Kariakoo Lutheran!!Kweli Wakristo ni wana kondoo!

,waislamu wengi ni wajinga sana! Katika mia ni watatu tu wameelemika shenzi type!

Unachosema siyo kweli. "WAISLAM haswa" ndo wengi na ni wwazuri tu na wachaMUNGU. "Wanaojidai waislamu" ndo washenzi na ni wachache. UISLAMU haufundishi FUJO, MAUAJI wala SONGOMBINGO. Hata WAKRISTO wapo "wanaojidai kuwa WAKRISTO" wakiwa na malengo binafsi. Hakuna UISLAMU unaofundisha au unaunga mkono "UPONDA" au "UFARID"
 
It's a pity we're fighting each other instead of fighting our common enemy the CCM government
 
mpumbavu wa kwanza ni wewe yaani anakurupuka mtu anakwambia waislamu wanataka kuchoma kanisa na wewe tayari umeingia kwenye chuki.Chunguza kwanza kabla ya kusema upuuzi.Makanisa yamekuwa DSM miaka mingapi sasa na hayajachomwa na uislamu ulikuwepo.Jinsi ulivyojibu inadhihirisha chuki mlizozificha vifuani mwenu dhidi ya waislamu.
 
Mkuu acha uongo basi mbona mnapenda kukuza mambo hili Kanisa lina miaka hapo Kariakoo lipo katikati ya nyumba za Waislam" hizi vurugu zenu za kuchoma makanisa zmeanza awamu ya nne....so kuwepo kwa kanisa katk ya waislamu sio hoja ya msingi hapa! Kwan nn mnachoma makanisa? Pengine ukijib hilo itafaa sana
 
Ritz,hilo la chuki ndilo watu wanajiuliza limeletwa na nani wakati watu walikuwa wanaishi kirafiki,kusaidiana hata kukopeshana mtu akikwama bila kujali dini. Na uhakika Ritz sio kijana mdogo hayo unayafahamu vema toka enzi hizo. Sasa nani kawaloga?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Chakaza,
Hapo ndipo mnapofanya makosa makubwa sana kosa likifanywa na Muislam mmoja au kikundi mnafanya including all Muslm...vipi mie nikikunasibisha wewe na Rwanda Genecide Christian nitakuwa nipo sahihi.
 
Last edited by a moderator:
kama kuna mtu ana shuttle kuelekea MARS, naomba lift! nasikia harufu mbaya na cjui ni nini kinanuka nchini mwangu! mwenye usafiri please PM mi!
hahahahhaa..........Tulia, ngoja tuchapane kwanza ndo tutaheshimiana.
Sisi tulio maene ya nje ya mji, tunawangoja wajaribu kuchoma mali isiyo yao waone habari yake....!!
Wataishia Magomeni na Manzese tu.........Huku kwetu tunaheshimiana, na wanajua moto wetu!

Tutageuza nyumba zao kuwa mabanda ya kufugia ile kitu!
 
Chakaza,
Hapo ndipo mnapofanya makosa makubwa sana kosa likifanywa na Muislam mmoja au kikundi mnafanya including all Muslm...vipi mie nikikunasibisha wewe na Rwanda Genecide Christian nitakuwa nipo sahihi.
U kuwahusisha wakristo wote kwenye biashara za dawa za kulevya kwasababu mmemkamata mchungaji fake mmoja wa kikanisa cha janjajanja kwa tuhuma za madawa ya kulevya??

Ponda amewashikia akili hao 'kikundi cha waislam'..........sasa yupo ndani.
 
Mkuu acha uongo basi mbona mnapenda kukuza mambo hili Kanisa lina miaka hapo Kariakoo lipo katikati ya nyumba za Waislam" hizi vurugu zenu za kuchoma makanisa zmeanza awamu ya nne....so kuwepo kwa kanisa katk ya waislamu sio hoja ya msingi hapa! Kwan nn mnachoma makanisa? Pengine ukijib hilo itafaa sana

Mkuu hilo swali unaloniuliza sijui unataka nikujibu vipi, na mie nikikuuliza kwa nini Josep Kony wa Lord's Resistance Army anafanya mauji kwa mgogo wa Ukiristo.
 
mkuu usichonganishe watanzania bado ni wamoja kimtizamo suala hili linafanyiwa kazi sheikh ponda atabaki kuwa sheikh lakini hana hati miliki ya tanzania na hawezi kuiweka rehani amani ya tanzania .mizizi yote itakatwa suala la dini libaki misikitini tu na sio kurukia imani za watu wengine .ponda ni ccm? nani anampa kichwa ngumu itakumbukwa viwanja hivi vikiporwa shehe bado alikuwa anaona na alikuwa humo leo kageuka yeye ni msafi .je huyu shehe anatumika kwa maslahi ya nani
 
Mimi sidhani kama waislamu au uislamu ni tatizo! Tatizo kuna wapuuzi walipandikiza mbegu za udini ili kutimiza malengo yao ya kisiasa! bahati mbaya sana, sasa kikundi kidogo cha wahuni wanajificha kwenye kichaka cha dini kupenyeza ajenda zao za kishetani! tusikubali hawa wahuni wanaojificha kwenye kichaka cha udini watuletee balaa la jihad na crussade wars!
 
naona muda wa kuinamishana kwa ajili ya dini umekwiva! nasubiri mpumbavu yeyote asogelee kanisa letu tulilojenga kwa pesa zetu nimuonyeshe kwa nini kuku hakojoi!
 
,waislamu wengi ni wajinga sana! Katika mia ni watatu tu wameelemika shenzi type!

Tafadhali mkuu sio lazima kutukana, Hakuna hata Muislam aliyesema ukisto ni dini ya Waj**** au Mash*****. Tuwe na busara ilituweze kutatua haya matatizo ambayo yanatuathiri sisi Waislam na nyinyi ndugu zetu Wakiristo. Tusikubali kupandikiziwa chuki na CCM ili watutawale.

Sipendezewi kusikia Nyumba za Mungu zimechomwa moto au kuvunjwa. I condemn such stupidity thing like this
 
Chakaza,
Hapo ndipo mnapofanya makosa makubwa sana kosa likifanywa na Muislam mmoja au kikundi mnafanya including all Muslm...vipi mie nikikunasibisha wewe na Rwanda Genecide Christian nitakuwa nipo sahihi.
Ritz ndugu yangu,nikweli kuwa pengine kosa la kuwachanganya wote linafanyika. Ila tatizo yanapotokea matatizo kama haya yaletwayo na baadhi ya waumini,sisi wengine wote tunapaswa kulaani kwa nguvu zote wahuni kutumia mwamvuli wa dini zetu kufanya ushenzi wao. Kunyamaza mtu atumiapo dini yenu vibaya ni dalili za kuunga mkono au kumtuma

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi kama kweli wewe ni mkristu na unafuata mafundisho wa ukristo wako.

Lorah kasema kwenye thread nyingine kuwa.

... ukristo sio majengo .. Mwili wetu ndio Hekalu takatifu la Bwana.......

Hivyo linda mwili wako, siyo majengo.
 
Nina mashaka na ukristo wako ndugu
Wakuu tumepiga kambi hapa kanisani kwetu Kariakoo Lutheran baada ya walinzi wetu kuomba waongezewe nguvu kwa kuwa wanahisi kuna watu wanataka kuchoma moto kanisa hili
sisi kama washarika na wafadhili wakubwa wa kanisa letu tumeamua kupiga kambi kila mtu akiwa tayari kupambana ili kuzuia mali zetu zisiharibiwe na hao waabudu shetani
kiongozi mmoja wa kanisa letu amekuja na kutuonya tusitumie silaha kupambana na hao waabudu nanihii eti akidai Yesu alisema mtu akikupiga shavu la kushoto haraka sana mgeuzie na la kulia
kwa kweli kama hali ndiyo hiyo ya wakristo kuchomewa makanisa yao ambayo wao wenyewe ndio wafadhili na wajenzi itakuwa ni jambo la kushangaza kwa sababu wanaumia wenyewe
naomba kuuliza tangu lini mungu akawa rafiki wa watu dhaifu????kwa nini wakristo tunakaa kimya tusijibu mapigo??tutaonewa mpaka lini silaha na elimu sisi ndio tumerithi kwa baba zetu
huu ukondoo sikubaliani nao hata kidogo
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wakuu tumepiga kambi hapa
kanisani kwetu Kariakoo Lutheran baada ya walinzi wetu kuomba waongezewe
nguvu kwa kuwa wanahisi kuna watu wanataka kuchoma moto kanisa hili
sisi kama washarika na wafadhili wakubwa wa kanisa letu tumeamua kupiga
kambi kila mtu akiwa tayari kupambana ili kuzuia mali zetu zisiharibiwe
na hao waabudu shetani
kiongozi mmoja wa kanisa letu amekuja na kutuonya tusitumie silaha
kupambana na hao waabudu nanihii eti akidai Yesu alisema mtu akikupiga
shavu la kushoto haraka sana mgeuzie na la kulia
kwa kweli kama hali ndiyo hiyo ya wakristo kuchomewa makanisa yao ambayo
wao wenyewe ndio wafadhili na wajenzi itakuwa ni jambo la kushangaza
kwa sababu wanaumia wenyewe
naomba kuuliza tangu lini mungu akawa rafiki wa watu dhaifu????kwa nini
wakristo tunakaa kimya tusijibu mapigo??tutaonewa mpaka lini silaha na
elimu sisi ndio tumerithi kwa baba zetu
huu ukondoo sikubaliani nao hata kidogo

wenzetu kuua na kufanya fujo ni miongon mwa nguzo zao.
 
Unajua nn mkuu episodes!mtihani ndo unaokuvusha kwenda level ya juu,kama huwa mnajifunza kila siku mnapoenda ibadani,inabidi kuapply methods hapo ili heshima iwepo.pia si kila unaemuona anatembea ni mtu,wengine majini.so kupiga nao mwilini ur wasting time.

Kumbuka vita ya si vya nyama na damu,hivyo basi weka yale ambayo unayofundishwa na kila unapoenda kanisani kama si ivyo manake utakuwa unamwabudu mungu asiyejulikana.
Hao jamaa hawatawaogopa kisa mnalinda kanisa au mna mapanga, bastola,wanaweza wakaja hapo wamevaa mabomu si mtalipuliwa wote?
mungu aliyewatuma na anaetajirisha wachungaji kimiujiza ataonekana vilevile kimiujiza akipigana na jamaa wanaounguza makanisa.

Ushauri:
Tafuteni ufahamu(ufalme wa Mungu,mengine mtazidishiwa) wa kupambana kiroho wakristu,msiende kanisani kusaka utajiri,mtapoteza mda tu,vita ya kiroho ya kizazi hiki ni kali mno inataka uwe rohoni hasa,usipigane kwa kupapasa.watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Wakuu tumepiga kambi hapa kanisani kwetu Kariakoo Lutheran baada ya walinzi wetu kuomba waongezewe nguvu kwa kuwa wanahisi kuna watu wanataka kuchoma moto kanisa hili
sisi kama washarika na wafadhili wakubwa wa kanisa letu tumeamua kupiga kambi kila mtu akiwa tayari kupambana ili kuzuia mali zetu zisiharibiwe na hao waabudu shetani
kiongozi mmoja wa kanisa letu amekuja na kutuonya tusitumie silaha kupambana na hao waabudu nanihii eti akidai Yesu alisema mtu akikupiga shavu la kushoto haraka sana mgeuzie na la kulia
kwa kweli kama hali ndiyo hiyo ya wakristo kuchomewa makanisa yao ambayo wao wenyewe ndio wafadhili na wajenzi itakuwa ni jambo la kushangaza kwa sababu wanaumia wenyewe
naomba kuuliza tangu lini mungu akawa rafiki wa watu dhaifu????kwa nini wakristo tunakaa kimya tusijibu mapigo??tutaonewa mpaka lini silaha na elimu sisi ndio tumerithi kwa baba zetu
huu ukondoo sikubaliani nao hata kidogo
 
Auae kwa upanga nae auliwe kwa upanga. Tuache kudekezana wao wanajua dhahr mickit haina thaman ya kanisa ndio wanafanya makusud. Sasa naona wanamshka nyoka mkia,
 
mpumbavu wa kwanza ni wewe yaani anakurupuka mtu anakwambia waislamu wanataka kuchoma kanisa na wewe tayari umeingia kwenye chuki.Chunguza kwanza kabla ya kusema upuuzi.Makanisa yamekuwa DSM miaka mingapi sasa na hayajachomwa na uislamu ulikuwepo.Jinsi ulivyojibu inadhihirisha chuki mlizozificha vifuani mwenu dhidi ya waislamu.
kwahiyo wakristo wanachoma makanisa yao wenyewe sio! shirikisha medula we pimbi!
 
Back
Top Bottom