...Karibu..

bora umuulize.....ili kama ni kutangaza....kila mtu atangaze.....tena mimi naenda kule love connect.....tuone nani ataanza kupata.....

Wala huna haja ya kwenda huko hapahapa panatosha,hebu kwanza twende kwenye Zoo yetu kule nataka nikupe tabia za Nungunugu katika mapenzi,si unajua wamejaa miiba mwili mzima sasa jiulize wanapeanaje..??
 
Ruttashobolwa ole wako nikuone unaingia humu kwenye hili Chama.

Na ndo mana nataka uwe unatembea na Cheti chetu cha Ndoa.
 
Last edited by a moderator:
bora umuulize.....ili kama ni kutangaza....kila mtu atangaze.....tena mimi naenda kule love connect.....tuone nani ataanza kupata.....
hivi kabla hujatangaza umeshapata,hivi naandika naona unachelewa kutangaza.harakisha basi aah...
 
Back
Top Bottom