Elections 2010 Karatasi za kura zimewaili jana Z'bar kutoka Afrika Kusini

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Hivi inakuwaje karatasi za kura ziwasili jana Z'bar kutoka Afrika Kusini? Kwa nini zinakuwa za mwisho kupelekwa kwenye majimbo ya uchaguzi mbali na vifaa vingine? Bakhresa ni Mzanzibar, na kule Tunduma ilisemekana lori lake lilikuwa na karatasi za kura kutoka Afrika Kusini, je sio kweli hiyo story ya Tunduma? Hizi karatasi kutoka Afrika Kusini zinawalakini, kwani kwa nini JWTZ walinde sehemu nyeti?

Kwa nini kusiwe na harmonisation, sasa angalia NEC UK na ZEC RSA. NEC walisema walipokea karatasi nusu mzigo, je, ile nusu ya mzigo imekwisha wasili? Au nusu mzigo unatokea South Africa?

Wazanzibari na wana-CUF amkeni, Zenj pana shaka!!

Source: HabariLeo, 26/10/2010.
 
Ondoa wasiwasi jukumu letu ni kuzuia kwenye vituo vya kupiga kura mchezo mchafu usifanyike
 
kumbuka mkurugenzi wa NEc alisema zimechapwa uingereza, wakati bunge liliambiwa zitachapwa nchini, utata mtupu.
 
Hakuna giza litakalofanikiwa kuitawala nuru. Hata wafanye nini uchakachuaji utawageuka!
 
Back
Top Bottom