Karibu nyumbani waziri capt.mkuchika toka beijing...

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,517
8,582
........Nimemaliza kuangalia mbio za marathon ambazo angalau zinatutoaga..washiriki walikuwa 98..wakajitoa 22...wamemaliza 76 ..mtanzania amekuwa wa 55[samson ramadhani]...

karibu nyumbani waziri wa michezo na naibu katibu mkuu wa ccm, capt mkuchika amabaye uliambatana na timu yetu china...nadhani umepata muda wa kutalii...tunaomba tu airport usikimbie waandishi...au ukamsukumizia afisa wako wa chini..kama vile ulipoamua kusafiri na timu bila ulazima hukumsukumia mtu safari.....basi usikimbie mapokezi kesho kutwa airport..

..waziri wa ardhi na katibu wako mwenezi ambaye hutoa statement za kupongeza hata BBA au miss kitongoji anaposhinda kama moja ya mafanikio ya sera sahihi za kikwete..tunaomba pia atoe statement ya hili la beijing..

riadha riadha..aibu ya taifa!!!
 
It is painful that after over 40 of independence our rightful place in all spheres of development and achievement is right at the bottom. It is sad that Tanzanians still have faith in the system that has driven us that low beyond belief. It is frightening that our hopes still rest on the very people who have plummeted our welfare to such unbearable levels. It is indeed tragic that the end to all our sufferings is nowhere in sight as we continue to embrace a leadership that is not worth the name.

How far down have we to go before we realize that we have to change course because the only way left is up. Let us rise and say enough is enough for we are a great people endowed with the blessings of nature that embrace us all over. It can be done, let each and every one of us play their part and on this I can be counted on. This huge monster CCM has to go whether by coaxing, cajolery or wheedling. If these wont do then we have to do what we have to do.
 
Hivi ni mwendawazimu gani aliyeamua kupiga marufuku michezo shuleni? Enzi zetu tulikuwa na kila aina ya michezo: 100 meters, 400 meters, high jump, kukimbia na magunia, na tulishindana shule kwa shule na mara nyingine hata mkoa kwa mkoa. What happened?
 
Agree with you completely

40 years after independence and only 10% of the population has access to electricity (and it's not even reliable). Due to the state of our roads it is easier to travel from Arusha to Mwanza by travelling through Kenya...

The list is endless. What have these people been doing for 40 years and why do we keep electing them and expecting different results. If Somalians stop fighting today how much you wanna bet in 10 years time they would have caught up and probably overtaken us. We are pathetic.

This country will never go anywhere as long as CCM is in power.
 
Hivi ni mwendawazimu gani aliyeamua kupiga marufuku michezo shuleni? Enzi zetu tulikuwa na kila aina ya michezo: 100 meters, 400 meters, high jump, kukimbia na magunia, na tulishindana shule kwa shule na mara nyingine hata mkoa kwa mkoa. What happened?

Poor leadership, the root cause of almost all problems in Tanzania.
 
Hivi ni mwendawazimu gani aliyeamua kupiga marufuku michezo shuleni? Enzi zetu tulikuwa na kila aina ya michezo: 100 meters, 400 meters, high jump, kukimbia na magunia, na tulishindana shule kwa shule na mara nyingine hata mkoa kwa mkoa. What happened?

Ohoooo Mkuu! Lakini hiyo haipo kwenye olympic
 
kwa hali ilivyo katika nchi yetu tusahau ushindi au mEdali katika michezo ya kimataifa.Kama katika michezo a olimpic kungerikua na ushindani katika UFISADI,RUSHWA NA UZEMBE Ingawa hapa uzembe unatumia kama kivuli ili kuhalalisha UFISADI NA RUSHWA -bASI KATIKA MICHEZO HIYO NILIYOITAJA HAPO JUU TUNGELINYAKUA MEDALI ZOTE DHAHABU,FEDHA SHABA NA MBAO.
mUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Tanzania imevuna ilichopanda! mbegu movu, bila palizi, umwagiliaji wala mbolea! tutabakia kuwashangilia wakenya na wa ethiopia!
 
Yaani waziri alibakia huko siku zote hizi baada ya ufunguzi? Alitakiwa kuwa na next day return ticket baada ya kuwasindikiza "wanariadha" wetu. Kwanini wasingepeleka katibu tu jamani... yaani waziri mzima kwenye timu ya watu sijui wangapi vile.... :(
 
Hivi ni mwendawazimu gani aliyeamua kupiga marufuku michezo shuleni? Enzi zetu tulikuwa na kila aina ya michezo: 100 meters, 400 meters, high jump, kukimbia na magunia, na tulishindana shule kwa shule na mara nyingine hata mkoa kwa mkoa. What happened?

....Joseph Mungai
 
Yaani waziri alibakia huko siku zote hizi baada ya ufunguzi? Alitakiwa kuwa na next day return ticket baada ya kuwasindikiza "wanariadha" wetu. Kwanini wasingepeleka katibu tu jamani... yaani waziri mzima kwenye timu ya watu sijui wangapi vile.... :(

..waziri aliongoza timu ya wanamichezo nane.na hao pia wanalalamika nilisikia mahojiano bbc kuwa hawakuwahi kutembelewa na waziri wakati wakiwa kambini arusha zaidi ya kuhangaika kuganga njaa na chama cha riadha [kina nyambui],na TOC[kina bayi]....nadhani ilikuwa muhimu kuzingatia kambi yao badala ya kungojea safari ukapate maajabu..ili uje kutambia usichopanda..kila kitu siasa..hata wakishindwa usiwakimbie....kenya walipeleka wanamichezo 150..na wala hawakuenda na waziri...wala katibu mkuu.....

hii wizaara ya michezo inatia kinyaa ..haisaidii kabisa vyama vya michezo ...kama zamani ..ambako inajulikana vinatengewa bajeti...[wanaila wizarani]...vimesababisha vyama vinakuwa omba omba...na kuppelekea kuomba kunapowafikisha kwa wafanyabiashara waovu..wanaowapa misaada kwa masharti magumu..

MFANO HAI...HATUKUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA YA RIADHA LONDON...AMABAKO WANARIADHA WETU WANGEJIPIMA KWA SABABU .KWA KUKOSA NAULI..MFADHILI WALIYEMPATA TAA..ALIKUBALI KUWALIPIA WANARIADHA 15 ..KWA SHARTI KUWA MAJINA YAONGEZWE YAFIKE 30 ILI NAYEYE AINGIZE MAJINA YA VIJANA AMBAO ALITAKA WAINGIE UINGEREZA WAKAJILIPUE..DEFINATTELY ALIKUWA AKIFANYA BIASHARA...HAO 15 VIJANA WATAKUWA WALIMLIPA PESA NYINGI INAYOTOSHA NAULI YA WATU 30 NA FAIDA...UBALOZI WA UINGEREZA KWA NJIA ZAO WALIGUNDUA MBINU HII NA WAKAAMUA KUWANYIMA WANAMICHEZO NA VIONGOZI WOTE WA TANZANIA KUTOKANA NA KUPITISHA MAJINA HARAMU....KATIBU MKUU NYAMBUI..ALIJITETEA KUWA ALIFANYA VILE BAADA YA WIZARA CHINI YA MKUCHIKA KUSHINDWA KUWALIPIA WANAMICHEZO NAULI.....NA ALIKUWA HANA NAMNA BALI KUINGIA MKENGE WA "MFADHILI"..ILI WANARIADHA WAKAJARIBU KUTETEA TAIFA.....

MFANO WA PILI ..WANAMLAUMU YULE KATIBU WA NGUMI KWA KUBEBESHA VIJANA UNGA ...LAKINI WAZIRI HUYU HAWAKUGHARAMIA KAMBI YA WALE MABONDIA .....WALA HAWAJUI WAMESAFIRIJE..ZAIDI TU YA KUWAPA BONDIA....SASA INAWEZEKANA KABISA ALHAJI MWINTANGA YEYE ALIENDA MBALI ZAIDI YA NYAMBUI ...KWA KUKUBALI MASHARTI YA "MFADHILI"...LABDA AGHARAMIE KAMBI ,USAFIRI NA POSHO ..KWA MALIPO YA KUWATUMIA HAWA VIJANA.....NJAA ILIWAPONZA...

SIONI KWA NINI HUYU WAZIRI HAWAJIBIKI AU KUUSHITAKIWA KWA WANAMICHEZO KUKAMATWA NA UNGA MAURITIOUS.....AU KWA KASHFA YA KUSABABISHA JARIBIO LA KUPELEKA VIJANA ULAYA KUJILIPUA ..KWA MGONGO WA WANARIADHA!!!

TUSIWALAUMU TAA..AU VYAMA VYA MICHEZO KWA KUSHINDWA OLIMPIKI...BALI WIZARA INA MZIGO MKUBWA WA KUWAJIBIKA...
 
........Nimemaliza kuangalia mbio za marathon ambazo angalau zinatutoaga..washiriki walikuwa 98..wakajitoa 22...wamemaliza 76 ..mtanzania amekuwa wa 55[samson ramadhani]...

karibu nyumbani waziri wa michezo na naibu katibu mkuu wa ccm, capt mkuchika amabaye uliambatana na timu yetu china...nadhani umepata muda wa kutalii...tunaomba tu airport usikimbie waandishi...au ukamsukumizia afisa wako wa chini..kama vile ulipoamua kusafiri na timu bila ulazima hukumsukumia mtu safari.....basi usikimbie mapokezi kesho kutwa airport..

..waziri wa ardhi na katibu wako mwenezi ambaye hutoa statement za kupongeza hata BBA au miss kitongoji anaposhinda kama moja ya mafanikio ya sera sahihi za kikwete..tunaomba pia atoe statement ya hili la beijing..

riadha riadha..aibu ya taifa!!!

Mkuchika: "Michezo ya Olympic imetufunua macho Watanzania. Kwa kweli inabidi 'tujipange upya' katika maandalizi yetu ili tufanye vizuri zaidi katika Olympic ya mwaka 2012. Kama mlivyoona wenzetu wachina wamenyanyua sana kiwango chao na kuweza kujizolea medali nyingi sana na sisi tukijipanga upya basi tunaweza kufikia angalau robo ya kiwango cha Wachina."

Oooooh! Pleeeeeeeease! Just shut up and say the truth at least once!!!! msonyo mrefu.
 
....Joseph Mungai

Mkuu Ogah, ni kweli kuwa uamuzi wa waziri Mungai umetupelekea siye kuwa nyuma hivi kimchezo :confused:

tanzania24.jpg

Well, if so.... the honorable gentleman should really be ashamed of himself. Sad indeed.
 
Karibu nyumbani Waziri! Kazi yako tuliyokutuma umeimaliza na umeliletea sifa kubwa taifa letu.!Haya labda ndiyo yatakuwa baadhi ya maneno kutoka kwenye yale magazeti yaliyonunuliwa na CCM.Pia tusishangae wanaCCM wakaandamana kumuunga mkono waziri na timu yake kwa ushindi tulioupata.!! hata kama ulimwengu mzima umeona ukweli ulivyokuwa.
Kwetu kukosoana na kuelezana ukweli ni mwiko! unachotakiwa kusema ni ndiyo mzee..halafu unapewa pilau na fanta na labda pia jozi mbili za kanga maisha yanaendelea.
 
SteveD,

........trust me..........nikiwa kama mwanamichezo...........nilimlaani Joseph Mungai toka siku ile alipozima michezo mashuleni........
 
....PLUS .....MFADHILI ALIYEGHARAMIA SAFARI YA TIMU YA OLIMPIKI...CHINA NI TICTS[TANZANIA INTERNATIONAL CONTAINER TERMINAL].....KAMA MNAVYOJUA HAWA JAMAA WAKO KWENYE PR CAMPAGNE ILI WASIKATISHIWE MKATABA WAO PALE...SASA KATIKA SAKASAKA YA TAA NA TOC..KUSAKA MSAADA WAKAANGUKIA KWA HAWA MAFISADI....NA WAKAPATA NAFASI ADIMU YA KUTOA MSAADA PALE DODOMA ..MBELE YA WAZIRI MKUU NA WABUNGE....WHAT A RARE OPPORTUNITY TO CLEANSE THE NAME INFRONT OF PARLIAMETARIANS...TO POTRAY A PICTURE OF A SOCIAL RESPONSIBLE CORPRATE...

SASA MIAKA YOTE HATA MIAKA YA 1984 ..AU 1978 TUKIWA NA HALI NGUMU...WIZARA HAIJAWAI KUKOSA NAULI ZA KUPELEKA WANA MICHEZO ULAYA ..NA KUGHARAMIA KAMBI ZAO..AS LONG AS NI MICHEZO YA KIMATAIFA..ILIYOPO KWENYE KALENDA ..KWA KUWA BAJETI HUPANGWA KWA KUFUATA KALENDA ZA VYAMA ..KIMATAIFA ie..olimpiki,commonwealth,all african games...world athletic championship..ets....michezo ya kutegemea wafadhili ni ile ya mialiko...au ambayo haipo rasmi kwenye ratiba za vyama ..wizara ya michezo huandaa BAJETI kutokana NA HIZO RATIBA......kimsingi ndio maana hata mkuchika ameweza kusafiri na maafisa wake wizarani kwenda kutalii china kwa wiki mbili...atakuwa ameenda kutumbua pesa za KIFUNGU cha olimpiki kwenye bajeti ya wizara....baada ya kuwaambia TAA hana pesa na kupelekea kutembeza bakuli.......

shame ..shame ..ndio marafiki wa muungwana hawa..!!!...loosers!
 
Tanzania Usanii mwingi jamania. Kila nyanja ya maisha. Kuanzia siasa, michezo, uchumi. Ndiyo maana tunaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu!!! rukhsa aliwahi kusema!!
 
Ohoooo Mkuu! Lakini hiyo haipo kwenye olympic
Lakini tungekuwa world champions ingebidi waiweke. Si umemwona Muafghanistan amechukua medali ya shaba kwenye Taeekwondo na nyumbani serikali inamjengea nyumba?
 
Lakini tungekuwa world champions ingebidi waiweke. Si umemwona Muafghanistan amechukua medali ya shaba kwenye Taeekwondo na nyumbani serikali inamjengea nyumba?

just imagine ..hawa wanapigana daily....eritrea ndio hao...taifa la jana tu...

trust me kuchukua medali olimpiki au kwenye michezo ..kunatangaaza sana nchi...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom