KARAMAGI kuanzisha kampuni ya mawasiliano, inaitwa 4G MOBILE LIMITED

Hiyo kampuni lazima ifilisiwe kama kwani share holder mkubwa hapo ni fisadi Karamagi. ni lazima atueleze amezitoa wapi hizo pesa.

Dhambi ya kumtuhumu mtu kwa jambo ambalo huna ushahidi nalo ni kubwa,tatizo letu watanzania maadili yameshuka mno kiasi kwamba mtu anajihisi kumsingizia mtu ni haki yake ya kikatiba, jamani hii ni dhambi kubwa. kama mtu anaushahidi wa kutosha kuwa fulani ni fisadi siampeleke mahakamani? tuna wasomi wasiojiamini na matokeo yake ni kuongelea uvunguni
 
Mie nawapongeza hao wawekezaji wazalendo. Tunatakiwa watanzania wote tuwaunge mkono ili ifike siku kampuni ikikua na ikaenda nje ya nchi iwe proud kwa taifa, kama yalivyo makampuni ya kigeni yaliyopo hapa nchini. kwa kutegemea TTCL hatutotoka jamani. Nazir Mustafa na timu yako nakupongeza kwa hilo ila nakushaulini kuwa mfanye study ya kutosha katika makampuni yaliyopo kwa sasa, na mjitahidi kuajiri local and professional in this field kwa kuwanunua.
 
Back
Top Bottom