Kuna sehemu ukitoka ikuti(mbutonga) kuelekea luswisi pana kona kali wanaiita "kona ya Mkoa"!!!Kona iko mlimani na inakata hadi nyuzi 270-330 hivi,zamani pakiwa na mvua na usafiri wa 109 (imechokaaa),abiria wenye roho nyepesi mnashuka mnaikuta gari mbele huko!!Ukikaa luswisi au sange unaiona mandhari ya tukuyu na kyela kwa uzuri mno.......natamani nipite tena ILEJE
I remember the place, ila huku mahali kuko poa kweli yani, if i were a billionare- ningejenga vacation house huko- napiga solar ya ukweli,michezo kibao ya baridi.......etc, oops when im i going to be a billionare???