Karibuni Kwenye Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mwalimu Nyerere-Jumapili 14 Oktoba-Nkrumah

Nadhani hicho ndicho kinachokusumbua. Kasumba ya kuwa jina Tanganyika limekaa kishamba.

Huna tofauti na wale wanaokataa majina ya babu zao kisa hayaendani na image zao za "kimjini mjini"

Aibu kwako
Tanganyika iliyodumu sana ni ile ya mkoloni Mwingereza: 1919-1961. Tanganyika huru ilidumu kwa miaka miwili na ushei hivi: Dec 1961 hadi April 1964. Majina haya ya kikoloni kwa NCHI nyingi za Africa yaliachwa baada ya Uhuru kwa mfano Malawi, Zambia, Zimbabwe, Ghana, DRC,..., yaliyobaki ni yale yenye asili halisi na nchi yenyewe kama vile Kenya, Uganda, Sudan,...

Ni vigumu mno ku-trace jina hili Tanganyika. Tukibaki na jina TANZANIA ni kumuenzi Mwalimu pia.
 
Natamani kumuona kijana wa kizanzibari mwenye courage ya kumuenzi mwalimu kwa kuwahamasisha wazanzibari kwa kutumia njia za kikatiba, aidha kupitisha azimio la BLW ma kupitia bunge la JMT, hoja ya kuitenga zanzibar na muungano ili tuendelee na shughuli zetu za kujiletea maendeleo.

Bahati mbaya sana wazanzibari wamekuwa waoga sana kutumia njia rasmi za kuuvunja muungano na kujitenga, wazee wao wamekubali kushindwa na sasa wamewarithisha watoto wao tabia za kipayukaji majukwaani na social media kama anavyofanya ismail justa, wanashindwa kutumia vyombo sahihi vya kisheria.

I dont care kuhusu jina, nikiitwa mtanganyika najisikia vizuri, nikiitwa mtanzania nitaendelea kujisikia vizuri tu.
 
Tanganyika iliyodumu sana ni ile ya mkoloni Mwingereza: 1919-1961. Tanganyika huru ilidumu kwa miaka miwili na ushei hivi: Dec 1961 hadi April 1964. Majina haya ya kikoloni kwa NCHI nyingi za Africa yaliachwa baada ya Uhuru kwa mfano Malawi, Zambia, Zimbabwe, Ghana, DRC,..., yaliyobaki ni yale yenye asili halisi na nchi yenyewe kama vile Kenya, Uganda, Sudan,...

Ni vigumu mno ku-trace jina hili Tanganyika. Tukibaki na jina TANZANIA ni kumuenzi Mwalimu pia.

Sasa si na Tanganyika ingeacha kutumia jina Tanganyika kama inaona sio jina sahihi?

Nyerere hakuliondoa na wala madhumuni ya kufanya hivyo hakuonyesha katika hicho kipindi cha Tanganyika huru, ikionyesha kuwa hilo ndilo jina alilojinasabisha nalo. Kuwa yeye ni Mtanganyika, na watu wake ni Watanganyika.

Kubaki na jina Tanzania hakutakuwa kumuenzi Mwalimu, bali kumdhihaki. Kuwa Muungano aliouunda umefeli moja kwa moja lakini licha ya hayo, bado tunaendelea kubaki na jina linalotokana na Zanzibar ambayo imeikataa Tanganyika.
 
bado unasadifu hilo jina ona unavyojigonga!!! waongeze wakongwe ama nguvu? ndio ukilaza wenyewe huo, umesahau kitu cha dakika60 tu, ndio huitwa umelaza yaani kilaza....soma nayoyaita maoni yako ya kwanza na unachosema sasa

Tangu nimeanza kukusoma humu jamvini sijawahi kuelewa point yoyote katika posts zako zaidi ya kuwashambulia na kuwadhihaki wale usiokubaliana na mawazo yako. Ritz katoa pendekezo lake wewe unaanza kumshambulia na kumdhihaki.
 
Nilichogundua mie na wewe tupo tofauti kiumri, ninaposema wakongwe Mwl Kitila Mkumbo, kanielewa shughuli yeyote ya Mwl Nyerere pale Nkurumah lazima wakongwe kama Prof Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu, Salim A Salim wanakuwepo.

wacha tupate mawazo mapya na fikra mpya kutoka kwa vijana, hao wakina shivji waachiwe tamasha la KIGODA CHA MWALIMU, kama kutoa mada walishatoa sana na kila mwenye sikio alishasikia.
 
Last edited by a moderator:
Tangu nimeanza kukusoma humu jamvini sijawahi kuelewa point yoyote katika posts zako zaidi ya kuwashambulia na kuwadhihaki wale usiokubaliana na mawazo yako. Ritz katoa pendekezo lake wewe unaanza kumshambulia na kumdhihaki.
Muiltiple Ids, sasa hivi ipo offline, ikirudi inaanza na likes kwa Ritz, sajafahamu wewe die nani wake? na daima huwezi kuziona point zangu mpaka tukutoe huo ukungu! mitazamo daima huwa tofauti nauwezo tofauti, huyo na mie ni tofauti kama alivyokwambia. endeleeni kuwa na IDs nyingi tu, mtazidi kuumbuka.
 
Last edited by a moderator:
Kutakuwa na wachangiaji wengine nadhani hao ni wazungumzaji wakuu tu, wazee watapata pia nafasi ya kuchangia hoja za hao vijana. Wazee hawawezi kuwasemea vijana ila vijana waseme na wazee wachangie

Zitto akisema tunageuka!!!!!
 
Muiltiple Ids, sasa hivi ipo offline, ikirudi inaanza na likes kwa Ritz, sajafahamu wewe die nani wake? na daima huwezi kuziona point zangu mpaka tukutoe huo ukungu! mitazamo daima huwa tofauti nauwezo tofauti, huyo na mie ni tofauti kama alivyokwambia. endeleeni kuwa na IDs nyingi tu, mtazidi kuumbuka.

Naona mzimu wa Ritz unakutafuna mpaka unaanza Name Calling, kama hiyo ni ID yangu mwambie mods waiunganishe na ID yangu mie taangaika na wewe mnyonge kweli mpaka nikutafutie ID ingine si bora nijitoe JF...Pro-Chadema wote mnatosha na Ritz,
 
Last edited by a moderator:
Mimi bado ninalia na gharama kubwa zisizo na ulazima ambazo tumeingizwa wote!...its a shame!
 
UDASA & ITV

Wanawaletea

Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mwalimu Nyerere

Mada Kuu: 'Nini Jukumu la Kihistoria la Vijana Tanzania katika Kumuenzi Mwalimu Nyerere?

Tarehe: Jumapili 14 Oktoba 2012
Muda: Saa 8.00 mchana hadi Saa 11.30 jioni(2.00pm-5.30pm)
Ukumbi: Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Wazungumzaji Wakuu

1. Ndugu Deus Kibamba
2. Mheshimiwa Jerry Silaa
3. Ndugu Esther Wasira
4. Dk Vincesia Shule

Wote Mnakaribishwa

giving-thumbs-down_500_copyright.gif
 
UDASA & ITV

1. Ndugu Deus Kibamba
2. Mheshimiwa Jerry Silaa
3. Ndugu Esther Wasira
4. Dk Vincesia Shule
Kitila Mkumbo kusema kweli wazungumzaji wakuu wanatia kichefuchefu
Sikuona mantiki ya kumkalibisha Meya wa JIJI kuja kuongea sijui ataongea nini

Mkuu unafikiri huyu dogo atakuwa na kitu cha kuongea mbele ya wanaUDSM?

images
 
Last edited by a moderator:
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kamanda Mkumbo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wana-Iramba wanakusubiri kuliko kawaida mkuu. Hayo ndio matokeo ya utafiti tulioufanya pale na baadaye uje ukarekebishe mmbo kitaifa pale Dr Kawambwa anakochezecheza makida makida ya hatua 3 mbele na 9 nyuma ki-elimu nchini.

Naam, kamwe usisahau kauli hii hapa: Kiti cha Ubunge kule Iramba kiko wazi tangu siku ya pili tu tangu Mzee Makame atangaze matokeo Wana-Iramba siku zote hizo wamekua ni WAKIWA WA KISIASA nchini.

Ni hivi sasa tu ndio baadhi ya wasomi na wfanyabiashara maarufu kule Iramba wameanza kugutuka kwamba ni kweli WALIDHANI WAMEMCHAGUA MBUNGE KUMBE MASIKINI WALIJICHAGULI MTALII asiyekua na kazi yoyote ya maana kuwawakilisha bungeni zaidi ya kudandishwa kazi ya UPIGAJI DEBE katika kila jimbo nchini.

Siku hizi imekua ni kawaida, tunaposoma gazetini kwamba kuna mbunge huyu au yule ama anaugua au kafariki, watu hujiuliza je Mwigulu Nchemba keshatia timu jimboni kwake tayari kwa kutaafuta mbunge mwingine au laa.

Ki-ukweli nadhani kazi hii inamfaa sana huyu mtani wetu wa kisiasa kuliko kuendelea kuwawekea kiwingu Wana-Iramba kuendelea kukosa uwakilishi makini na wala si majukumu yaendayo kinyume na HAKI ZA BINADAMU kama vile kuongoza genge la wauaji wa Tanzania wenzake.

Japo Wana-UDSM huenda ikawa wanakupenda sana lakini Wana-Iramba wameonyesha kukupenda zaidi; kamwe huna ubavu wa kuwaangusha walalahoi wenzetu hawa katika azma yao hii. Mkuu tuko pamoja???

UDASA & ITV

Wanawaletea

Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mwalimu Nyerere

Mada Kuu: 'Nini Jukumu la Kihistoria la Vijana Tanzania katika Kumuenzi Mwalimu Nyerere?

Tarehe: Jumapili 14 Oktoba 2012
Muda: Saa 8.00 mchana hadi Saa 11.30 jioni(2.00pm-5.30pm)
Ukumbi: Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Wazungumzaji Wakuu

1. Ndugu Deus Kibamba
2. Mheshimiwa Jerry Silaa
3. Ndugu Esther Wasira
4. Dk Vincesia Shule

Wote Mnakaribishwa
 
Muiltiple Ids, sasa hivi ipo offline, ikirudi inaanza na likes kwa Ritz, sajafahamu wewe die nani wake? na daima huwezi kuziona point zangu mpaka tukutoe huo ukungu! mitazamo daima huwa tofauti nauwezo tofauti, huyo na mie ni tofauti kama alivyokwambia. endeleeni kuwa na IDs nyingi tu, mtazidi kuumbuka.

Aya bana ni kweli siwezi kuona "points" kwa sababu lugha yenyewe tu inakuwa shida na ni ya Kiswahili! Anyway cha msingi kuwa focused na upinge hoja kwa hoja na sio ku-attack personalities.
 
UDASA & ITV

Wanawaletea

Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mwalimu Nyerere

Mada Kuu: 'Nini Jukumu la Kihistoria la Vijana Tanzania katika Kumuenzi Mwalimu Nyerere?

Tarehe: Jumapili 14 Oktoba 2012
Muda: Saa 8.00 mchana hadi Saa 11.30 jioni(2.00pm-5.30pm)
Ukumbi: Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Wazungumzaji Wakuu

1. Ndugu Deus Kibamba
2. Mheshimiwa Jerry Silaa
3. Ndugu Esther Wasira
4. Dk Vincesia Shule

Wote Mnakaribishwa
safu ya wazungumzaji haina mvuto sana ila ntakuja dr.kwakuwa namuona kibamba zaidi. esther labda tu kwakuwa tumemkaribisha kwetu juzi. jerry hana lolote, shule atajaribu.
 
Back
Top Bottom