Karibu air-CHADEMA tiketi zinaelekea kuisha

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,014
957
Habari wana Jf,
karibu MIGAMBA YOTE ambyo bado wapo CCM.
Aircdm tiketi zinaelekea kuisha,wale wote munaosuasua muda ndio huu.Ikifika 2014 hatutakuwa tayari kukubali gamba lolote lile.January,nape,shigela,bashe{huyu anaogopa kibarua kwa rostam kitaota chasi}.
 
Hah hah hii ndege itamwacha Kingunge ambaye baado yuko ndotoni anapodai CCM ni safi haina kitu kinachoitwa mafisadi,Wazee wa CCM meli hiyoo pooooooooooooooooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom