Kardinali Pengo: Watawala siyo miungu; Maandamano hayana tatizo so far..

Status
Not open for further replies.
Maybe am wrong but the only person nimeona aliye right ni Halfcaste, sababu mauaji ya Rwanda hayakuwa na uhusiano na Kanisa au dini bali Ukabila. Anyway, just my two cents.
 
Nadhani umesahau neno la mwisho baada ya hilo lenye red yaani = 'Rwanda genocide'

Mpevu! That is very true! sote tuna jua role ya kanisa katika Ruanda Genocide. Halafu cha ajabu it seems anajua hayo maovu vizuri labda kuna wakubwa wameenda kuungama kwake si ayaseme badala ya kusema ooh nipo tayari kuuwawa!! for what? si atuambie na sisi? halafu kama mabobu ya Gongolamboto ni adhabu toka kwa Mungu kama anavyodai, sasa Japan nao wamefanya ufisadi gani huko kwao kwa hilo laTsunami la jana? atueleze hicho anachojua hadi kustahili kuuwawa na serikali!

Otherwise, the Government needs to respond on these accusations, they are very damaging especially this time around when they are comming from such a senior religious leader.

Na kama ni kweli anazibwa mdomo hata Mh. Pinda pia amzibe mdomo? si wanatoka kumoja huko Sumbawanga si amuite amueleze badala ya kusubiri shughuli kama hiyo ya Goms? ni nafikiri somehow he is becoming a politician!
 
Hakika Majimshindo;Lazima unamatatizo,
huwezi sema leo .kanisa+siasa=Rwanda???
kanisa ni watu na siasa ni watu.walewale wanaoenda makanisani ndio hawahawa wanaenda kupiga kura kuchagua viongozi waomkwani wana haki ya kukosoa kwa lolote
kwakuwa mkate ukipanda bei pia yawagusa ,umeme halikadhalika utasemaje leo hii eti wasijihusishe na siasa?kwani mbona hamkuwazuia walipoenda kupiga kura na kuwaambia ninyi mnahusika na dini siasa haziwafai.wake up unakumbuka shuka wakati kumekuchwaa

MSIKILIZE PAPA NA PENGO WAKE
 
Maybe am wrong but the only person nimeona aliye right ni Halfcaste, sababu mauaji ya Rwanda hayakuwa na uhusiano na Kanisa au dini bali Ukabila. Anyway, just my two cents.

Rwanda ni ukabila tu.Mtutsi wa Kiislam na Mhutu wa Kiislam(applicable to christians) vita ikianza hakuna neno"" Uislam ni Undugu"" watafyekana
kwa mapanga.
 
kwa wanaomfahamu kadinali Pengo wanasema ni mtu mwenye msimamo mkali na asiyeogopa kusema ukweli popote na kwa yeyote.najua hiyo habari imewachafua vigogo na tusubiri sinema kali baada ya kauli ya Pengo

Chadema + slaa + Kanisa Katoliki(Kadinal Pengo)= Kuendesha Nchi kwa Misingi ya Kikatoliki!
 
Chadema + slaa + Kanisa Katoliki(Kadinal Pengo)= Kuendesha Nchi kwa Misingi ya Kikatoliki!

Hata watoto wa Kikwete wanasoma shule za Katoliki Tanga,na wanapata malezi ya Kikatoliki(Masista+Mapadre). mie na Jk hatuoni ubaya wa ukatoliki,tungeuona tungewapeleka wanetu Muslim schools
 
Mpevu!
That is very true! sote tuna jua role ya kanisa katika Ruanda Genocide. Halafu cha ajabu it seems anajua hayo maovu vizuri labda kuna wakubwa wameenda kuungama kwake si ayaseme badala ya kusema ooh nipo tayari kuuwawa!! for what? si atuambie na sisi? halafu kama mabobu ya Gongolamboto ni adhabu toka kwa Mungu kama anavyodai, sasa Japan nao wamefanya ufisadi gani huko kwao kwa hilo laTsunami la jana? atueleze hicho anachojua hadi kustahili kuuwawa na serikali!

Otherwise, the Government needs to respond on these accusations, they are very damaging especially this time around when they are comming from such a senior religious leader. Na kama ni kweli anazibwa mdomo hata Mh. Pinda pia amzibe mdomo? si wanatoka kumoja huko Sumbawanga si amuite amueleze badala ya kusubiri shughuli kama hiyo ya Goms? ni nafikiri somehow he is becoming a politician!!

Tatizo Pengo ''haongeki'' kama ndugu zangu
 
NDUGU WATANZANIA NI KILA SABABU KUWA WEKA WAZI FURAHA YANGU LEO
KWA KUPTA MPAMBANAJI MWINGI ASKOFU MKUU WANA KANISA KATOLIKI HAPA TANZANIA KWA KUINGIA KWENYE TEAM YETU YA KUPINGA NA KUPAMBANA NA UFISADI TANZANIA
HALI NGUMU KWA KILA MTANZANIA LAZIMA IPINGWE MAANA HIYO NDIO SERA ILI LICHAMA LINALO TAWALA SISI KURE MUSOMA TULIWACHAKACHEA WAO KWA NINI WEWE CCM WAKUCHAKACHUA
LEO WANALIA NA MATAIFA YA MAGHALIBI WANAWACHAKACHUA, KWA KUWAPA HELA CHADEMA SI WAMECHOKA WAMEAMUA KUWAPA HELA WALETA MAENDELEO CDM
SERIKALI HAO NI NCHI WAHISANI JAMANI MBONA LEO MANAWAITA MAJINA MAGENI KUTUPOTEZA chunguza zaidi hapa www.lifeofmshaba.com: KARDINALI PENGO ACHOSHWA NA UFISADI AHUNGURUMA HUKO PUGU
 
Mabadiliko na maendeleo katika jamii hayapatikani kwa nidhamu ya woga au unafiki. Tunajua kuwa serikali yetu Tanzania haipendi kuona watu au mashirika yanatoa elimu na kuwafungua watanzania kujua maovu yanayofanywa na serikali dhalimu iliyopo madarakani.

Pengo na viongozi wengine wenye mapenzi mema na watanzani endeleeni bila woga wowote na kuwaeleza wananchi juu ya yale maovu na hata mazuri machache yaliyofanywa. MTANZANIA FUNGUKA
 
kaka AFRIKA SASA HATUIJAI MAKOMADOO NI KUJAA BARABARANI KAMA MISRI TU AU TUNISIA
KISHA TUNAWAFUNDISHA KWA VITENDO NAONA MANENO HAYAOINGII
 
Mimi namjua Kardinali Pengo. Alikuwa Head Prefect wetu pale Seminary ya Kaengesa. HAJUI maana ya neno WOGA.

Kuna wakati tuligoma(kumbe hata wakati huo kulikuwa na migomo ya wanafunzi), akaona haki ya mgomo wetu akatumia busara kuchachamaa na sisi mbele ya mapadri viongozi wa seminary.

Mgomo ukaisha kwa madai tetu mengi kukubaliwa na kushughulikiwa.
 
Ujumbe umeshafika wazee. Kama kuna mwanaume mnaemwamini ajibu tuone cinema. Muulizeni Kingunge anamjua fresh tu kard. PENGO.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom