newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,378
- 550
KARATASI YA KUPIGIA KURA-NI SIRI?
kabla ya mtihani wa kumaliza shule huwa kuna Mock exams,hii inamuandaa mwanafunzi kujua mtiahani utafananaje etc,pia kuna past papers,hii pia inajenga uzoefu wa mazingira.
ni jambo jema kwa tume ya uchaguzi kutoa sample copies za kupigia kura,ili zichapwe katika magazeti,wananchi wajue kuwa mgombea uraisi picha yake itakuwa upande gani,mbunge na diwani,ili ukiingia tu ktk kupiga kura hupotezi muda ,kama ni upande wa kulia,kushoto wa karatasi ,fasta unapiga kura bila kupoteza muda.
tukumbuke ktk vituo vya kupiga kura kutakuwa na Polisi,kuna baadhi ya watanzania wanaogopa magwanda ya police,etc,watakuwa na uwoga wa mazingira,hata ktk swala zima la kampeni,inakuwa rahisi kupiga kampeni,kuwa ukiingia tu wewe cheki kulia utaona mgombea wako,
Magazeti ya chama,UHURU na mzalendo,Daily news na mengineyo yangeweza kuprint hizi templates za karatasi za kupigia kura bila kusahau magazeti yetu ya uhakika Tunayajua