mwe naloli kumitu kununu fijo.......yaani kwetu pazuri.nice pics mdau.
Duh mkuu umenikumbusha mbali sana
Katumba na kile kiwanda cha chai pale katumba
Chuo cha ualimu pale
Shule ya sekondari Ndembela
Ahhh Tukuyu nitarudi tena kutembelea huko aise
Khaaa.Huko Tukuyu mbona pazuri hivo???Sielewi kwa nini tunakimbilia Bongo Dar es salaam jiji chafu kupita yote TZView attachment 47459
Mashamba ya Chai - Tukuyu.
Asante sana mkuu umenikumbusha mno Makandana, Ushirika, Kikota, Kiwira, Ndembera, nk.
I real like this, wamama wako so happy hata sijui kama wanajua kuna ufisadi !
I miss home.
Halafu nasikia eti hilo beseni zima la ndizi mbivu ni shilingia mia tano tu. Ni kweli wandugu?
Ndio mupo wengi humu na hasira zenu kwa utawala wa huyu mkweree mnazionesha kwenye thread zenu jinsi alivyowatenga kwasababu ya Mwandosya!Kumbe watu wa Tukuyu tupo wengi humu. Na mimi nawaongezea hizo