Karibuni kwetu nyumbani

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,113
10,820
iss-international-space-station-construction-history-100812a.jpg
 
Nasikia Al Queda walishiriki ujenzi wa kituo hiki huku Hezbollah wakitoa mchango mkubwa wa fedha
 
kumbe ndivyo mnavyoishi?Nalog off
Mi napenda wewe uwe wa mwanzo kuja kutembea huku.Usiwe unalog off kihivyo.Pata muda uangalie kidogo mazingira.
Hapo kwenye HABITABLE VOLUME ni ofisi yetu ndogo.Angalia hata kompyuta huwa tunaandika kwa kusimama.
Ukiingia ofisi kubwa ndio utapenda zaidi.Kwa sasa namimi nalog off nipate muda kuchungulia dunia yenu ikichomoza kulia kwangu.
 
Back
Top Bottom