Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

Annual crops are those crops which take one season to complete its life cycle. Example beans, tomatoes, maize.

Can u differentiate between horticulture and agronomy??

Yah.. horticulture nilishakwambia inavyohusika, agronomy inahusika na udongo tu. Sayansi ya udongo ila na baadhi ya mazao kama hayo annual crop wanasoma sana sana maize.
 
horticulturist tunadeal na vegetables, ornamental plant, spices and fruits production, and lendscape scape designing and mantainance...... Hatuhusiki kabisa na cerials

Mkuu katika maelezo yangu mwanzo hvyo vitu tunavyodeal navyo ndo vilikua vya kwanza kuorodehesha but hzo cereal ilikua kama addition unaweza isoma kama unavyojua pale kuna elective na core. Annual crop ni choice yako usome au uache. Hvyo tu.
 
wala co elective coarse kabisa.... ebu soma prospectus yako uone mtu Wa horticulture anatakiwa soma nini kama annual crops ipo bac hyo co horticulture ni coarse nyingine........ Horticulturist, we are not dealing with cereals kabisa.... Go anywhere in the world and try to find out whats horticulture

wala co elective coarse kabisa.... ebu soma prospectus yako uone mtu Wa horticulture anatakiwa soma nini kama annual crops ipo bac hyo co horticulture ni coarse nyingine........ Horticulturist, we are not dealing with cerai
 
Haya mkuu
 
Kuna elective ya annual crops,inayofndishwa na Dr.Rwegasira..utakutana nae katika semmester ya 2 mwaka wa pili,
 
They forcing BT kama horticulturist ukiwa kwa watu hata ucjaribu kusema cereals ni horticultural crop ama zinasomwa.........Ndo maana wakaitwa horticulture.... ( Vegetables, ornamental plants, Spices en landscape designing and mantainance) That is horticulture......
 
Sawa mkuu,
 
Kari
bora nawe umeliona hilo mkuu,me nawaambia kwa kozi zao wanazosoma ni dhahiri hawana ubavu wa kupambana na graduate wa udsm,mzumbe,ifm na iaa,wao wanantolea ranking za vyuo bora africa,hawajui kuwa chuo kuwa bora co kwamba ndo graduate wake wanauzika,huo ubora wa research zao umeleta mabadiliko gan ya kimaendeleo ktk jamii ya watz,wao waendelee kusoma mizizi yao 2,wenzao wa ud,mu na ifm wataendelea kupeta 2 ktk market.
karibu sua, tuone kama kuna kozi utapata Zaid hata ya 20, hk science na science ni more applicable. Komaeni na kozi zenu za kimahaba zisizomfanya mtu akue kifikra. Njoo ujionee utadisco wewe
 
Kilicho chepesi hukimbiliwa na wengi. Lakn pia vyuo vyepesi vinamigomo mingi ya kichoko sababu watu wake hawana cha kufanya ni kupenzika tu. Sua hilo halipo maana imejaa wanasayansi na muda wote ni kazi kazi. Karibuni mjionee.
 
Ukiwa SUA huwa muda wa umaarufu utaupata wapi? Pale kuna kazi moja tu Kusoma au kuliwa kichwa mwisho wa temu! Sasa ukifananisha na UDM au Mzumbe au IFM unakosea kabisaa.

Kwanza SUA wengi na wanaume na kina dada waliopo pale wamekua anti -social ili kuendana nahali halisi ya kimasomo, siyo vyuo vingine bwana unalala kule, kesho pale kesho kutwa kule halafu kichwa hakiliwi.

Jaribu SUA uone moto wake! Kwa hiyo ni kweli SUA siyo maarufu kwa kwenda disco, makongamano ya siasa, na mengine yasiokua na tija kwa wakati ukiwa chuoni ila ni maarufu sana kwenye ulingo wa sciencie ya kilimo, na tafiti mbalimbali kama ulivyoonyeshwa kwenye orodha ya vyuo duniani, Umeona IFM? Au Mzumbe?

Vijana inaonekana na chuki sana na Mzumbe na UDSM.

Hebu fikiria Udsm au Mzumbe bila Division 1 au 2 huendi, ila SUA wamejaza div4 na div 3 wengi.

Inshort SUA wanafunzi wake wengi wamekata tamaa na maisha baada ya kusoma kwa sifa comb za sayansi Advance na kuambulia matokeo machafu, so SUA ni kalakana la kuwalea vijana wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom