Karibu Tanzania Papa Yohane Paulo II

Nipe kama wiki tatu N itakuwa na hizo CD tutazungumza biashara
Ila kwaya nzuri sana niliyoipenda kuhu ujio wa Papa ni ile ya Parokia ya Mt. Maxmilian Kolbe Mwenge, ile nayo ilikuwa funga kazi. Kama unayo ni PM niinunue
 
Ila kwaya nzuri sana niliyoipenda kuhu ujio wa Papa ni ile ya Parokia ya Mt. Maxmilian Kolbe Mwenge, ile nayo ilikuwa funga kazi. Kama unayo ni PM niinunue
tumpokee kwa shangwe kwaya ya Mt. Cecilia ya Mwenge
 
Nilikuwa sjaanza shule ila nakumbuka songea ulimwagwa ulezi uwanja aliofikia kama zulia
 
Hapa kwenye simu ninao wa Nimtume nani nashindwa kupost albamu ipo ila mfumo wa Tape.
 
Hayo ndio unayopata katika mafunzo ya uchawi?
Binafsi nilifaidika na ujio ule wa papa kwa kupata kitabu kilichotolewa na kanisa katoliki kikielezea historia ya mapapa toka wa kwanza hadi huyo John II.
Humo kuna vituko,vichekesho na hata maajabu.
Mf.yupo papa mmoja alidumu kwenye upapa kwa muda wa saa moja kisha akaondolewa. Kisa...? Alisherehekea kupewa upapa kwa kuzini
 
Asante sana mkuu,

Sijui ni kwanini nilikuwa naupuuzia uzi huu, haya ni madini adimu sana.. Big up sana, Hivi naweza kupata wapi album hii? Iwe Audio au VCD, DVD hata VHS.?

Kama inawezekana nisaidie hilo mkuu.

BACK TANGANYIKA
 
Mwaka 1990 Kanisa Katoliki nchini Tanzania lilipatwa na ugeni kutoka VATICAN.

Papa YOHANE PAULO WA PILI alidhuru Tanzania. Kanisa Katoliki Tanzania liliandaa kwaya Maalumu kwa ajili ya kumpokea Kiongozi huyo wa Kanisa Kubwa Duniani.

Ukiondoa Albamu ya MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ya ST.PETERS , OYSTERBAY iliyotokwa mwaka 1992, Albamu ya " KARIBU TANZANIA BABA YETU YOHANE PAULO WA PILI " inachukuliwa kama albamu bora kabisa ya kwaya kupata kutokea katika Historia ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania .

Innocent Mushi ( Mtunzi wa wimbo wa MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ambao ndio ulibeba albamu ya MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ya ST.PETERS OYSTERBAY ) anasema " Kwa makuzi bora ya kimwili, kiakili na kiroho, kila familia ya kikatoliki inapaswa kuwa na albamu hii ( KARIBU TANZANIA...) ambayo inatakiwa kuwa inapigwa kila siku usiku watoto wasikilize.

Albamu hii ilikuwa na nyimbo 16 ambazo ni

1. Kristu Mashinda - Christus Vincit (Traditional)
2. Wewe Ndiwe Petro - S. Mujwahuki
3. Utukufu na Ukuu - J. Mgandu
4. Bwana Mfalme - J. Mgandu
5. Mimi Nimewachagua Ninyi - Fr. Malema
6. Roho Yangu - E. Nyundo
7. Bahati Gani Ee Ndugu - C. Matui
8. Umeniita Bwana - J. Simya
9. Bwana Yesu Waniita - Fr. S. Mutajwaha
10. Nimtume Nani - Fr. Ntapambata
11. Ninyi Nimewaita Rafiki - J. Mgandu
12. Nimemkuta Daudi - Fr. Ntapambata
13. Nendeni Duniani Kote - Fr. Ntapambata
14. Baba Aliwaambia Mitume - J. Simya
15. Wateule we Bwana - S. Mujwahuki
16. Ewe Mama Maria - P. F. Mwarabu.

Karibu Tanzania - YouTube


TUNAKIMBILIA ULINZI WAKO...............
Daah umenikumbusha mbali sana ndugu.
 
Asante sana mkuu,

Sijui ni kwanini nilikuwa naupuuzia uzi huu, haya ni madini adimu sana.. Big up sana, Hivi naweza kupata wapi album hii? Iwe Audio au VCD, DVD hata VHS.?

Kama inawezekana nisaidie hilo mkuu.

BACK TANGANYIKA
Audio ipo nyimbo zote 16
 
Back
Top Bottom