Kardinali Pengo: Watawala siyo miungu; Maandamano hayana tatizo so far..

Status
Not open for further replies.
Padri SLAA na Padri Pengo wote lao moja wasitusitushughulishe hapawote wanafiki hawana lao wameanzisha chama wakadhani watashinda maana padri slaa alikuwa ndio chaguo lao .sasa kaanguka ndio wameanzisha USAVIMBI hata kumkemea alipoiba mke wa mtu walishindwa viongozi gani wa kiroho wanatetea ZINAA

katika uchaguzi wa 2005, Waislam walikuwa 3 (Kikwete, Salim na Kigoda) na Wakristo zaidi ya 10 walijitokeza kugombea Urais kwa tiketi ya CCM. Kati ya hao waislam 2 ( Kikwete na Salim) na Mkristo 1( Mwandosya) ndio waliopenya kufikia tatu bora. Ndani ya mkutano mkuu wa CCM wakristo ni robo tatu zaidi ya waislamu lakini walimchagua Mwislamu kugombea Urais kwa tiketi ya CCM na baadaye ndiye akawa Rais wetu. Wakumbuke akina Sumaye, ambaye wakati huo alikuwa waziri mkuu na ushawishi wa kutosha lakini hakufua dafu mbele ya nyota ya kikwete.

Chunga sana ulimi wako, leo hii baadhi yetu tunageuka kwamba Wakristo wanaichukia serikali ya awamu ya nne. oooh my God tunakwenda wapi Tanzania?

Katika Uchaguzi Mkuu wa 2005, MBowe alikuwa ni mkristo mwenye nguvu kutoka chama cha upinzani lakini Maaskofu wengi akiwemo msaidizi mkuu wa Pengo Askofu Kilaeni walisema Kikwete ndiye chaguo la Mungu. Hii ilikuwa habari njema kwa mshikamano wa wakristo na waislamu. Wapenda amani tunaona ni jambo jema.

Mwaka 2010, wakristo hawakujitokeza kumpinga kikwete ndani ya kura za maoni za CCM wakiamini kwamba bado Kikwete ndiye bora hata kama walikuwepo wenye sifa na vigezo vya kutosha. Hii ni habari njema kwa umoja wetu.

Mwaka 2005, Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM alikuwa Mkapa ambaye ni mkristo na Mkatoriki chini ya Pengo na Katibu mkuu wa CCM alikuwa Philip Mangula mkatoriki mwingine. Hawa wote waliona kwamba Mwislamu Kikwete ni bora zaidi kuongoza nchi yetu. Kilikuwa ni kitendo cha upendo mkubwa kwa taifa letu.

Upofu huu wa kukumbatia udini na kuhamasisha udini ni janga la kitaifa, moto utawaka na mbaya zaidi wote tunaishi ndani ya nyumba moja inayoitwa Tanzania tutakuwa sehemu ya wahanga wa udini huo.

Yesu na mtume Mohammed wakitumwa na Mungu kuja kueneza dini za Ukristo na Uislamu. Hawa mitume walikuwa na nguvu zaidi ya binadamu yoyote lakini mpaka wanakufa hawakumaliza kazi waliyotumwa na Mungu ya kuifanya dunia kuwa na dini moja.... sembuse sisi? sasa ni miaka zaidi ya 2000 tangu kazi ya Yesu na Mohammed ilipofika duniani lakini ajabu Uislamu na Ukristo unazidi kukua duniani kwa kasi ya ajabu, kwa maana ya idadi ya watu na jiografia ya kusambaa kwa dini hizo.

Ndugu zangu watanzania, kuikumbatia dini yako ni jambo jema lakini dini yako ikikutuma kuichukia dini ya mwenzio ni hasara ya maisha kwani kitendo hiki kimewagharimu wengi. Watu wenye matendo hayo ama wakristo au waislamu nendeni kuchungulia majumbani mwao utakuta wameacha kabisa kutumia muda wao kuboresha uchumi wa familia zao hadi wanakufa watoto wanateseka kwa sababu walitumia muda wao mwingi duniani kupambana na dini nyingine.

Kamwe Ukristo na Uislamu hautatoweka duniani hadi siku ya kiama.
 
Pengo alishawahi kuwa CUF ?maana mwaka 2000 aliwaonya Mkapa+Karume(CCM) wasiibe kura za CUF huko Wilayani Zanzibar,na alilaani sana mauaji ya WanaCUF 2001.Pengo huwa si Mnafiki husimamia ukweli daima.Ni mwanaharakati wa enzi hizo kabla hata ya CHADEMA,he stands on reality.Go go go Pengo!!!!

Wewe ni muongo mkubwa!!! si kweli Pengo aliwaonya MKAPA na KARUME wasiibe kura! huna ushahidi wowote wa kuthibitisha kauli yako! mwaka huo hata mimi nilikuwa hai na kufuatilia sawasawa hali ya kisiasa nchini mwetu na katu Pengo hakulaani mauaji ya Pemba bali aliwalaumu waliouliwa kuwa walitumia mawe kama silaha kuwashambulia Askari Polisi na mawe ni silaha pia!!

Hivyo wacha ushabiki wa kumtetea Pengo na sijui lengo lako hasa ni nini!!!!!
Pengo ni mkereketwa mkubwa wa CHADEMA kwa sababu anazozijua yeye na hili linatia shaka yeye kama Kiongozi wa Kidini na Kanisa kujitokeza waziwazi na kuwa upande wa CDM kutalifanya Kanisa lake ligawanyike kwani miongoni mwa Waumini wake wamo CCM na vyama vyingine!!
 
Tuchunge sana matendo ya kubaguana kidini..... uchaguzi wa mwaka 2010 sio uchaguzi wa mwisho kwa nchi yetu kuongozwa na ama mwislamu au mkristo.....Leo hii tunajenga msingi wa udini ..... Tukigawanyika leo kwa namna yoyote ile katika kushughulikia matatizo mazito ya taifa letu na kukimbilia udini.... huko tuendako ni dini yenye watu wengi au wapiga kura wengi wa dini moja ndio itatoa viongozi wa nchi yetu na huo ndio utakuwa mwisho wa taifa hili.

Mwisho wa taifa lolote ni pale unapotoka nyumbani kwako kwenda kuchagua kiongozi kwa msingi wa dini. Naipenda Tanzania lakini nakatishwa tamaa sanaaaaaaaaaaaaaaaa na uchokonozi wa kidini.
 
Wana JF,
Salaam toka Monrovia Liberia, ambako mimi na Mhe Freeman Mbowe tunahudhuria Mkutano wa DUA( Democratic Union of Africa). Tutakuwa hapa hadi 14 March ambapo tutarejea nyumbani.
Nadhani mjadala unavyoendelea hapa "one can easily tell between 'small minds' ambao kazi yao ni kuzungumzia "watu" badala ya "Issues". Ukiish kujua tatizo huhitaji kugombana nao. Waache wapoteze muda wao na kujifurahisha kwa kuwa hawana mchango kwa Taifa. Hakuna ashabu kubwa unayoweza kumpa mtu kuliko kum "ignore" Let us ignore them and move forward. The nation needs "our precious time on critical issues. Udini is no longer an issue, wanaochochea wanajulikana, Dr Slaa kumpora mke wa mtu is not an issue wamejaribu njia za kisheria wamebaki na nonsensical propaganda. Mwenye Busara ni yule anayeuliza kama hajui facts, asiyetaka kujua usihangaika naye. There are more pressing issues for the nation, wale "serious minds" let us focus on those issues.Historia haitatuhukumu kwa kuzungumzia propaganda bali kwa kukuacha kuchukua "serious action on fundamental issues". Nawatakia heri sana nyumbani

Hongera DR Slaa kwa kujitokeza. Tutake tusitake wewe ni mtu muhimu kwetu Watanzania.

Sifa ya Kiongozi inaonekana katika uvumilivu wa mambo yanayomkabili. Kiongozi anabeba matatizo ya kila mmoja na hivyo hatakiwi awe kama alivyo kila mmoja. Ni kweli kuwa kiongozi ni mwanadamu kama wengine lakini anatakiwa ajitafautishe na wengine.

Lazima kiongozi apime kile anachokifanya iwapo sio kitamnufaisha tu bali hata madhara yake. Nimepata bahati ya kuhudhuria mikutano mingi ya kisiasa na kugundua kuwa viongozi mnakuwa carried away easily na kelele za watu (watu walikokata tamaa, walionyimwa haki, wasio na elimu, wenye chuki binafsi, na mengine mengine).

Hali hii ndio inayowakabili nyinyi viongozi mnaojiita wa upinzani. Sasa namna mnavyoact katika nyakati hizi ndio tatizo. Hivyo Kiongozi wetu tunapokuja kwako na matatizo yetu tukitumia kejeli na vitisho, utalkuwa stable enough wa kutowa maamuzi ya kibusara?

Au wewe kama kiongozi wetu unajuwa malengo yetu sote ya kuja kwako, whether utupe busara au tunataka tukutumie ili tutekeleze visasi vyetu? Hapo ndio busara yenu inapohitajika, busara ikiwa kama alivyosema Mhe Lema kuwa bora tuwe hatuna Amani kuliko kukosa haki (tusidumazwe na amani ili tusidai haki) kuliko kutafuta njia mbadala ya kupatikana vyote hivi viwli (amani na haki) haitotusaidia kama lengo ni kutukomboa.

Nafikiri Pengo aliposema tusichukue kauli za mtu mmoja mmoja alikusudia kauli kama hizi.

Kama kiongozi wa jamii Dr wangu tegemea kuwa watu watakuwa waangalifu kufuata maadili yako (wapo kwa kutaka kujuwa usafi wako na wapo wanaotaka kukutafutia njia ya kukudhalilisha).

Nafikiri kama ulivyosema mwenyewe tufuate mambo ya msingi na hayo yako binafsi watu wataamuwa. Ya msingi ni kubadilisha hali za wananchi sasa unafikiri kuwa mabadiliko yatakuja kwa siku tisa kama unavyotaka tuamini?

Mabadiliko yatakuja kwa tabia mpya ya uvurugaji wa amani? Indicator zote zinaonyesha kuwa si watu wote wanairidhia hii tabia mpya mliyoianzisha kwani kwa wengi wanajuwa kuwa tunatoka mbali na tuko mbali katika safari yetu ya kubadilisha hali za maisha ya wananchi.

Mimi na wewe ni watu wazima tunaelewa tunakotoka lakini vijana wengi hata ukiwahadithia hawatakubali kwani mabadiliko ni makubwa kwelikweli. Tumefika hapa kwa kustahamiliana na kwa nini tuwafundishe watoto wetu tabia ambayo sisi wenyew hatukuiafiki hapo kabla?

Kwanini iwe maandamano na isiwe njia nyengine (huo ndio mtazamo wangu) na isiwe mikutano ya hadhara? Siamini kuwa hili la kufanya maandamano linakuwa na tofauti na mikutano ya hadhara ambako watu wanakaa kitako na kusikia ya viongozi wao. Isipokuwa naamini maandamano ni karibu na vurugu kuliko mkutano wa hadhara.

Jengine ni kuwa kwanini hao wachache wanapewa nafasi ya kuwapa sababu kwa wanaopinga maandamano kwa kauli zao za uchochezi? Jee ni amini kuwa kweli hatutaki amani isipokuwa haki?
Mheshimiwa nije katika haki inayodaiwa na sote.

Jee viongozi wetu kwa umoja wenu pamoja na hao mnaotaka kuwaondowa madarakani kwa maandamano (serikali ya CCM) mnaonyesha kujali haki zetu tusiokuwa huko juu?. Yanayofanyika Bungeni ni haki kweli? Kwanini mnajijengea tabaka fulani la wanaostahiki haki na kutuacha wengine kuwa na haki za nadharia?

Mnajilipa kiuendawazimu huku mkihalalisha eti mna majukumu. Hivyo nani katika jamii yetu hana majukumu fulani katika maendeleo ya Taifa? Haya mnayanyamazia kimya na kukunja fedha na kutia mifukoni mwenu.

Pengine hili mnalioona kuwa si jambo la maana lakini napenda kukujuvya kuwa ni jambo kubwa na ni jambo linalowafanya wengi kushindwa kukutofautisheni na hao mnaotaka kuwaondosha, na kwa vile hamjatamka kuwa hilo ni jambo baya wengine tunashawishika kufikiri kuwa labda tatizo ni hayo manufaa binafsi.

Inawezekana ikawa tatizo kwenu kunielewa lakini kwa ufupi maoni yangu kuwa mko sahihi kudai mabadiliko ya maisha kwa Watanzania lakini muwe wakweli wa nafsi zenu na mtumie njia za busara angalau tupate yote tusifanye mabadiliko ya amani kwa haki na kubaki kuwa sawa na nchi kama Iraq na sasa Misri.
 
Nadhani Dr Slaa kasema vyema; Kubishana na mtu hasiye na upeo ni kupoteza muda wako.

Kuna wachache wanadhani kwa kubisha tu bila hoja inaweza kuwasaidia watu wanaowapenda wao.

Kwa kweli ni jambo linalo udhi kuona watu wanachezea viongozi wa Dini kama Kadrnali Pengo, hata kama wewe ni wa dini tofauti sio sawa kabisa.... ni sawa leo hii mtu kumdharau Mufti Sheilk Simba, ni ukosefu wa adabu kabisa...
 
katika uchaguzi wa 2005, Waislam walikuwa 3 (Kikwete, Salim na Kigoda) na Wakristo zaidi ya 10 walijitokeza kugombea Urais kwa tiketi ya CCM. Kati ya hao waislam 2 ( Kikwete na Salim) na Mkristo 1( Mwandosya) ndio waliopenya kufikia tatu bora. Ndani ya mkutano mkuu wa CCM wakristo ni robo tatu zaidi ya waislamu lakini walimchagua Mwislamu kugombea Urais kwa tiketi ya CCM na baadaye ndiye akawa Rais wetu. Wakumbuke akina Sumaye, ambaye wakati huo alikuwa waziri mkuu na ushawishi wa kutosha lakini hakufua dafu mbele ya nyota ya kikwete.

Chunga sana ulimi wako, leo hii baadhi yetu tunageuka kwamba Wakristo wanaichukia serikali ya awamu ya nne. oooh my God tunakwenda wapi Tanzania?

Katika Uchaguzi Mkuu wa 2005, MBowe alikuwa ni mkristo mwenye nguvu kutoka chama cha upinzani lakini Maaskofu wengi akiwemo msaidizi mkuu wa Pengo Askofu Kilaeni walisema Kikwete ndiye chaguo la Mungu. Hii ilikuwa habari njema kwa mshikamano wa wakristo na waislamu. Wapenda amani tunaona ni jambo jema.

Mwaka 2010, wakristo hawakujitokeza kumpinga kikwete ndani ya kura za maoni za CCM wakiamini kwamba bado Kikwete ndiye bora hata kama walikuwepo wenye sifa na vigezo vya kutosha. Hii ni habari njema kwa umoja wetu.

Mwaka 2005, Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM alikuwa Mkapa ambaye ni mkristo na Mkatoriki chini ya Pengo na Katibu mkuu wa CCM alikuwa Philip Mangula mkatoriki mwingine. Hawa wote waliona kwamba Mwislamu Kikwete ni bora zaidi kuongoza nchi yetu. Kilikuwa ni kitendo cha upendo mkubwa kwa taifa letu.

Upofu huu wa kukumbatia udini na kuhamasisha udini ni janga la kitaifa, moto utawaka na mbaya zaidi wote tunaishi ndani ya nyumba moja inayoitwa Tanzania tutakuwa sehemu ya wahanga wa udini huo.

Yesu na mtume Mohammed wakitumwa na Mungu kuja kueneza dini za Ukristo na Uislamu. Hawa mitume walikuwa na nguvu zaidi ya binadamu yoyote lakini mpaka wanakufa hawakumaliza kazi waliyotumwa na Mungu ya kuifanya dunia kuwa na dini moja.... sembuse sisi? sasa ni miaka zaidi ya 2000 tangu kazi ya Yesu na Mohammed ilipofika duniani lakini ajabu Uislamu na Ukristo unazidi kukua duniani kwa kasi ya ajabu, kwa maana ya idadi ya watu na jiografia ya kusambaa kwa dini hizo.

Ndugu zangu watanzania, kuikumbatia dini yako ni jambo jema lakini dini yako ikikutuma kuichukia dini ya mwenzio ni hasara ya maisha kwani kitendo hiki kimewagharimu wengi. Watu wenye matendo hayo ama wakristo au waislamu nendeni kuchungulia majumbani mwao utakuta wameacha kabisa kutumia muda wao kuboresha uchumi wa familia zao hadi wanakufa watoto wanateseka kwa sababu walitumia muda wao mwingi duniani kupambana na dini nyingine.

Kamwe Ukristo na Uislamu hautatoweka duniani hadi siku ya kiama.

Alitajwa ni Dr Slaa na Kardinali Pengo na kuhusu Mhasham Pengo matamshi yake ndio yanayompelekea aonekane kuwa ni CHADEMA!

Msururu wa mambo uliyoyaeleza ni ya CCM sio CHADEMA. Kwa CCM inaonyesha hakuna udini kama ulivyothibitisha. Tuonyeshe huu upande mwengine unajitetea vipi na shutuma za udini?
 
katika uchaguzi wa 2005, Waislam walikuwa 3 (Kikwete, Salim na Kigoda) na Wakristo zaidi ya 10 walijitokeza kugombea Urais kwa tiketi ya CCM. Kati ya hao waislam 2 ( Kikwete na Salim) na Mkristo 1( Mwandosya) ndio waliopenya kufikia tatu bora. Ndani ya mkutano mkuu wa CCM wakristo ni robo tatu zaidi ya waislamu lakini walimchagua Mwislamu kugombea Urais kwa tiketi ya CCM na baadaye ndiye akawa Rais wetu. Wakumbuke akina Sumaye, ambaye wakati huo alikuwa waziri mkuu na ushawishi wa kutosha lakini hakufua dafu mbele ya nyota ya kikwete.

Chunga sana ulimi wako, leo hii baadhi yetu tunageuka kwamba Wakristo wanaichukia serikali ya awamu ya nne. oooh my God tunakwenda wapi Tanzania?

Katika Uchaguzi Mkuu wa 2005, MBowe alikuwa ni mkristo mwenye nguvu kutoka chama cha upinzani lakini Maaskofu wengi akiwemo msaidizi mkuu wa Pengo Askofu Kilaeni walisema Kikwete ndiye chaguo la Mungu. Hii ilikuwa habari njema kwa mshikamano wa wakristo na waislamu. Wapenda amani tunaona ni jambo jema.

Mwaka 2010, wakristo hawakujitokeza kumpinga kikwete ndani ya kura za maoni za CCM wakiamini kwamba bado Kikwete ndiye bora hata kama walikuwepo wenye sifa na vigezo vya kutosha. Hii ni habari njema kwa umoja wetu.

Mwaka 2005, Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM alikuwa Mkapa ambaye ni mkristo na Mkatoriki chini ya Pengo na Katibu mkuu wa CCM alikuwa Philip Mangula mkatoriki mwingine. Hawa wote waliona kwamba Mwislamu Kikwete ni bora zaidi kuongoza nchi yetu. Kilikuwa ni kitendo cha upendo mkubwa kwa taifa letu.

Upofu huu wa kukumbatia udini na kuhamasisha udini ni janga la kitaifa, moto utawaka na mbaya zaidi wote tunaishi ndani ya nyumba moja inayoitwa Tanzania tutakuwa sehemu ya wahanga wa udini huo.

Yesu na mtume Mohammed wakitumwa na Mungu kuja kueneza dini za Ukristo na Uislamu. Hawa mitume walikuwa na nguvu zaidi ya binadamu yoyote lakini mpaka wanakufa hawakumaliza kazi waliyotumwa na Mungu ya kuifanya dunia kuwa na dini moja.... sembuse sisi? sasa ni miaka zaidi ya 2000 tangu kazi ya Yesu na Mohammed ilipofika duniani lakini ajabu Uislamu na Ukristo unazidi kukua duniani kwa kasi ya ajabu, kwa maana ya idadi ya watu na jiografia ya kusambaa kwa dini hizo.

Ndugu zangu watanzania, kuikumbatia dini yako ni jambo jema lakini dini yako ikikutuma kuichukia dini ya mwenzio ni hasara ya maisha kwani kitendo hiki kimewagharimu wengi. Watu wenye matendo hayo ama wakristo au waislamu nendeni kuchungulia majumbani mwao utakuta wameacha kabisa kutumia muda wao kuboresha uchumi wa familia zao hadi wanakufa watoto wanateseka kwa sababu walitumia muda wao mwingi duniani kupambana na dini nyingine.

Kamwe Ukristo na Uislamu hautatoweka duniani hadi siku ya kiama.

Mkuu ulikuwa wapi siku zote..Asante kwa kutufungua macho. Wengi wetu tulisahau hizo facts.. Kumbe watanzania ni kitu kimoja kuliko tunavyodhani.

Wenye akili ndogo wataendelea kushabikia udini..
 
Nchi hii imejiwekea utaratibu usio rasmi wa kubadilisha Rais kutokana na Dini mbili kubwa Uislam na Ukristo!

utaratibu huu aliuasisi Nyerere ndio maana baada yake aliingia Mwinyi, Mkapa na sasa Khalfani Mrisho!!! sasa mwaka 2005 CCM hawakuwa na hiyari iliwalazimu kumpitisha JK kwa sababu 3:

1) Alijijengea Mtandao mkubwa ndani na hata nje ya CCM zaidi Umoja wa Vijana wa CCM ambao una ushawishi mkubwa ktk CCM!

2) Alikusanya Fedha nyingi zaidi za kampeni kuliko mgombea wowote!

3) Dini yake ya Uislamu kwani ilikuwa ni zamu ya Waislamu baada ya Mkristo Mkapa ingawaje JK hakuwa RELIGIOUS kama alivyokuwa Mkapa ambae alikuwa mtiifu kwa Kanisa lake kinyume na JK aliyekuwa zaidi handsome boy, chekbob, Kanali mstaafu na Chipukizi wa mafundisho ya Uliberali!! na wala hakuwa akionekana sana Misikitini kama alivyokuwa Sheikh Ali Hassan Mwinyi!!!
 
Wana JF,
Salaam toka Monrovia Liberia, ambako mimi na Mhe Freeman Mbowe tunahudhuria Mkutano wa DUA( Democratic Union of Africa). Tutakuwa hapa hadi 14 March ambapo tutarejea nyumbani.
Nadhani mjadala unavyoendelea hapa "one can easily tell between 'small minds' ambao kazi yao ni kuzungumzia "watu" badala ya "Issues". Ukiish kujua tatizo huhitaji kugombana nao. Waache wapoteze muda wao na kujifurahisha kwa kuwa hawana mchango kwa Taifa. Hakuna ashabu kubwa unayoweza kumpa mtu kuliko kum "ignore" Let us ignore them and move forward. The nation needs "our precious time on critical issues. Udini is no longer an issue, wanaochochea wanajulikana, Dr Slaa kumpora mke wa mtu is not an issue wamejaribu njia za kisheria wamebaki na nonsensical propaganda. Mwenye Busara ni yule anayeuliza kama hajui facts, asiyetaka kujua usihangaika naye. There are more pressing issues for the nation, wale "serious minds" let us focus on those issues.Historia haitatuhukumu kwa kuzungumzia propaganda bali kwa kukuacha kuchukua "serious action on fundamental issues". Nawatakia heri sana nyumbani

Tunakushukuru mheshimiwa..watu hawa kwa kweli tunahitaji kuwaelimisha! tunahitaji nguvu ya kila mmoja kupigania maisha bora,afya njema,elimu nzuri, na uhuru wa kweli kwa kila mtanzania. hivi vitu haviangalii wewe ni dini gani
 
Nadhani Dr Slaa kasema vyema; Kubishana na mtu hasiye na upeo ni kupoteza muda wako. Kuna wachache wanadhani kwa kubisha tu bila hoja inaweza kuwasaidia watu wanaowapenda wao. Kwa kweli ni jambo linalo udhi kuona watu wanachezea viongozi wa Dini kama Kadrnali Pengo, hata kama wewe ni wa dini tofauti sio sawa kabisa.... ni sawa leo hii mtu kumdharau Mufti Sheilk Simba, ni ukosefu wa adabu kabisa...

Nakubaliana nawe kabisa kuwa si vizuri kumtovukia adabu kiongozi wa dini lakini heshima ya kiongozi itawekwa na matendo na kauli zake.

Ni bora kiongozi wa dini akatowa ushauri au karipio lakini anaposimama upande mmoja inaonyesha anavunja maadili ya cheo chake.

Kulikuwa na haja ya kubariki jambo ambalo mwenyewe anakiri litasababisha kuharibika zaidi hali ya kisiasa?
 
sasa hivi watasema udini ile hali ndio ukweli wa mambo.......hongera Pengo misimamo siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli na ni dhambi kuwa mnafiki kama baadhi ya mashekhe ubwabwa na maaskofu sadaka

[Naam huo ndiyo ukweli wa mambo. Kuna watu humu humu jamvini watasema kauli ya Pengo ni udini kwa sababu wanataka kumuweka Mkristo mwenzao ili aongoze nchi badala ya kuangalia ukweli wa kauli ya Pengo.
 
Padri SLAA na Padri Pengo wote lao moja wasitusitushughulishe hapawote wanafiki hawana lao wameanzisha chama wakadhani watashinda maana padri slaa alikuwa ndio chaguo lao .sasa kaanguka ndio wameanzisha USAVIMBI hata kumkemea alipoiba mke wa mtu walishindwa viongozi gani wa kiroho wanatetea ZINAA

Wewe ni mfuasi wa dini ya laana inayogeuza ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli.
Mtaendelea kuuza kahawa hivyo hivyo na kujidai wa mjini lakini mwisho wa siku wenye akili ndiyo wanatawala nchi.....
 
Kauli yako inaonyesha jeuri na dharau ya hali ya juu!! na sijui dini yako ni ipi labda ndivyo mnavyo fundishwa huko mkisali!!!
 
katika uchaguzi wa 2005, Waislam walikuwa 3 (Kikwete, Salim na Kigoda) na Wakristo zaidi ya 10 walijitokeza kugombea Urais kwa tiketi ya CCM. Kati ya hao waislam 2 ( Kikwete na Salim) na Mkristo 1( Mwandosya) ndio waliopenya kufikia tatu bora. Ndani ya mkutano mkuu wa CCM wakristo ni robo tatu zaidi ya waislamu lakini walimchagua Mwislamu kugombea Urais kwa tiketi ya CCM na baadaye ndiye akawa Rais wetu. Wakumbuke akina Sumaye, ambaye wakati huo alikuwa waziri mkuu na ushawishi wa kutosha lakini hakufua dafu mbele ya nyota ya kikwete.

Chunga sana ulimi wako, leo hii baadhi yetu tunageuka kwamba Wakristo wanaichukia serikali ya awamu ya nne. oooh my God tunakwenda wapi Tanzania?

Katika Uchaguzi Mkuu wa 2005, MBowe alikuwa ni mkristo mwenye nguvu kutoka chama cha upinzani lakini Maaskofu wengi akiwemo msaidizi mkuu wa Pengo Askofu Kilaeni walisema Kikwete ndiye chaguo la Mungu. Hii ilikuwa habari njema kwa mshikamano wa wakristo na waislamu. Wapenda amani tunaona ni jambo jema.

Mwaka 2010, wakristo hawakujitokeza kumpinga kikwete ndani ya kura za maoni za CCM wakiamini kwamba bado Kikwete ndiye bora hata kama walikuwepo wenye sifa na vigezo vya kutosha. Hii ni habari njema kwa umoja wetu.

Mwaka 2005, Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM alikuwa Mkapa ambaye ni mkristo na Mkatoriki chini ya Pengo na Katibu mkuu wa CCM alikuwa Philip Mangula mkatoriki mwingine. Hawa wote waliona kwamba Mwislamu Kikwete ni bora zaidi kuongoza nchi yetu. Kilikuwa ni kitendo cha upendo mkubwa kwa taifa letu.

Upofu huu wa kukumbatia udini na kuhamasisha udini ni janga la kitaifa, moto utawaka na mbaya zaidi wote tunaishi ndani ya nyumba moja inayoitwa Tanzania tutakuwa sehemu ya wahanga wa udini huo.

Yesu na mtume Mohammed wakitumwa na Mungu kuja kueneza dini za Ukristo na Uislamu. Hawa mitume walikuwa na nguvu zaidi ya binadamu yoyote lakini mpaka wanakufa hawakumaliza kazi waliyotumwa na Mungu ya kuifanya dunia kuwa na dini moja.... sembuse sisi? sasa ni miaka zaidi ya 2000 tangu kazi ya Yesu na Mohammed ilipofika duniani lakini ajabu Uislamu na Ukristo unazidi kukua duniani kwa kasi ya ajabu, kwa maana ya idadi ya watu na jiografia ya kusambaa kwa dini hizo.

Ndugu zangu watanzania, kuikumbatia dini yako ni jambo jema lakini dini yako ikikutuma kuichukia dini ya mwenzio ni hasara ya maisha kwani kitendo hiki kimewagharimu wengi. Watu wenye matendo hayo ama wakristo au waislamu nendeni kuchungulia majumbani mwao utakuta wameacha kabisa kutumia muda wao kuboresha uchumi wa familia zao hadi wanakufa watoto wanateseka kwa sababu walitumia muda wao mwingi duniani kupambana na dini nyingine.

Kamwe Ukristo na Uislamu hautatoweka duniani hadi siku ya kiama.

Ndugu article ina maneno mengi lakini facts ni chache!
Kikwete asingeweza kukataliwa na wakristo mwaka 2005 kwa sababu walikuwa wanamchukulia kama mwenzao. Usisahau jinsi maaskofu hawa hawa walivyompamba kuwa ni CHAGUO LA MUNGU!
Kiwete hakuchaguliwa kwa sababu ya huruma au ubinadamu wa jamii ya kikristo ila alicvhaguliwa kwa mkakati uleule wa kuwapumbanza waislamu (kwa jina la Kikwete) kisha kulinda maslahi ya kanisa kwa "MEMORUNDUM OF UNDERSTANDING"

Utake usitake kanisa hasa katoliki limekuwa liki-enjoy upendeleo maalum (SPECIAL STATUS) katika awamu zote isipokuwa ya Mkwere! Kiwete alipojaribu kuleta balance baina ya dini Pengo and Co. ndio wakachukia hence hizi chuki tunoziona mpaka sasa.
Kanisa hasa katoluiki lilikuwa mstaari wa mbele kulaani kila harakati iliyokuwa inafanywa TZ na wapinzani wakati ule wa Mkapa. Kwa kisingizio cha tiini mamlaka halali! Kwa nini leo wamegeuka hilo ndio swali la kujiuliza hapa!

P.S

Mkuu SLAA usikwepe lawama za msingi watu wanapohoji maadili yako binafsi kwa kisingizio kuwa tuna "serious issues to discusss"
Familia ndio first institution for which man's leadership can be measured! Wewe kama sio mwaminifu personal life huwezi kuwa mwaminifu kwenye nchi yetu! kub ali huo ukweli na ufanyie kazi!
 
Naam huo ndiyo ukweli wa mambo. Kuna watu humu humu jamvini watasema kauli ya Pengo ni udini kwa sababu wanataka kumuweka Mkristo mwenzao ili aongoze nchi badala ya kuangalia ukweli wa kauli ya Pengo.
La hasaha Pengo si mdini lakini ni mtu aliyesimama upande mmoja wa ukweli wa mambo yalivyo. Sitasema mdini kwa hili lakini nitasema kwa sauti kubwa kuwa kama kiongozi wa jamii amekosea sana. Tatizo ni kusimama upande mmoja ambao kwa maoni yangu na ya wengi unakosea.

Nitaendelea kumuhukumu Pengo kwa kukubali kuwa lengo zuri la CHADEMA linharibiwa na kauli za wachache. Hawa wachache ni wepi na kwanini asiwakaripie kwa kutaka kuleta machafuko? Iwapo yuko anaesema kuwa tuondowe amani ili ipatikane haki na yeye Pengo anamnyamazia unataka nimsifu? Msifuni nyie kwasababu zenu lakini kwa upande wangu nitmpinga yoyote asieitakia mema jamii.

Swali langu kwa Mheshimiwa Pengo: Tumeishi katika Taifa hili kwa miaka 50 tukijisifia amani na taratibu za kuleta mabadiliko na haikuwahi kuligawa Taifa, sasa kama kiongozi anaehishimika jee anakubaliana na njia ya hatari ya mkato itnayokubaliwa na wachache? "........Si hatari so far.............!
 
Kauli yako inaonyesha jeuri na dharau ya hali ya juu!! na sijui dini yako ni ipi labda ndivyo mnavyo fundishwa huko mkisali!!!

Mbona umehamakii!!! nawewe ni mfuasi wa ile dini ya kugeuza uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo, na kufanya mambo bila kufikiri?
Pole sana, ila naamini sio kosa lako si umerithi? Mungu wa kweli atakusamehe siku ya mwiso ukijitetea vema........
 
Pengo yuko Sahihi CCM wasiogope kivuli chao ,wafanye kazi waboreshe maiisha ya wananchi, waache wizi na kututenge kwa kueneza udini, chapuo ambalo sasa hivi linakufa kifo cha mende kama ilvyokuwa kwa ukabila, na ukanda
 
Padri SLAA na Padri Pengo wote lao moja wasitusitushughulishe hapawote wanafiki hawana lao wameanzisha chama wakadhani watashinda maana padri slaa alikuwa ndio chaguo lao .sasa kaanguka ndio wameanzisha USAVIMBI hata kumkemea alipoiba mke wa mtu walishindwa viongozi gani wa kiroho wanatetea ZINAA

Wewe Pepombili, hapa sio suala la upadre wala u-sheikh. Tunazungumzia maisha ya Watanzania wote wanaoabudu misikitini, wanaoabudu kanisani na wale wasio na dini. Sasa unapoingiza suala la udini hapa umepotea njia.

Peleka hayo maoni yako huko Redio Imani ambako mnaelewana lugha. Inaelekea una chuki mbaya sana ya kidini; na kwa maoni yangu hufai kuchangia mijadala humu.

Inaonyesha jinsi ulivyo na upeo mdogo.
 
Baadaye akihubiri katika Misa ya Jumatano ya Majivu kuashiria kuanza kwa siku 40 za Mfungo wa Kwaresma ambao Wakristo hukumbuka mateso ya Bwana wao, Yesu Kristo kabla ya Pasaka zaidi ya miaka 2000 iliyopita, Kardinali Pengo alikemea tabia ya viongozi kung'ang'ania madaraka na kudhani kuwa bila wao nchi zao haziwezi kuwepo au kusonga mbele.

"Yapo matatizo katika viongozi wanaong'ang'ania madaraka wakiwa tayari hata kumwaga damu ya wengine ili wao wabaki madarakani. Hawa ni viongozi wanaofikiri uwezo unaweza kuwa ndani yao, wanajifanya wao Mungu," alisema Pengo.

Alisema viongozi hao wanatazama fadhila za kibinadamu wakiacha upungufu wao na kudhani kuwa wasipokuwa na madaraka basi nchi zao hazitakuwepo jambo ambalo si sahihi na halifai katika jamii.

"Viongozi hao wanajifanya wao ndiyo miungu, wanatazama fadhila za kibinadamu, wakiacha mapungufu yao. Hicho ni kiburi, wakumbuke kuwa Mungu aliwaumba kwa vumbi na watarudi kuwa vumbi, sasa kwa nini mnakuwa na kiburi?," Alihoji Kardinali Pengo na kuongeza;

"Mungu aliwaumba kwa vumbi kwa nini wawe na kiburi? Unadhani ukifa na nchi itakufa, kwani kabla yako nchi haikuwepo? Kumbuka wewe ni uvumbi na utarudi mavumbini."

Alisema thamani ya mtu haitokani na anavyojiona, bali nguvu ya Mungu akiwakumbusha Wakristo kutubu na kumrudia Mungu katika kipindi hiki cha Kwaresma.

Wakati huohuo; Festo Polea anaripoti kuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambao wapo katika taasisi isiyo ya kiserikali ya Truya wamesema ili kuondokana na machafuko yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani, viongozi wanaokiuka matakwa ya uongozi, uvunjaji wa Katiba na sheria za nchi wanapaswa kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Helman Sheluleta alisema Ibara ya 18 ya Katiba ya nchi inatambua haki ya mtu kutoa maoni, kusikilizwa na kuandamana kwa amani na kwa mujibu wa sheria lakini sheria inapovunjwa kwa ajili ya kupata haki ndiko kuhatarisha amani ya nchi.

Hii ni kauli iliyobeba uzito sana na ya kufikirisha mno. Kama mwenye akili timamu ataelewa maudhui ya teolojia na falsafa ina maanisha nini kwa viongozi wetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom