Karibu Ilembula.

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Hii ni sehemu ya kijiji cha ilembula ambacho kipo wilaya ya wanging'ombe.
 
Attachments

  • Image0166.jpg
    Image0166.jpg
    33.6 KB · Views: 991
kuna nini cha maana hapo hadi tukaribie? Au unataka tujue kwamba mchina kawawekea barabara ya lami?
 
Hivi hapo ni karibu na Wangutwa!? nataka sana nifike huko maana kuna ndugu zangu wanatoka huko.
 
Wanging'ombe ni wilaya na makao makuu ni kijiji cha igwachanya.
 
Nilitembelea sn eneo hilo la nchi enzi hizo nikiwa nafukuzia demu aliyekuwa hapo Ilembula hospital akiwa mwanafunzi wa chuo cha Nursing.
Na kwa jinsi nilivyo na misimamo demu huyo ndiye mke wangu pekee hadi dakika hii.
 
Well done man, keep it going to a uniform acceleration of life.
 
Asante kingfish mimi nimetoka kinegembas.kumbe wanging'ombe niwilaya!!!??? nikifika om nitakuja mkuu.vp CDM inaofic hukooo?
 
Nilitembelea sn eneo hilo la nchi enzi hizo nikiwa nafukuzia demu aliyekuwa hapo Ilembula hospital akiwa mwanafunzi wa chuo cha Nursing.
Na kwa jinsi nilivyo na misimamo demu huyo ndiye mke wangu pekee hadi dakika hii.
Duu Pakajimmy, mimi na wewe kitu kimoja. Nami mke wangu alipatikana hapo hapo chuoni. Ni chuo kizuri sana kw nursing.
 
Asante kingfish mimi nimetoka kinegembas.kumbe wanging'ombe niwilaya!!!??? nikifika om nitakuja mkuu.vp CDM inaofic hukooo?
Kuna Mpiganaji anaitwa Nyimbo. Amefungua matawi mengi sana huko. Kila kona ukipita utakuta bendera za chama tawala kipya kijacho zikipepea.
 
Kuna thread humu inasema Nyimbo amejitoa cdm, hebu tuthibishie bana.
 
nilitia maguu hapo mwaka 1988 kutibiwa tetekuanga nikitokea nafco mbarali.
 
Back
Top Bottom