Karaha ya mwanamke tipwa tipwa

Hapo inahitajika iliyokuzwa kwa dawa za kichina hahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaa. weekends njema jamaani
 
me too!!!



heheee afadhali ujilindie chako, ukitoka tu anaanza ku-fool around
Saa hizi ntakuwa namvizia mpaka a log out ndio naanza makeke.
Mchumba anakaba mpaka penalti LOL!
 
Heheheheh huyu jamaa mbona kafanana na Mh Mbunge wa Singida.....jamaa anajaribu line ya tiGo mmmmmhhhh
 
Hivi binadamu akinenepa kuna baadhi ya viungo vya mwili havinenepi hasa vile vya siri? Haya ndio mambo ya ukubwa wa pua...
 
Hivi binadamu akinenepa kuna baadhi ya viungo vya mwili havinenepi hasa vile vya siri? Haya ndio mambo ya ukubwa wa pua...

Havinenepi? Viungo na sehemu zote za mwili vyote vinanenepa kwa pamoja. Tatizo lako nadhani liko kwenye size ya ile machine relative to the total body size. Ukimwangali mwanamke mnene lazima machine yake kitaonekana kiduchu. Lakini ukiwaweka wawili, mmoja mwembamba na mwingine mnene ukawaangalia wote kwa muda huo huo ndiyo unaweza fahamu yupi ana machine kubwa. Hata hivyo, sometimes kuna wengine huwa wana inborn charactericts za kuwa na baadhi ya maeneo makubwa kuliko mengine. Kwa mfano macho, midomo, mikono na vivyo hivyo machine za kazi huko chini. Kama ambavyo watu wengine wana macho makubwa, kuna wengine licha ya wembamba wao unaweza shangaa mshine zilivyo kubwa. Iwe ya kike au kiume.
 
Back
Top Bottom