Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibuni katika harusi yangu wana JF

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chamajani, Dec 14, 2010.

 1. c

  chamajani JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 12,969
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 48
  Sasa hata hutuambii wapi inafanyika sherehe tutakujaje banaaa Leta details kamili
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,187
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Mke wa pili wa kwanza yupo wapi?...mimi nitakuja ukivuta mke wa tatu! Asante lakini
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,866
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 48
  Haya ndugu yetu, mimi binafsi natanguliza Mabruki, na pia nakutakia kheri kwenye huo ulimwengu wa Mathna!

  Basi hata anuani hutoi, ili tujuwe walima itakuwa wapi!?
   
 5. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 878
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 18

  Shekhe unaoa mke wa pili je uadilifu unauweza???????????!!!!!!!!!!! Angalia usije kupata zambi za kupendelea upande mmoja. Isijekuwa kama yaliyomo ndani ya nyimbo hii  au katika nyimbo hii  Nakutakia kila heri


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,352
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 48
  Tunakuja na vinywaji vyetu eeh?
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,352
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 48
  onesha ushirikiano kwanza kwa huyu wa pili.
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 5,588
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 63
  mke wa kwanza atakuwepo? nataka kuja kumfariji
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,270
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 48
  Chai na maandazi ni ya kutosha?
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,491
  Likes Received: 1,669
  Trophy Points: 113
  kwa hiyo nipake henna na piko ya kutosha eeh.....udi na uturi vyote ntie.....:doh: beer?
   
 11. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,632
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  I dreamed of a wedding of elaborate elegance,
  A church filled with family and friends.
  I asked her what kind of a wedding she wished for,
  She said one that would make me her husband....
  just thinking aloud.....hongera sana chamajani
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 16,979
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 113
  asante sana kwa mwaliko..
  hopeful kila kitu kitaenda sawa siku hiyo kubwa...
  na nina watakia kila lakheri kwa maisha yenu ya ndoa..
  God Bless
   
 13. c

  chamajani JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha! Ha! Ha, huu ulimwengu wa mathna,thalatha ma arb'a una enjoyments zake bana si mchuzi! Aaa,unajua shk walima ya 'second best but risk' huwa haitangazwi mapema bana!au mesahau veve?
   
 14. c

  chamajani JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Paka Jimmy, umesahau kuwa walima z inversily proportional to chai+maandazi, as u go to mathna,thalatha wa arba,no of participants become reduced! Normally hata kadi haina bana hii, so ka vp njoo hta na chupa yako y chai powa.
   
 15. c

  chamajani JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ee!ee! Preta, wataka kuwa 'third but bad' wangu nn? Je ikitokea hyo henna na piko yako+uturi wako vinazidi waridi langu si itanladhimu pia kulichuma na hilo komamanga lako soonest! Ok join to ths real enlarging world of mathna,thalatha no more arba! There still 2 rooms open an may be one z 4 you(say inshllh). Kwani gari yaenda vizuri ikiwa na 4 wheels mamaa!
   
 16. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,774
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  :amen::thumb:
   
 17. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,047
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 83
  Ukijirembe sana utageuka mke wa tatu kwa msitukizo siku hiyo hiyo, si unajua safari moja huongeza nyingine.
   
 18. D

  Derimto JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Hongera zako kaka ila utimize majuku kabla haujaanza kusaidiwa na madereva tax na mlinzi wa geti lako mwenyewe
   
 19. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umepata increment ngapi kwenye mshahara.... ukiona mtu anaongeza mke ujue....!!! simalizii maana ...
   
 20. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haaaaa umenichekesha wallah if is like dat he need a help even wedding dress yake pia tuchangishe na sisi...
   

Share This Page