Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,033
- 9,785
nasikia maeneo ya kariakoo kimenuka huko hebu tupeni taarifa wadau mwenye picha na kadhalika hebu tupe updates....
Kuna vurugu kariakoo mtaa wa kongo
Angalizo angalia usije pigwa na kitu chenye ncha kali, jifiche mahali tu tupate hata tupicha