Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna taarifa nimezipata kutoka mwanza kwamba chama cha mapinduzi (CCM) kimepanga kuchinja ng'ombe 50 kwa ajili ya wananchi na wanachama mbalimbali wa chama hicho ikiwa ni sehemu ya sharehe za maadhimisho hayo. Maandalizi ya sehemu ya kupikia yanaendelea nnje ya uwanja wa ccm-kirumba. Mwenye taarifa zaid atujuze. source: Mwananchi wa Kirumba- Mwanza.
Mikoa mingine je?
Kuna taarifa nimezipata kutoka mwanza kwamba chama cha mapinduzi (CCM) kimepanga kuchinja ng'ombe 50 kwa ajili ya wananchi na wanachama mbalimbali wa chama hicho ikiwa ni sehemu ya sharehe za maadhimisho hayo. Maandalizi ya sehemu ya kupikia yanaendelea nnje ya uwanja wa ccm-kirumba. Mwenye taarifa zaid atujuze. source: Mwananchi wa Kirumba- Mwanza.
waende MaraWaende na arusha wakachinje ng'ombe mia mbili ili kurejesha imani ya wana arusha kwao. Itasaidia sana 2015 aisee.
wanawaiga ANC ya Zuma nini!... ukiona hivo ujue huo ni kufikia mwisho wa ubunifu
Afya haijengwi kwa nyama za kuongwa siku moja; afya inajengwa na utamaduni wa kula mlo kamili!Natamani hiyo siku ingenikuta niko huko, ningehakikisha najenga afya.
Masheikh washashughulika nao huo ubwabwa, ukiuonja tu jihesabu na wewe ni GambaMimi ntafika nitakula na kunywa,ila sitakuwa tayari kuwaazima masikio yangu kuusikiliza upupu wenu!
Wewe ndio umekurupuka Shinyanga ipi unayoizungumzia?unajua hesabu ya kujumlisha na kutoa?jaribu kui-aply kisha njoo na jibu,nyie nendeni tu mkafanya sherehe,maana hiyo ndio kazi yenu,kutumbua pesa huku taifa linaangamia,na ni sherehe hizo hizo ndio ziliibua hoja ya kujivua gamba,basi zitumike pia kuwaeleza wana ccm kuwa gamba ni gumu na halivuliki hata kwa maji moto,lakini pia muwaeleze wananchi jinsi serikali ilivyoishiwa hela,jinsi viongozi wanavyojichanganya kama ng'ombe eg Rais amesaini kubariki posho za wabunge-Makinda na Pinda,baadae Ikulu-Rais hajasaini.Muewaeleze ulegelege wenu wote.Acha kukurupuka toka usingizi wa pono!
Miji ya Songea, Mtwara, Morogoro,Tanga, Babati,Singida, Shinyanga, Tabora, Bukoba, Dodoma, Sumbawanga, Njombe, Ifakara, kote CCM inatamba
Mkuu afadhali magendo Shinyanga mtunza hazina ni alikuwa jambazi ni kitu wala sio cha kutafuta kwa wakazi wa shinyanga wanajua labda mtu awe amehamia leo,na inasdikika hata leo huwa anatuma vijana,aliingia hapo kwa kuwapa msaada hao CCM-magamba na ndio maana wakamchagua nadhani anajiandaa kuja kuingia mjengoni maana ndio zao,lakini hakuna kitu watapata maana hata uchaguzi uliopita ni wizi mtupu,na kesho yanaenda kutumbua pesa huko Mwz,mijitu hii,iko siku lakini.If i recall properly! mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa mwanza alikuwa ni mfanyabiashara za magendo ya bia kutoka kenya in 80s via lake victoria shores. kweli CCM ni Chama Cha Majambazi!
Miradi gani itatekelezeka wakati serikali imefilisika?Nimetembelea Mwanza juzi , yaani mpaka hivi sasa wabunge wa CDM hawajafanya lolote aisee porojo kibao na fedha za kutekeleza ahadi hawana. Wana Mwanza wameingia choo cha kike safari hii aiseeeee