Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

In Tanzania it is not the quantity of political parties that is a problem but the quality. I hope hiki chama kitakuwa na kiwango na si bora chama. Maana kila anaefukuzwa kwenye chama chao siku hizi anaanzisha cha kwake.
 
ADC Nyie simliolewa mmeachika tena.to hell hamna jipya nyie

Hiki chama si ndio kwanza kinashughulika na usajili wa kudumu? Sasa hiyo ndoa ya lini tena? Mbona mnaatack hata visivyostahili. Shutuma tuuuuuu bila mpangilio. Wabongo bana aaagh!
 
*QOUTE/PNU unaijua hii? Ilianzishwa rasmi mwezi september 2007 na ikashika nchi December 2007. Unafahamu hili? ama nikujuze PNU ni chama tawala nchi gani?*
Kifupi ni kwamba haijalishi mko kwenye system kwa muda gani ila mmejipangaje? Mnauzika? Sera zenu je? Watanzania hawataki longolongo siku hizi. Sisi tunakuja kikazi zaidi na tunajua sehemu ya kuanzia. **
Karibu ADCQUOTE/

*pa ziku zote,MABWEPANDE"* tunajua mmentumwa kugawanyisha kura za raia ili cha KIJANI kitawale milele, but sorry its too late.
 
Umeona hapo kwenye blue mgen? nadhani ushajua ni nani zee la miaka 70 na anacheza nini vileee....na watoto. Usipende kufuata mkumbo.....elewa unadeal na watu wazima wenye utimamu wao. Karibu ADC tutakufunza maadili na siasa kwa ujumla wake.

ahaa, nimeona! Nilichokiona umebeba JUNIA LA NAZI NGATA KIFUU! Upo?
 
Last edited by a moderator:
Maendeleo ni mazuri hadi hivi sasa kuhusiana na zoezi la Uhakiki linaloendeshwa na Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa na tunashughulika na mkoa wa Tabora, Dodoma then tumalizie na Dar es Salaam....Amsha amsha ya nguvu itakuwa jijini Dar es Salaam hapo tar. 17-08-2012.
Karibuni ADC.
 
ADC - DIRA YA MABADILIKO ADC - TUMAINI LA MTANZANIA

Madhumuni yetu ni:

1. Kushika Dola kwa njia halali na za kidemokrasia.
2. Kujenga Umoja na Mshikamano imara kwa Watanzania wote.
3. Kujenga Uchumi Imara na kulinda rasilimali za nchi kwa manufaa ya watanzania wote.
4. Kupinga kwa nguvu zote aina zote za ubaguzi na ukandamizaji.
5. Kuheshimu mikataba ya kimataifa inayohusu haki halisi za binadamu.

ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE.

Kwa Madhumuni kama haya ni mwanzo mzuri katika safari hii ya kisiasa. Utekelezaji ndio msingi wa yote mliyokusudia kuyafanya, hasa hapo kwenye BLUE (namba 3) ndio kinachoisumbua CCM leo hii. Wizi wa mali za umma na Ufisadi kwa ujumla wake.
Hakika malengo ni mazuri tunasubiri utekelezaji kwa vitendo.
Yakitimia hayo yote Hakika ADC ni dira ya mabadiliko.
 
15[1].jpg
ADC - Dodoma Vijijini Ipala - ADC.jpg
 
This is a " new name to the same old f@kn dog"

Nyie ni mapandikizi tu......... sna sna mnge upload video ya jinsi mlivyotumika kumteka nyara Ulimboka maana sioni jpy.

Mnazuga na colourz za CDM kwny flag yenu to gain popularity tu......

It's very disappointing kuona watu mnatumika kudidimiza Taifa hli kwa kisingizio ETI mna madhumuni.....

Madhumuni yenu hayana tofauti yoyote na ya CCM.

Na sielewi ni watanzania gn waliopevuka jpo kdg wanaweza wakasikiliza hzi heka heka za Abunuwasi.

Generally this party z Pro CCM 100% sema mmechelewa kufanya hii set up........ imeteguliwa na lazma iwalipukie...
 
Colour za CDM, Pandikizi, Kumteka Ulimboka....dah! Umetisha, Kweli wewe kibaraka.....Hv mpinzani wa kweli ni Chadema? Jamani inamaana vyama vingine haviruhusiwi kuwa oposition lazma tu muwe ninyi? Mbona watemi sana? Ndio utemi huu ninaouona headn inashauri kwa waliochoka nao basi wajiunge na ADC.
Umenipata mwanaharakati[hustahili kuitwa mwanaharakati] umenipata mfuata mkumbo?
 
This is a " new name to the same old f@kn dog"

Nyie ni mapandikizi tu......... sna sna mnge upload video ya jinsi mlivyotumika kumteka nyara Ulimboka maana sioni jpy.

Mnazuga na colourz za CDM kwny flag yenu to gain popularity tu......

It's very disappointing kuona watu mnatumika kudidimiza Taifa hli kwa kisingizio ETI mna madhumuni.....

Madhumuni yenu hayana tofauti yoyote na ya CCM.

Na sielewi ni watanzania gn waliopevuka jpo kdg wanaweza wakasikiliza hzi heka heka za Abunuwasi.

Generally this party z Pro CCM 100% sema mmechelewa kufanya hii set up........ imeteguliwa na lazma iwalipukie...

Tafadhali nishawishi nijiunge na Chadema. NIachane na hiki unachoita Pro CCM 100%, Pandikizi, Wadidimiza Nchi, etc. Usafi wa Chadema uko wapi? Ama unataka tuanze kumwaga mboga? Unadhani hatujui uozo uliopo huko?
Sijapost thread hii kutukanana na WAtu ila nimepost kushauri watu waje sehemu sahihi kwa Muono wangu. Sasa kwa WEHU kama wewe msijaribu kuamsha Simba aliyelala.
Karibu ADC tukufunze uadilifu, lugha sahihi zinazohitajika kutumia kwa mpinzani wako na namna gani ya kujipanga na kuweza kuchukua madaraka ya nchi bila kutumia utemi kama ambavyo mmejinasibu.
ADC - Dira ya Mabadiliko.
 
Twajua ni mpango wa ccm kuimaliza cdm but mmechemsha mawazo ya mkama na nape haya ................

Nimepitia coment zote lakini nimegundua chadema wana hofu kubwa mno na yeyote anayetishia kutia mchanga kitumbua chao. hivi kila upinzani ni kibaraka wa CCM?

Nasikia sikia tu oooh! Shibuda katumwa, Zito, kunani CDM. Mapambano hayendi kwa kujishuku na kudhani kila anayeonyesha misimamo yake ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo basi katumwa.

Hamkui? Hamjiamini? Chama kitashikaje Dola kama hakiamini Makamanda wake? Hebu tulizeni mzuka CDM.

SHIBUDA OYEEE!!
 
Dah!vyama vingine kero tupu.

Nawapa Hongera ADC kwa kukamilisha zoezi la UHAKIKI hatua ya AWALI ya mikoa mi5 ambayo ni Tanga, Mwanza, Pemba, Mara na Unguja, kazeni buti tuko nyuma yenu.

Tumechoshwa na Siasa za ajabu, Ukiondoa Ufisadi WA CCM miaka 50 toka Uhuru vipo vyama vingine ambavyo vimeshatuonyesha nia mbaya mapeeeeema Kabla ya kupata dhamana ya kuwa SERIKALINI.

Tumeshashuhudia vyenyewe vikiwa chanzo cha mauaji ya wananchi wasiokua na hatia mfano Arusha na Kama unakumbuka juzi juzi huko Singida jimboni kwa Mhe. Nchemba oparesheni ya vua gamba vaa Gwanda hatimaye ikazaa Vaa Sanda.

Dhambi hii itawatafuna siku hadi siku.
AMA kweli vyama vingine ni kero tupu.
 
Ongeza timu toka kwa wazoefu...ukipata viongozi toka Chadema, CCM na CUF nitakuunga mkono. Peke yako nahisi unaganga njaa na ADC tu.
 
Ongeza timu toka kwa wazoefu...ukipata viongozi toka Chadema, CCM na CUF nitakuunga mkono. Peke yako nahisi unaganga njaa na ADC tu.

Hahaaaa! Wewe kweli umefilisika kimawazo, Ni nani aliyekwambia kwamba bila ya viongozi hao unaowaita Wazoefu chama hakiwezi kusonga mbele?

Hivi ni nani asiyefahamu kuwa CUF ni wasaidizi WA CCM?

CDM iko Tayari kupoteza Uhai WA waTanzania kwa maslahi yao Binafsi, kwani migogoro yooooote, wao ndio chanzo hatimae husababisha Mauwaji kwa WA TZ wasio nahatia
 
Hongereni sana jitahidi mpate usajili wa kudumu! tunahitaji wapinzani wenye tija na taifa sio wa ku sign posho na kutoka nje ya bunge eti wamesusia kikao ..
 
kwa aina hii ya coment unanipa mashaka kidogo kujua nani akili zake zinafanya kazi vizuri na nani zinamtindio kwa kweli. Nimeona nikushike hapo kwny blue tu kuweza kukujuza ni namna gani kauwezo kako kalivyo kadogo kwenye kukokotoa mambo especially haya ya kisiasa.

Mfano mdogo tu ninaoweza kukupa kuhusiana na siasa na muda ni kwa majirani zetu tu wa hapo KENYA. PNU ie: Party of National Unit kilianzishwa rasmi tar. 16-sept-2007 na mwaka huohuo mwezi Dec 2007 wakasimamisha Mgombea wa RAISI ambaye ndie still President of the so called 'Republic of Kenya'
Imekaa vipi hii?

Inawezekkana ila SIO ADC, na kitu kingine ni kwamba Harakati za kuchukua nchi ziendeshwe kisomi jamani! sio bwalalabbwalala kama hivui
 
Inawezekkana ila SIO ADC, na kitu kingine ni kwamba Harakati za kuchukua nchi ziendeshwe kisomi jamani! sio bwalalabbwalala kama hivui

Sijajua ni kigezo gani umetumia kusema sio ADC, Na hizo harakati za kisomi ni zipi unazozizungumzia hapa kwani waSomi ndio hao hao wanaotukaanga na mafuta yetu wenyewe. Ndio wanaotufilisi. Najiuliza Kama sio ADC ni chama gani unadhani kinastahili? Miaka 50 ya CCM ndio lazima tukubali wamedumisha Amani, Vita sio nzuri na kamwe siwezi kuombea ije nchini mwetu, nitakua mwendawazimu. But is it peace of mind.....from annoyance, destruction, obsession, tranquility etc? The answer is NO. People are suffering because of CCM's leadership.....umasikini, ujinga, maradhi still vimetuzonga katika maisha yetu ya kila siku.
Sitaki kuendelea katika Hili na sitaki kuja upande WA pili WA hawa wenzetu ambao tuko pamoja katika upinzani, Nasema tuko pamoja kwa Maana ya jina "wapinzani" kwa ujumla wetu lakini ukienda kwa undani zaidi tuWapinzani tunaopingana. Si wamoja, Sawa tunapishana kiitikadi,lakini katika vita ya kuling'oa hili gamba tunahitaji kuwa na mshikamano, sasa ikitokea kubaguana hatuwezi kwenda mbali, Mifano ni mingi mno, Nenda Mjengoni tazama Mawaziri Vivuli utapata idea ya ninachosema.
 
Back
Top Bottom