Kaponda reo mbeya mkoa umekushinda achia ngazi

wagagagigikoko

Senior Member
Dec 5, 2010
163
49
Naomba nikukumbushe umeupokea mkoa huu kutoka kwa mama mafole ulikuwa unashika nafasi tano za juu kitaifa. Lkn baada ya wewe kuupokea na kuingiza madudu yako ( uzinzi, ubabe, ubabaishaji, ukabila , majungu na yanayo fanana na hayo) mkoa umekuwa ukiporomoka mwaka baada ya mwaka hadi sasa nafasi ya 15 aibu!!! Unataka wanamkoa waandamane kama misri ndio ujue umeshindwa?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom