Karibu Sana Mh. Halima Mdee Ndani ya JF

Status
Not open for further replies.
Ushahidi wa kujiunga kwa Mh. Halima Mdee huu hapa:

404330_10150587808323069_599863068_9003880_1185309930_n.jpg
 
Jamani uyo dada mi na mkubali sana, mbona mi simuoni kwa ilo jina nataka ni pm kwa private issu,
 
Hello Mh. Halima,
Tunakuona hapa chini.....

404535_10150588404608069_599863068_9005317_395767091_n.jpg

Karibu, andika neno..........!

Anzia hapa utupe ukweli wa hii taarifa:

........Katika makubaliano hayo Mbatia amefuta kesi ya uchaguzi dhidi ya Halima Mdee kesi namba 101 ya mwaka 2010..........]
 
Hakika sasa ninaanza kuboreka!

JFMarketer, inakuwaje huyu mtu bana?...mbona anachuingulia tu hataki kucomment?...au hujamfundisha hata kuweka salamu ya kwanza?...Umetumia nguvu sana kumfanyia Marketing, lakini i see everything going to vain!...huh!

Kwanini Halima Mdee haji kusema lolote kuhusiana na mambo kibao ndani ya chama, hasa zaidi kuhusiana na jimbo la Kawe?

Did we make a wrong choice?
 
Ila hapa iKumbukwe tunaongelea watu wawili tofauti,Rejia alikuwa free kwa kila mtu muwazi na mengineyo ,
Huyu Mdee sijui ..
 
Hakika sasa ninaanza kuboreka!

JFMarketer, inakuwaje huyu mtu bana?...mbona anachuingulia tu hataki kucomment?...au hujamfundisha hata kuweka salamu ya kwanza?...Umetumia nguvu sana kumfanyia Marketing, lakini i see everything going to vain!...huh!

Kwanini Halima Mdee haji kusema lolote kuhusiana na mambo kibao ndani ya chama, hasa zaidi kuhusiana na jimbo la Kawe?

Did we make a wrong choice?

anadengua. hahahaaa..!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom