Karibu ktk sherehe za kuzaliwa CCM-Mwanza

Nimetembelea Mwanza juzi , yaani mpaka hivi sasa wabunge wa CDM hawajafanya lolote aisee porojo kibao na fedha za kutekeleza ahadi hawana. Wana Mwanza wameingia choo cha kike safari hii aiseeeee


Ndiyo mkaamua mlete sasa haya maendeleo ya kutulisha nyama na makilikili!!Sasa hivi tumeshaamuka mkuu,kama hakuna maendeleo Mwanza basi chanzo ni ccm mlioikalia kwa miaka 35,na chaguo letu kwa sasa ni cdm,sasa kama wabunge wa cdm umeona hawajafanya lolote hilo ni juu yako ila mkakati wa wana Mwanza ni kuwa tutafanya assesment kuhusu cdm baada ya kukaa miaka 35 kama ccm
 
wanajf,tuna furaha ya kukualikeni kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi kitaifa jijini mwanza,tuna sababu nyingi za kuifanya sherehe hii hapa:
1.kuwashukuru wananchi wa kanda ya ziwa kwa kura walizotupigia ingawa hazikutosha.
2.kuimarisha chama upya,kuleta mvuto mpya kwa wananchi na wanachama wa ccm kwa kanda ya ziwa.
3.kuwaeleza watanzania namna tunavyoongozwa na mtu makini kabisa.
4.kushirikiana na wanachama kuhakikisha 2015 majimbo yote 3(ilemela,nyamagana,ukerewe)yaliyotwaliwa na chadema
yanarudi ccm.
5.kufufua na kuimarisha upya ngome yetu ya ccm ya kanda ya ziwa.ni mengi mno,kwa ufupi nawasilisha.

Kidumu chama cha mapinduzi
i hate my president,i wish all bad luck to him.
 
Nipo buswelu kesho nadamkia kirumba.CCM oyeeee!

Huo ni uchizi,inawezekana unaupungufu wa akili,CCM wamekufanya ubaki na mawazo hayo finyu tangu 1961 mpaka leo 2012,Pole sana jamaaa,Jitambue,jifikirie,chukua uamuzi mpya,CDM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hv kuna ulazima gani wakusheherekea birthday ya ccm? Mi nadhani tungesikitika kwa deathday ya ccm
 
Miji hii CCM isingetamba kama isingecheza rafu wakati wa kupiga kura mwaka jana. Lakini siwalaumu CCM kwa kucheza rafu, ila nawalaumu wananchi wa pande hizo kwa kukubali kudanganyika kiurahisi. Miji hii inaikubali CCM, lakini ukiwauliza ni kwa nini wanaikubali, wanakosa jibu. Kwa mtu mwelewa ukiona swali kama hili linakosa jibu, ujue wakati wa kampeni na kura watu hawa walipewa mlungula. Mimi nawasamehe kwa dhambi hiyo ya kuendelea kupalilia mpapai dume usiozaa.
Acha kukurupuka toka usingizi wa pono!

Miji ya Songea, Mtwara, Morogoro,Tanga, Babati,Singida, Shinyanga, Tabora, Bukoba, Dodoma, Sumbawanga, Njombe, Ifakara, kote CCM inatamba
 
Hiyo ndiyo point Mheshimiwa Mchadema.
Tanzania Bila CCM Inawezekana, Tanzania bila mafisadi inawezekana. Hiki Chama kimepoteza dira, kama alivyosema Mhe. Kambona.
hv kuna ulazima gani wakusheherekea birthday ya ccm? Mi nadhani tungesikitika kwa deathday ya ccm
 
Mimi nimekuja kutambua kuwa si CCM wanaotakiwa kuvua magamba, bali ni sisi Watanzania tunatakiwa kuvua magamba kwa kung'ang'ania kupalilia mpapai dume ambao hata tukijitahidi namna gani, hauwezi kuzaa. CCM kuanzia balozi wa nyumba kumi kumi hadi aliye juu kabisa, ni magamba. Kwa maana nyingine, CCM ni gamba, hivyo haina la kujivua. Nyie wenyewe ni mashahidi wana JF.
Huo ni uchizi,inawezekana unaupungufu wa akili,CCM wamekufanya ubaki na mawazo hayo finyu tangu 1961 mpaka leo 2012,Pole sana jamaaa,Jitambue,jifikirie,chukua uamuzi mpya,CDM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nakumbuka katibu tarafa wa enzi za 80's alivyoiba pump za maji na kupeleka kutengeneza machine ya kusagia unga na hakuna aliyemchukulia hatua. Hadi leo hakuna tena maji kijijini tangu miaka hiyo. CCM noma.
 
Back
Top Bottom