Karamagi adaiwa kudandia wake za vigogo

I am a woman too ila saa nyingine na sisi wanawake tupo so grid na pesa.Siyo kama namtetea huyo mzee karamagi kwa kutumia pesa zake kurubuni wanawake.Ila na sisi wanawake pia we need to use our common sense...whata?is it necessary mtu akikujia na pesa na kukuhonga basi na wewe utoke naye?remember money can't buy you love/cant buy you happynessy...money can either make you or break you...money ni monster...

you women are so ivo...

halafu sio "grid"....nadhani ulimaanisha "greedy" sio?
 
Hivi huyu Karamagi na mihela yote hiyo hana ubavu wa kutafuta visura single? Mpaka adandie choices za watu wengine?
 
Lakini wanawake wanaharakati mko wapi? Kuna tatizo gani kisa kutumia uhuru wake wa kuchagua na kumwacha mogella na kuchukuliwa na karamagi? Tusiwe washamba! Kisa ni mtu mzima, anajua alichokosa kwa mogella ambacho anakipata kwa karamagi. Tusiendekeze mfume dume. Eti kachukua mke wa mtu!! Alibakwa? Mbona kisa mwenyewe yuko comfortable? Tusitumie jf kwa debates za kitoto kiasi hiki! Haya ni mambo ya watoto wa sekondari. Let kisa make her own choices and decisions. Akiamua kumpiga chini mogela na kuchukua karamagi ni sawa, mbaya pengine ni kushare!!!
 
Hivi huyu Karamagi na mihela yote hiyo hana ubavu wa kutafuta visura single? Mpaka adandie choices za watu wengine?

Karamagi hana swagger...hana game...na hela hazi compensate hizo qualities...

Hivi hujawahi kuona njemba isiyokuwa na kazi wala hela lakini linatoka na bonge la demu...?
 
Lakini wanawake wanaharakati mko wapi? Kuna tatizo gani kisa kutumia uhuru wake wa kuchagua na kumwacha mogella na kuchukuliwa na karamagi? Tusiwe washamba! Kisa ni mtu mzima, anajua alichokosa kwa mogella ambacho anakipata kwa karamagi. Tusiendekeze mfume dume. Eti kachukua mke wa mtu!! Alibakwa? Mbona kisa mwenyewe yuko comfortable? Tusitumie jf kwa debates za kitoto kiasi hiki! Haya ni mambo ya watoto wa sekondari. Let kisa make her own choices and decisions. Akiamua kumpiga chini mogela na kuchukua karamagi ni sawa, mbaya pengine ni kushare!!!

You do got a point!...Huyo kisa ni mtu mzima ameamua kucheat kwa huyo mume wake kwa matakwa yake mwenyewe (which is stupid)....like i said you never know why she has decided to cheat on her husband could be many reason hakuna mtu anayejua dosari za ndoa yao....kuna a lot of reason ambazo labda ziemmfanya afanye anavyofanya...siyo kama namtetea ila she seems like a smart woman but not strong enough and she cannot depend on herself mpaka mgongo wa mtu....aNa kama ndoa inadidimia all you need to do is spycup badala ya kukimbilia kupata simpathy kwa kutoka na mtu mwingine...miye simtetei huyo kisa wala huyo karamagi maana wote ni kasorobo.

Na ugopa mtu ambaye yupo tayari kucheat on her husband or ambaye yupo ready to cheat with a married man/woman....
 
Nampa pole sana huyu kijana Mongela kwa kufanyiwa huu uhuni na huyu Fisadi. Ama kweli cha mlevi huliwa na mgema. Vya Mafisadi wanafaidi dada zetu ingawa mwisho wake inabidi walipe mshahara wa makosa hayo yao. Huyu dada nafikiri anaweza kuwa mke mzuri kwani fundisho alilopata hatalisahau milele, ila sema kipanga huyo anaweza kuwa kashayakanyaga mawaya na kwa maana hiyo bibie na yeye kashakuwa member akitafuta kugawia wengine .
Kinachonichanganya akili ni hii MONGELA kupewa kazi ya ukuu wa Wilaya. Yaani unaweza kukuta hata uwezo wake mdogo ila kapewa ili kumpoza maumivu aliyoyapata. Kwa maana hii, Watanzania tunaendelea kulipa au kubeba mzigo wa UJINGA wa hawa mafisadi. Sasa huko Kigoma kweli, watakuwa wamepata Mkuu wa wilaya wa maana? Mtu aliyeletwa ili kumpoteza machungu yake? Uongozi huu wa kupewa kama njugu sijui kama tutafika tunakotaka kwenda.
Au kwa sababu Waarabu wa Pemba hujuana kwa Kilemba? Maana nasikia kuna Kigogo mmoja alitembea na mke wa Mzee mmoja aliyejenga kigorofa chake huko Mbezi Beach karibu na barabara. Mzee huyo mwenye mtoto wa kike maarufu sana Dar es Salaam, aliposikia hivyo, basi akaamua KUJIUWA. Binti kwa sasa yuko Uarabuni kutokana na wana MAJUNGU. Kwa maana hiyo, naona Tanzania kama una mke mzuri basi kaa chonjo, mafisadi wa CCM watakuvamia sasa hivi. Ditopile yeye hadi alishikwa UGONI. Khaa, jamani. Hii nchi yetu? Pale nilipokuwa naishi Ilala Flats, alikuwepo mzaa wa Kipare na mke wake mzuri tu miaka ya 80. Huyu na yeye alinyanganywa mke na Naibu waziri mmoja. Mzee wa Kipare hadi leo nafikiri hajaowa tena. Huyu Marehemu Mgonja kafariki juzijuzi na yeye alimnyanganya Patrick Balidisya Mke wake. Cha ajabu hakuna hata adhabu wanayopata kwa Ushetani wao huo waufanyao. Ile Tanzania ina wanawake kibao na wazuri kama Lulu, ila bado tu waenda kumla mke wa mwenzio? Kama Minyama vile!! Lohh, haki ya nani!!!!!
 
Hivi huyu Karamagi na mihela yote hiyo hana ubavu wa kutafuta visura single? Mpaka adandie choices za watu wengine?
nachoka nae......kwanini asitafute vigoli vibichi akaweka ndani......kwa wake za watu anatafuta kurogwa.....
 
nachoka nae......kwanini asitafute vigoli vibichi akaweka ndani......kwa wake za watu anatafuta kurogwa.....

Hivi una believe in kuroga?...i don't believe such stuff...you need put god first in everything you do...ndiyo maana shetani anatawala sana
 
Lakini wanawake wanaharakati mko wapi? Kuna tatizo gani kisa kutumia uhuru wake wa kuchagua na kumwacha mogella na kuchukuliwa na karamagi? Tusiwe washamba! Kisa ni mtu mzima, anajua alichokosa kwa mogella ambacho anakipata kwa karamagi. Tusiendekeze mfume dume. Eti kachukua mke wa mtu!! Alibakwa? Mbona kisa mwenyewe yuko comfortable? Tusitumie jf kwa debates za kitoto kiasi hiki! Haya ni mambo ya watoto wa sekondari. Let kisa make her own choices and decisions. Akiamua kumpiga chini mogela na kuchukua karamagi ni sawa, mbaya pengine ni kushare!!!

Kama Kisa ni mke halali wa mtu, na anacheat, mi sidhani itakuwa sahihi kumtetea. The same applies kwa Karamagi, akiwa mume wa mtu, si halali kumtetea as well. Unless mtuambie kuwa na nyie pia ni mabingwa wa kucheat. Hakuna uhuru kwenye kuchagua kama ushaamua kuoa au kuolewa. Uhuru wako ni kifo cha mwenzio tu. That's the rule ya ndoa. Kama mtu hajaolewa hapo kidogo unaweza tetea, but mke wa mtu, ndugu Kinto, hili halina mjadala. Nchi nyingine anapigwa mawe hadi kufa.

Mimi naona wote ni wakosaji, and hasa kwa Karamagi ambaye alipaswa kuwa kioo cha jamii. Na cha kushangaza, watanzania wengi, mtu maarufu akifanya shit, anaonekana mjanja, tena anapamba magazeti, but akifanya mtu wa uswazi huko, nahisi atatukanwa mpaka akome kuoa/kuolewa/kucheat.
 
Naungana na mdau hapo juu, there is no justification fopr cheating.....Huyo Kisa hana aibu hata kidogo, kumuacha mumewe na watoto shauri ya Karamagi....na huyu karamagi naye ni mnyama wa khali ya juu kutumia hela zake kumnyanganya mtu mke...All in all malipo ni hapa hapa duniani...
 
Inawezakuwa ni laana ya watanzania ndio inafanyakazi,unatembeza kirungu hadi ufie mbali,hayo ndio matunda ya ufisadi.
 
duu hana mmoja kwani tunasikia anamchukua pia mke wa mwanamziki wa regge kwa sasa ni marehemu(Ja...K..)ambaye kaka yake pia ni marehemu alikuwa DJ MBOWE HOTEL 1900 DISCO THEQUE.kama kazidiwa aende akachukue wa dada pale JOLI CLUB mke wa mtu sumu..sasa unaumbuka
 
Hii mbona sio mpya ya yule mtoto wa mbunge wa ukerewe( shh asije sikia) ilishatokea kitambo dogo alivyolalamika akapozwa na U-DC,wabongo huwa tunaita "kitu na box"
 
lakini inawezekana ukiwa FISADI unapata na laana zingine ehee
sasa kama kalamagi ndo kamnyanganya mtu mke, na yule mwingine X-MP kamgeuza mwanasiasa mwenzie wa kiume mke
hii ni laana
 
Jamani nimeona picha ya jokate kwenye mtandao wanamfa.... nikweli?naomba kama kuna mwenye nyuzi na Clips hiyo nitumiwe jamani mbona mnafaidi wenyewe??!!!
 
Jamani nimeona picha ya jokate kwenye mtandao wanamfa.... nikweli?naomba kama kuna mwenye nyuzi na Clip hiyo nitumiwe jamani mbona mnafaidi wenyewe??!!!
 
Jamani nimeona picha ya jokate kwenye mtandao wanamfa.... nikweli?naomba kama kuna mwenye nyuzi na Clip hiyo nitumiwe jamani mbona mnafaidi wenyewe??!!!

Watu wa kwenye ule mtandao wa ze....utawajua tu!!
 
Lakini wanawake wanaharakati mko wapi? Kuna tatizo gani kisa kutumia uhuru wake wa kuchagua na kumwacha mogella na kuchukuliwa na karamagi? Tusiwe washamba! Kisa ni mtu mzima, anajua alichokosa kwa mogella ambacho anakipata kwa karamagi. Tusiendekeze mfume dume. Eti kachukua mke wa mtu!! Alibakwa? Mbona kisa mwenyewe yuko comfortable? Tusitumie jf kwa debates za kitoto kiasi hiki! Haya ni mambo ya watoto wa sekondari. Let kisa make her own choices and decisions. Akiamua kumpiga chini mogela na kuchukua karamagi ni sawa, mbaya pengine ni kushare!!!

Kinto nakubaliana na wewe kwa upande flani sidhani kama ni vema kumtuhumu karamagi peke yake nadhani hata huyo mama naye anastahili tuhuma hizo. huyo mama ni kweli ni mtu mzima na anaoutashi wa kuamua kuendelea na mongella au kumwacha na kuambatana na karamagi lakini kinto ukumbuke kuwa huyu kisa ni mke halali wa mongella (unless mongella akanushe sivyo). Sasa kama ni mke halali na alikula kiapo cha ndoa haijalishi ni kanisani au bomani basi hana budi kukikeep hicho kiapo- kiapo cha ndoa kwa wanandoa ni sawa na sheria- haivunjwi kirahisi so pamoja na kuwa kisa ni mtu mzima mwenye uhuru wa kuchagua bado analokosa la kuvunja kiapo cha ndoa yake na mongella hapaswi kisamehewa.

Mimi bado huwa sielewi mtu unapomtuhuimu mwanaume ati kakurubuni na pesa zake ilihali wewe si mwanafunzi wala mtoto mdogo usojua baya na zuri mimi hapana kwangu wote wana makosa.
 
Back
Top Bottom