Hakuna ccm day ambayo ni mapunzikoNingependa kujua kama ikitokea Chadema ikichukua nchi, CCM day itabakia au itaondoka?
Je, nao wataingiza Chadema Day? ... nijibu tafadhali ,pengine kwenye jibu la hili swali tunaweza kupata hitimisho zuri.
Una uhakika na unachokinena?
mkuu tanganyika lazima irudi ...Tanzania ina chembechembe za Zanzibar
Ila ni busara kumpa nafasi aseme na kutakuwa na nafasi ya maswali... Kwakweli Jerry Silaa haendani na nafasi kubwa aliyopewa kwa sababu naye ni mhanga wa rushwa kwenye chama chake na si mtu wa mfano kumsemea mwl. kutokana na mwenendo wake hata alipokuwa chuoni hapo UDSM.
Sina wivu na Jerry, zaidi namkubali kwa mafanikio ya chapchap kisiasa, and the guy is smart. Lakin hana uadilifu wa kuongelea ishu za Nyerere.
Pamoja sana.....Tanzania kitu gani bwanaNalipenda sana jina la tanganyika
utajua mwenyewe na balaa lako sawa
mzee sykes nae angefaa sana anajua historia ya baba wa taifa vizuri sana
Ni vizuri maana baada ya kuzungumza unaweza kumkosoa... Kwakweli Jerry Silaa haendani na nafasi kubwa aliyopewa kwa sababu naye ni mhanga wa rushwa kwenye chama chake na si mtu wa mfano kumsemea mwl. kutokana na mwenendo wake hata alipokuwa chuoni hapo UDSM.
Sina wivu na Jerry, zaidi namkubali kwa mafanikio ya chapchap kisiasa, and the guy is smart. Lakin hana uadilifu wa kuongelea ishu za Nyerere.
Sioni kitu chochote ambacho ni special kulitambua hili! au unafikiri kuwa hili nalo pia linahitaji akili za ziada kulitambua?...halafu hili suala la ardhi kumilikiwa na Serikali limetugharimu sana Waislamu, lakini acha tu hii sread haihusiani na suala la ardhi.
Waislam mbona kila kitu kwenu ni gharama? Utanisababishia Ban mkuu ngoja nikuaje na ujinga wakoSioni kitu chochote ambacho ni special kulitambua hili! au unafikiri kuwa hili nalo pia linahitaji akili za ziada kulitambua?...halafu hili suala la ardhi kumilikiwa na Serikali limetugharimu sana Waislamu, lakini acha tu hii sread haihusiani na suala la ardhi.
tutee watanzania si waislam plzSioni kitu chochote ambacho ni special kulitambua hili! au unafikiri kuwa hili nalo pia linahitaji akili za ziada kulitambua?...halafu hili suala la ardhi kumilikiwa na Serikali limetugharimu sana Waislamu, lakini acha tu hii sread haihusiani na suala la ardhi.