Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

magambaz in a new face and colour. mbn bendera kama za M4c. re arange urself

hapa ndio ninaposhindwa kuwaelewa baadhi ya watu.....wapi ilipoandikwa kwamba rangi nyekundu nyeupe na bluu ni za chadema na marufuku chama kingine kutumia? Mbona CDM nanyi mmechukua kutoka CUF? ama mmesahau ile bendera yenu ya LIGHT BLUE? Basi CUF nao wamaindi mmewaibia rangi zao. Acheni fikra chovu. Hapo hatujaanza mshikemshike tukianza si mtakimbia ninyi?
 
Hawa ni wenye tamaa Kafulila na Hamad Rashid hawana jipya

Binafsi sioni tatizo kwa Kafulila na Hamad Rashid kuwa katika chama hicho. Wao ni wanasiasa na kila mmoja kafukuzwa kwenye chama chake japo bado ni wabunge kwa nguvu za mahakama. Sasa kuna ubaya gani wao kuingia ADC ilhali bado wananguvu na dhamira ya dhati ya kutetea maslahi ya Tanzania.
 
ADC - DIRA YA MABADILIKO ADC - TUMAINI LA MTANZANIA

Madhumuni yetu ni:

1. Kushika Dola kwa njia halali na za kidemokrasia.
2. Kujenga Umoja na Mshikamano imara kwa Watanzania wote.
3. Kujenga Uchumi Imara na kulinda rasilimali za nchi kwa manufaa ya watanzania wote.
4. Kupinga kwa nguvu zote aina zote za ubaguzi na ukandamizaji.
5. Kuheshimu mikataba ya kimataifa inayohusu haki halisi za binadamu.

ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE.

Ni sacos ya wapi tena hii?
 
Ni sacos ya wapi tena hii?

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sura ya kwanza Ibara ya 3(1) Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, isiyokua na dini, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa.
3(2) Mambo yote yahusuyo uandikishaji na uendeshaji wa vyama vya siasa nchini yatasimamiwa kwa mujibu wa masharti ya katiba hii na ya sheria iliyotungwa na Bunge kwa ajili hiyo.
Sasa Kwikwi ooh sore kichomi....wapi limetamkwa neno Saccos au nawe ndo walewale?:noidea:
 
Last edited by a moderator:
ADC - DIRA YA MABADILIKO ADC - TUMAINI LA MTANZANIA

Madhumuni yetu ni:

1. Kushika Dola kwa njia halali na za kidemokrasia.
2. Kujenga Umoja na Mshikamano imara kwa Watanzania wote.
3. Kujenga Uchumi Imara na kulinda rasilimali za nchi kwa manufaa ya watanzania wote.
4. Kupinga kwa nguvu zote aina zote za ubaguzi na ukandamizaji.
5. Kuheshimu mikataba ya kimataifa inayohusu haki halisi za binadamu.

ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE.

mtawapata Zitto na Shibuda 2.
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema ibara ya 18(a) kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake.
Ni haki yako kikatiba bwana. naamini unalijua hilo.
Hamna jipya mbona yote yanafanywa na waliopo, nina wasiwasi nawe ni ccm B
 
mkuu hizi picha mmepigia kwenye mhadhara gani uliofanyika ndani? Pia napenda kufahamu kwamba ktk ajenda zenu kwenye huo mhadhara wenu je swala la mwezi mtukufu mlilizungumzia.?

Mhadhara huo ulifanyika katika bar moja mjini Musoma, ukitazama vizuri kwenye huo ukumbi kuna bango la Kilimanjaro Premium Lager, na anayehutubia hapo kati ni Katibu Mkuu wa ADC Taifa Mhe. Lucas Limbu. Sikumbuki kumuona sheikh hapo zaidi walikua wahakiki kutoka ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa Kanda ya Ziwa na zoezi lililokuwa linaendelea hapo ni uhakiki wa wanachama.
Karibu ADC.
 
Bora leo umekuja kumwaga sera za chama chako jamvini unaweza kuvuna wanachama ADC for All.
 
ADC - DIRA YA MABADILIKO ADC - TUMAINI LA MTANZANIA

Madhumuni yetu ni:

1. Kushika Dola kwa njia halali na za kidemokrasia.
2. Kujenga Umoja na Mshikamano imara kwa Watanzania wote.
3. Kujenga Uchumi Imara na kulinda rasilimali za nchi kwa manufaa ya watanzania wote.
4. Kupinga kwa nguvu zote aina zote za ubaguzi na ukandamizaji.
5. Kuheshimu mikataba ya kimataifa inayohusu haki halisi za binadamu.

ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE.
Tumewapatia, Shibuda, Nchemba, Lukuvi, Ndungai na Manyanya, wanatosha? Wabembelezeni kama watakubali, mtakuwa mmepata wapambanaji wa uhakika.
 
Tumewapatia, Shibuda, Nchemba, Lukuvi, Ndungai na Manyanya, wanatosha? Wabembelezeni kama watakubali, mtakuwa mmepata wapambanaji wa uhakika.

Hatuko hapa kuomba msaada wa kupatiwa watu na wala hatuhitaji mtupatie, tunahitaji watu wenye utayari na uthubutu pamoja na moyo wa dhati katika kulisukuma hili gurudumu mbele. Wasafi mioyoni mwao wasio na uchu wa mali na madaraka ili madhumuni yetu yatimie. Mafisadi hawakaribishwi tafadhali.
 
Back
Top Bottom