Karibu mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Karibu mwezi mtukufu wa Ramadhani ,nawatakia kila lakheri Waislamu wenzangu wote popote pale mlipo ,Inshaallah tuukamilishe mwezi huu kwa kufanya ibada na kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa rahema na mwingi wa kusamehe.Na tujaribu kadiri tuwezavyo kuwa katika ibada na usafi na kutegemea maghfira kutoka kwa Allah.
 
Unaanza tarehe ngapi? Huku nilipo hata msikiti hakuna na ni vigumu kweli kweli kujua tarehe muhimu kama hizi
 
SAmahani mkuu naomba kuuliza swali,hivi kuana mwezi ambao sio mtukufu? je kama upo ni mwezi upi huo?
 
Back
Top Bottom