K Kamongo JF-Expert Member Mar 20, 2009 1,955 2,071 Dec 24, 2010 #21 Ni bora kuishi mgombani kuliko dar,
K Kamongo JF-Expert Member Mar 20, 2009 1,955 2,071 Dec 24, 2010 #22 Najua sirikali haina uwezo wa kuweka lami,hata moramu tupite na vigari vyetu vya hongo kong
M MONTESQUIEU JF-Expert Member Nov 8, 2010 847 80 Dec 27, 2010 Thread starter #23 kamongo said: ni bora kuishi mgombani kuliko dar, Click to expand... haswa kwa raha hii.. Huku kwetu wazee wa nguvu wa kichaga toka pande zote za dunia wamefika x - mas hii!
kamongo said: ni bora kuishi mgombani kuliko dar, Click to expand... haswa kwa raha hii.. Huku kwetu wazee wa nguvu wa kichaga toka pande zote za dunia wamefika x - mas hii!