Kariakoo je ni miaka 50 kweli?mabwana afya wapo? Kwanini mavi mavimavi!

Status
Not open for further replies.

Aurelian Temu

Member
Nov 28, 2011
7
2
Iwe mvua inanyeesaha au hainyeeshi kunanuka,mifereji ya mavi katika soko tegemezi na makazi ya watu je wanaishi watu?na mabwana afya wapo? reporti za kila mwezi zinaaandikwaga?zinaandikwa nini kwa hali kama hiyo?tujiulize kama watu wenye akili timamu,Wataalamu wapo uchafu haufuatiliwi au miundo mbinu haiko sawa,hatua gani sinachukuliwa juu ya hali hiyo wandugu?
Au Rushwa ndiyo chanzo cha yote,mbona ukiwa kwako cho hakipo utachukuliwa hatua?


NI HATARI SANA TUJADILIANE UKWELI ULIVYO>

By
MR TEMU

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom