli mwaweza kuwa mbadala. Mkahitajika kwenye uchaguzi wa 2010 mkakosekana Watanzania waka tafuta mbadala. Mlipoteza window of opportunity aidha kwa makosa yenu au ya wengine. Ila jitahidini tu.
 
Mngeonekana wa maana zaidi kama mngeongeza nguvu ya upinzani kwa kujiunga na moja ya vyama vilivyopo tayari, mkaunganisha nguvu zenu na zao, mkasaidiana kujenga malengo yatakayowasaidia Watanzania badala ya kupunguza nguvu ya upinzani. Kitendo cha ninyi kuanzisha chama kipya inaonyesha ni kwa kiasi gani 'kuboresha maisha ya Mtanzania' isivyo moja ya malengo yenu na kwamba mliyo nayo yana faida kwa wenye chama na sio zaidi ya hapo.

Kila la kheri 2015.

hapo kwenye red,chama kipi?? make kila kimoja ukikitazama kwa nje tayari kishajickokea na mitifuano ya ukabila,udini,ukanda,ufamilia,ufisadi nk,nadhani kuanzisha chama ilikuwa ni muhimu sana,karibu CCK
 
Lengo la CCK "Kwa ufupi malengo ya chama chetu ni kuboresha maisha ya jamii yetu kwa kutumia uwezo wote ambao tumejaliwa na Mwenyezi Mungu. Uwezo wa akili, maliasili, nguvu kazi na hazina mbalimbali tulizojaliwa. Katika kufikia malengo hayo tutashiriki katika siasa za nchi yetu na kusimamisha wagombea wanaotokana na wananchi wenyewe na ambao wataongozwa na misingi hii ya chama hiki kipya".

Hawa hawana lengo la kushika dola hivyo siyo chama cha SIASA.....labda ni chama cha kuvuruga Vyama vya SIASA

hakika haya ni mawazo mfu,huwezi kuyafanya hayo kama huna dola!!
 
Mie huwa nawaambia Siasa za Tanzania zichukulieni kama Simba na Yanga wala msijipandishe pressure, sie tunalumbana hapa wao wanapeana juisi Ikulu, burdaaan wa sharaba na nje wanakunja. Dahhh, hawa jamaa wanatupatia kweli hawa.

I like this...... Eti siye tunalumbana wao wanapeana Juice Ikulu!!! Duh hi si balaa ni blaaaa
 
Back
Top Bottom