Kariakoo Lutheran!!Kweli Wakristo ni wana kondoo!

Nawasihi tulizeni jaziba wala msichukue jukumu lolote la kuchukua sheria mkononi na wala msitumie silaha zozote katika kupambana nao toeni taarifa polisi kwa msaada zaidi. Njia pekee tunayoiamini sisi wakristo ni kufunga na kuomba nasi tuko pamoja nanyi katika maombi Mungu wetu ni mwaminifu sana hajawahi kushindwa na kamwe hata shindwa atatushindia katika hili. Amen
 
Wakristo tusiwe wanyonge kiasi cha kushindwa kutetea mali zetu zisiharibiwe. Kulinda na kuzuia uharibifu wa mali zetu si dhambi, umefika wakati wa kupambana ili kulinda mali zetu na sio kwenda kupigana nao kwenye misikiti yao. Kwa maana kwamba kama unawaona wanakuja kanisani na kuanza kuharibu ni sawa kabisa kupamba nao. Ukristo si ujinga.

wewe si mkristo, naomba nikwambie imekula kwako. Wakristo si wajinga kama unavyofikiri. Wamefundishwa na ninapenda kukueleza kwamba hayo mnayochochea yatawarudia wenyewe mwisho wataibuka washindi. Mimi ni muislam lkn sipendi kuunga mkono ujinga wa wachache kwani najitambua.
 
Biblia inatufundisha Upendo, Kusamehe na Kuvumiliana. Quran inawafundisha jino kwa jino. Hapo ndo kuna tofauti SANA

And We ordained for them in that [Torah]: A life for a life, and an eye for an eye, and a nose for a nose, and an ear for an ear, and a tooth for a tooth, and a [similar] retribution for wounds; but he who shall forgo it out of charity will atone thereby for some of his past sins. And they who do not judge in accordance with what God has revealed - they, they are the evildoers!,

وَكَتَبْنَا عَلَيْهِمْ فِيهَا أَنَّ النَّفْسَ بِالنَّفْسِ وَالْعَيْنَ بِالْعَيْنِ وَالْأَنفَ بِالْأَنفِ وَالْأُذُنَ

Kaaazi kweli kweli.
 
Mkuu acha uongo basi mbona mnapenda kukuza mambo hili Kanisa lina miaka hapo Kariakoo lipo katikati ya nyumba za Waislam hapo mtaa wa Masasi, Lukoma, na Magila na Lukoma, miaka yote wanaishi kwa upendo acha kusambaza chuki.

Kwani la mbagala lilianzishwa jana?
 
Biblia inatufundisha Upendo, Kusamehe na Kuvumiliana. Quran inawafundisha jino kwa jino. Hapo ndo kuna tofauti SANA

We will soon get to the point that Luke 22:36-38 will be applicable.

Hawa wenzetu wandhani hatujui kupigana, shida ni ubongo uliozoea mawaa sasa wanatafuta chanzo. Hatutaanzisha, lkn tutalazimishwa kumaliza
 
Nawasihi tulizeni jaziba wala msichukue jukumu lolote la kuchukua sheria mkononi na wala msitumie silaha zozote katika kupambana nao toeni taarifa polisi kwa msaada zaidi. Njia pekee tunayoiamini sisi wakristo ni kufunga na kuomba nasi tuko pamoja nanyi katika maombi Mungu wetu ni mwaminifu sana hajawahi kushindwa na kamwe hata shindwa atatushindia katika hili. Amen

Hizi ndio akili zilizowaponza Wanaijeria sasa kila leo wanafia makanisani mwao. Let us teach them a lesson. Si vyema kuwafuata kwenye misikiti kwani hawakutumwa na misikiti hiyo na humo misikitini kuna watu wema pia, lkn kwa wale wanaokuja kufanya uvamizi, basi na asitoke mtu salama. That is the only way.
 
All Muslims are terrorists.

So kill them one by one.

Eliminate this terrorist breed from earth.

They are most uncivilised animals.

Even a Dog is better than a muslim
 
kaka kwanza ninakupongeza kama kweli umejitoa kuwa mmoja wa walinzi hapo kanisani isipokuwa ninaomba uwaasi wenzio kuwa kuona kimya ujue viongozi wa dini zote Tanzania wapo kwenye majadiliano na serikali kuhusu suala hili na pia viongozi wa Dini za kikristo wanasubiri tamko kutoka mbele na ndio maana hawasemi kitu wala kuchukuwa maamuzi kutokana tunategemea huko juu majibu na ndio maana wakristo hawana la kusema
 
Labda ingekuwa vema kama tungeomba jeshi la polisi wafanye kazi ya ulinzi huo badala ya waumini. Ni kweli inauma lakini ngoja serikali ibebe mzigo wa mavuno ya mpando walioupanda
 
Hii thread inataka tafakuri ya upeo wa juu sana na sio jaziba. Hivi ni kweli bwana wetu Yesu alitufundisha tusijitee? Najua yeye huwa anajipigania mwenyewe kwa vile yuko hai na mamlaka ni yake, lakini kweli tuchangishane kujenga kanisa,kununua furniture,vifaa na mambo mengine kwa muda mrefu na kujinyima kwingi kisha turuhusu watu wenye fikra za shetani watumie dakika 10 tuu kuharibu vitu vyetu NA SISI TUKODOA MACHO?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kuna hasara kubwa sana kutumia nguvu za kimwili kuzilinda hizo mali kumbuka kuwa hao jamaa kufa kwa upumbavu ni tiketi kwao kwenda peponi kwenye wanawake wengi Mabikra suala la msingi toeni taarifa polisi waje kulinda tuna haki zote kulindwa na vita yetu iwe ya kiroho na sio kumwaga damu
 
Mungu awape Nguvu Ndugu zetu hapo Dar na hila zoote za Shetani zishindwe kwa jina la Yesu. Hizi ni siku za mwisho lakini Shetani aelewe kuwa, kamwe hato weza Kumshinda Yesu Kristo aliye HAI.
 
Huyo kiongozi ni mcha Mungu kweli. hampaswi kurudisha ubaya kwa ubaya. Iteni polisi wawasaidie msichukue sheria mkononi. zaid ya yote zidisheni maombi kwani hivyo ni vita vya kiroho na sio kimwili japo manifestation inaonekana katika mwili
 
Wakuu tumepiga kambi hapa kanisani kwetu Kariakoo Lutheran baada ya walinzi wetu kuomba waongezewe nguvu kwa kuwa wanahisi kuna watu wanataka kuchoma moto kanisa hili
sisi kama washarika na wafadhili wakubwa wa kanisa letu tumeamua kupiga kambi kila mtu akiwa tayari kupambana ili kuzuia mali zetu zisiharibiwe na hao waabudu shetani
kiongozi mmoja wa kanisa letu amekuja na kutuonya tusitumie silaha kupambana na hao waabudu nanihii eti akidai Yesu alisema mtu akikupiga shavu la kushoto haraka sana mgeuzie na la kulia
kwa kweli kama hali ndiyo hiyo ya wakristo kuchomewa makanisa yao ambayo wao wenyewe ndio wafadhili na wajenzi itakuwa ni jambo la kushangaza kwa sababu wanaumia wenyewe
naomba kuuliza tangu lini mungu akawa rafiki wa watu dhaifu????kwa nini wakristo tunakaa kimya tusijibu mapigo??tutaonewa mpaka lini silaha na elimu sisi ndio tumerithi kwa baba zetu
huu ukondoo sikubaliani nao hata kidogo

heri wanaudhiwa kwa ajili ya haki maana hao watamwona Mungu
 
Mkuu acha uongo basi mbona mnapenda kukuza mambo hili Kanisa lina miaka hapo Kariakoo lipo katikati ya nyumba za Waislam hapo mtaa wa Masasi, Lukoma, na Magila na Lukoma, miaka yote wanaishi kwa upendo acha kusambaza chuki.
Hilo la kueneza chuki kwa kweli ni vema kuliepuka kwa kadri inavyowezekana. Hata hivyo ni vema watu wakachukua tahadhari.

Najuliza hayo makanisa ya mbagala na hata yale ya zanzibar, yalikuwepo hapa yalipo kwa muda gani kabla ya kuchomwa moto? Kuna wahuni wachache wanataka kuiharibu nchi hii na hata dini ya kiislamu kwa maslahi yao binafsi.
 
Chuki za kidini ni mbaya hata kuliko VVU/UKIMWI. Kirusi cha uchomaji makanisa (udini) kilianzia Visiwani. Sasa maambukizi yanazidi kuenea: juzi yalifika Mbagala, utasikia Kigoma, Kariakoo,Tandika na kwingineko. Huenda maambukizi haya yakaenea hadi makambini(majeshini), mashuleni, maofisini, sokoni, sehemu za kazi zingine, mitaani hadi kwenye nyumba zetu ,kwani Wakristo tunaishi pamoja na ndugu zetu Waislam. Virusi hivi vitapiga hodi Ikulu, ndani ya baraza la mawaziri, bungeni , mahospitalini na sehemu zote nyeti. Hakuna eneo au kaya itakayosalimika iwapo maambukizi hayatadhibitiwa. Ukweli ni kwamba katika vita ya wenyewe kwa wenyewe, kawaida hakuna mshindi. Ila faida kubwa huwaendea wauza silaha na zana zingine. Tunahitaji viongozi jasiri wa kiserikali, kisiasa, kijeshi na kidini wa kuiepusha Tanzania yetu na vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vinatunyemelea.
 
Back
Top Bottom