Kariakoo Lutheran!!Kweli Wakristo ni wana kondoo!

Jamani tusipandikize chuki, kuna kikundi cha wahuni ndio wanaofanya
mambo ya kipuuzi kwa kisingizio cha dini, tuvute subira Polisi wanalifanyia kazi
 
wakristo tusiwe wanyonge kiasi cha kushindwa kutetea mali zetu zisiharibiwe. Kulinda na kuzuia uharibifu wa mali zetu si dhambi, umefika wakati wa kupambana ili kulinda mali zetu na sio kwenda kupigana nao kwenye misikiti yao. Kwa maana kwamba kama unawaona wanakuja kanisani na kuanza kuharibu ni sawa kabisa kupamba nao. Ukristo si ujinga.
ujue huu niwakati wa kuwa wakweli.kwakuwa tunakubaliana kuwa wanaoharibu makanisa hawatekelezi uislam bali ushenzi wao tu,sasa sisi waislam tunawashaurini wakristo,mkimwona mdudu yeyote anasogelea kanisa lenu na mkahakikisha ni mharibifu basi tiini sheria bila shurti ki kwelikweli.
 
jaman nawakaribisha hao waislamu arusha wajaribu tu kuchoma hata kanisa moja especialy meru waone
 
c mlisema mungu wenu anaongea na kuwapigania? vuta subira tu mkuu bwana wenu atawalipia!
 
Biblia inasema waoga wote, sehemu yao ni katika ziwa la moto. Pambaneni kwa nguvu kulinda chenu ili hao waiopagawa na majini ya kuchoma makanisa wasiweze kuchoma kanisa lenu.
 
Mkuu acha uongo basi mbona mnapenda kukuza mambo hili Kanisa lina miaka hapo Kariakoo lipo katikati ya nyumba za Waislam hapo mtaa wa Masasi, Lukoma, na Magila na Lukoma, miaka yote wanaishi kwa upendo acha kusambaza chuki.
unaeleza waislamu wa jana sasa tuna kina ponda, wapemba, uamsho, bokoharamu...! Uwe mpole kama Huwa lakini mwerevu kama Nyoka! Hiyo formular Bwana Yesu ametufundisha ni wakati wake kuitumia!
 
Wakuu tumepiga kambi hapa kanisani kwetu Kariakoo Lutheran baada ya walinzi wetu kuomba waongezewe nguvu kwa kuwa wanahisi kuna watu wanataka kuchoma moto kanisa hili
sisi kama washarika na wafadhili wakubwa wa kanisa letu tumeamua kupiga kambi kila mtu akiwa tayari kupambana ili kuzuia mali zetu zisiharibiwe na hao waabudu shetani
kiongozi mmoja wa kanisa letu amekuja na kutuonya tusitumie silaha kupambana na hao waabudu nanihii eti akidai Yesu alisema mtu akikupiga shavu la kushoto haraka sana mgeuzie na la kulia
kwa kweli kama hali ndiyo hiyo ya wakristo kuchomewa makanisa yao ambayo wao wenyewe ndio wafadhili na wajenzi itakuwa ni jambo la kushangaza kwa sababu wanaumia wenyewe
naomba kuuliza tangu lini mungu akawa rafiki wa watu dhaifu????kwa nini wakristo tunakaa kimya tusijibu mapigo??tutaonewa mpaka lini silaha na elimu sisi ndio tumerithi kwa baba zetu
huu ukondoo sikubaliani nao hata kidogo

Poleni na kazi.
 
huo ndio utofauti kati ya wakristo na hawa waislamu
 
Kuna haja mmoja akikamatwa achomwe au wakristu nao waanze choma misikiti

Jamani wakristu tuko busy sana sidhani kama tuna muda wa kuchoma miskiti yao, yani hawa watu najitaidi kufikiria tatizo lao lakini nashindwa kuwaelewa mwee!!
 
Kuwa mkristu maana yake ni kuwapenda watu wengine wakiwemo adui zako. Kwani ukiwapenda jamaa na rafiki zako tu, ndivyo hata mtenda dhambi hufanya. Kwa hiyo Jino kwa Jino siyo njia nzuri kwani unayepambana naye yu gizani. Sala na maombi ndo yataepusha hizi vurugu.

LINCOLINMTZA, Nikuulize swali. Jambazi akivamia nyumbani kwako usiku na ukapata mwanya wa kuweza kumjeruhi, utamwacha eti kwa sababu maandiko yanasema 'geuza shavu la pili'?
 
kuna haja kwa vyombo vya usalama kufanya continous suivalance kwenye misikiti ambayo ndio hasa breeding ground ya hawa terrorist..hii ni early stage tu ikiachwa uncontrolled it will escalate kwenye stage nyingine kama suicide bombs na millitia groups..kuna matatizo mengine ya kuadress kama poverty hasa miongoni mwa vijana ambao wamepoteza matumaini na wako tayari kufanya lolote ili kuonyesha hasira zao..hii laana itawala viongozi wa nchi hii ambao wameshindwa kutoa matumaini kwa watu wao.
 
waanzie jamuhuri ya watu wa zenj na kuna tetesi wanaingia kwa wingi!
 
Tuliza mzuka na tumia busara. Hao shetani wasikupeleke wanapotaka uende. Mmetoa taarifa polisi watoe ulinzi?

mkuu polisi kwenyewe mbona kumejaa uamusho wengi.? Hujui kuwa ile ni fani ya wanaofeli shule? Na hawa jamaa si unajua darasani ni vilaza?
 
Mungu wetu ni wa Upendo, tuzidi kuomba ili haya yote yaISHE katika nchi yetu, chuki, dharau, kulipiza visasi visiwe na nafasi. Endelea kuomba MUngu ili nia zao zishindwe.
 
Naunga mkono wenye mali kulinda mali zao.si sahihi kwenda kulipa kisasi baada ya wavamizi kufanya uvamizi wao na kuondoka.Tukisema wakristo nao wavamie misikiti na kufanya uharibifu itakuwa sio sawa maana wapo /ipo misikiti mingine isiyohusika na uhuni huu na siyo rahisi kuitofautisha.Hivyo nashauri watu walinde mali zao ,atakayekuja hapo kuharibu nisawa ni mwizi yeyote anayekuvamia nyumbani kwako ili akuibie huwezi kumwacha kwa misingi ya kwamba unadumisha upendo.
 
Haya mambo yanataka busara sana wengi wa watu wakiwemo wachangiaji hapa wanaongeza mafuta kwenye moto. Kitendo cha kuchoma makanisa hakikubaliwi kabisa na pia kitendo cha yule mtoto kukojeleya Quruani ni kitu hakikubaliki kabisa kufanyika ila ni shetani anaingia baina yenu kuleta hizi fitina baina yenu. Ni vizuri kuwaelewesha watoto wetu upendo na heshima kwa dini za watu wengine. Kitendo cha huyu mtoto ( ni mtoto na lazima achukuliwe kama mtoto kwani hana akili za mtu mzima ) kina akisi malezi anayopata kutoka kwa wazazi wake na huenda kasikia vipi wazazi wake wanavyo dharau watu wa dini nyingine hasa waislamu.
Ni vizuri busara ichukue nafasi yake hapa - hao wanaofikiria kuleta ugomvi au mapigano waelewe hiyo njia haina kheri na haina kurudi nyuma ukisha ianza hiyo safari.
Mkristo wa kweli na muislamu wa kweli wote wana lengo moja na imani zao karibu 99% zinakubaliana kabisa - lakini kuna waharibifu katika pande zote mbili ambao wanamtumikia shetani.
Mungu atujaalie tuepukane na janga hili na mengine ambayo yanataka kutufarakanisha.
 
Back
Top Bottom