...Karibu..

bora umuulize.....ili kama ni kutangaza....kila mtu atangaze.....tena mimi naenda kule love connect.....tuone nani ataanza kupata.....
..hahahahahaha,,kule nikiweka full jina..Picha..mbona unaweza kupiga mayowe wasinichukue...maana..

huamini nini.....?
...kama utanipiga..ingawa najua wewe ngumi jiwe...natania tu usije nipiga kweli buree
 
Back
Top Bottom