nilienda beijing nikitokea toronto kuiona timu yetu ya tz.cha ajabu kila nilipokuwa naongea na wachezaji wanalaumu maandalizi.wanadai wamepelekwa arusha kimaandalizi wakati wakati huu beijing ni joto.ukichukulia mifano ya wachina na wamarekani wanaandaa wachezaji miaka miwili kabla.sasa bongo maandalizi ya wiki tatu jamani tutatoka?marekani imechukua medal 110 wachina medal 100.UTAVUNA ULICHOPANDA